Unajuaje kama hawana kibali?mbona wao hawana kibali na hawaja pigwa mabomu?////
Ni kweli maandamano yanafanyika kushindikiza kuuachiwa Waislam wenzao waliokamatwa kutokana na kukataa kuandikishwa sensa.
Wewe ndio MSHENZI unashindwa kutafuta kiini unaanza kutukana.Sasa hizi ni harakati za kishenzi. Kwani sensa inahusiana vp na waislaam?
Naona wanapita hapa ofisini kwangu ni kama wamepagawa na mapepo ya kuzimu
natumaini police hawatatumia silaha za moto.....sitaki kuona picha za kutisha
Namuona mtu wa shoka Ponda ndio anayeongoza umati mkubwa wa maandamano.
nimo katikati yao humu...ila acha tuendelee mpaka mwisho..
Kwa hao hakuna tatizo kwa polisi - ni kama ndio wenye nchi. Ni CHADEMA tu ndiyo inayotesa dola leo hii.
Acha kutuzingua...hapa kinaeleweka leo.
Wewe haupo?....