JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
Tutaona na kusikia mengi Haya polisi wameua wangapi kwa kuvunja sheria ya sensa Leo??
sipo DAR mkuu!... ila nafurahi kuona waislam walivyo kuwa na umoja
Kwa mujibu wa Godfrey Monyo wa ITV, na ITV breaking news, Waislamu kutoka sehemu mbalimbali za jiji la Dar Es Salaam wamekusanyika wizara ya mambo ya ndani kushinikiza waislamu waliokamatwa kwa sababu ya kukataa kuhesabiwa/kushawishi wengine wasihesabiwe waachiwe huru!. Tukio hili limetokea mchana huu wa leo na kuripotiwa na ITV saa 8:40..
Naona wanapita hapa ofisini kwangu ni kama wamepagawa na mapepo ya kuzimu
Wenye magari wagongeni hawa wajinga
Naona wanapita hapa ofisini kwangu ni kama wamepagawa na mapepo ya kuzimu
Give them a yard they take a mile.....
Hii yote inaletwa na serikali kuwa lege lege na siasa / dini kuingilia mambo ya msingi na sheria.., Sasa kama sheria ipo na imevunjwa kwanini mvunja sheria atake wavunja sheria waachiwe.., Do the Crime and you must Pay.., walijua fika kukataa kuhesabiwa ni kosa basi sasa either walipe hizo faini au waende jela.., after all ya Kaisari muachie Kaisari
hope utavuna mnachokipanda ,mbona ile ya miaka 55 ndio mafao hamkuandamana wanafki tuu,mambo ya msingi mnanyamaza upumbavu mnaandamana .tatizo elimu ndogo.
Hatuna waalimu wa kutosha hawaandamani.
hatuna madawa ya kutosha mahospitalini hawashiriki kupata jibu lake.
nafika mahala nawahurumia sana hawa jamaa.
huwezi kuitawala dunia kama utakuwa mbumbumbu. waelekeze maandamano upande wa elimu bora.
kwa mwendo huu mkoloni mweupe atarudi tu
Magari ya polisi yanatoka hapa Kanda maalum ya Dar es salaam yakiwa na Askari wakakamavu wenye silaha za moto na Mabomu!.. Mamejiandaa haswa!.. Wamegawanyika makundi manne
hakuna hata kawimbo ka kuhamasishana kanakoweza kukupa sababu ya kuandamana?
Kwa wale waliokuwa na shaka kwamba CHADEMA ni Chama Cha Dini ile someni michango yao hapa utapata Majibu
Nami nipo hapa nawasupport waislam wenzangu. Mpaka kieleweke
Magari ya polisi yanatoka hapa Kanda maalum ya Dar es salaam yakiwa na Askari wakakamavu wenye silaha za moto na Mabomu!.. Mamejiandaa haswa!.. Wamegawanyika makundi manne
Magari ya polisi yanatoka hapa Kanda maalum ya Dar es salaam yakiwa na Askari wakakamavu wenye silaha za moto na Mabomu!.. Mamejiandaa haswa!.. Wamegawanyika makundi manne
Wanaumoja kama CDM big up waislam.
mashehe ubwabwa au???