Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Ni kweli maandamano yanafanyika kushindikiza kuuachiwa Waislam wenzao waliokamatwa kutokana na kukataa kuandikishwa sensa.
 
Namuona mtu wa shoka Ponda ndio anayeongoza umati mkubwa wa maandamano.
 
Ni kweli maandamano yanafanyika kushindikiza kuuachiwa Waislam wenzao waliokamatwa kutokana na kukataa kuandikishwa sensa.

Watu ni waongo walisema hapa JF kwamba Ritz kakamatwa baada ya kukataa kuhesabiwa kumbe upo Mkuu. Tupe taarifa kamili.
 
ni kweli maandamano yanafanyika kushindikiza kuuachiwa waislam wenzao waliokamatwa kutokana na kukataa kuandikishwa sensa.

sertekali dhaifu ni chanzoo cha migogoro mingi isiyo na lazima....sijui kwanini jk alikuwa anawabembeleza? Kwani sensa si ni suala la kisheria? Na ni lazima liridhiwe bungeni? Na kuna consequences za kuhaini na kusabotage sensa? Anyway...tumsikilize bwana dhaifu atavyoreact....
 
Ni kweli maandamano yanafanyika kushindikiza kuuachiwa Waislam wenzao waliokamatwa kutokana na kukataa kuandikishwa sensa.

safi sana! ... i hope polisi hawatatumia silaha za moto
 
Sasa hiyo sensa imekwisha? Kwa nini wanaandamana tena hapa Dar ndo polisi wapo kibao na bado wamewaacha? Km kweli nchimbi unao ubavu sogelea hao waislamu na vipolisi vyako ndo utaijua nguvu ya Jihadi kwani hapo ni JK,Bilali na raisi wa Zanzibar ndo watatoa matamko.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom