mnyanyaswaji
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 478
- 118
Kweli nimeamini polisi wa Tanzania wanatumiwaga na ccm kuwafanyia chadema fujo,inajuaje hawa wanaandamana bila kibali na hawafanywi lolote
Ukiona hivyo kuna udhaifu ndani ya CDM yenyewe, viongozi wasiwe watu wa kulaani tu huku wafuasi wanakufa. Kwa waislamu wa sasa hilo sahau