Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,047
- 1,326
Numeshakwambia sitaki kuishi kwenye takataka , Manzese na Tandale ni shitholes , sio maeneo ya kuishi binadamu hayo , ni ufukara wa kupindukia ndo unawafanya watu waishi humoKama unaweza Manzese kwanini ushindwe Tandale?
Achana na tafiti uchwara hizo nimekwambia iweke hapa hiyo tafiti umeshindwaNajua, na ndio maana nimetoa huo mfano kwa hao wanaojipa moyo mikoani ni kuzuuuri sana. Narudia tena, kwa mujibu wa NBS Dar ndio kuna unafuu wa maisha kuliko sehemu yoyote Tz hasa Mwanza ambako utafiti umeonesha wako chini sana.
Hawa watu wana ufukara wa kila kitu kuanzia fikra mpaka maliwatu wa dar wana kila aina ya matatizo
PointDoh naona hata hatuelewani umeng'ang'ania dar tu kuna maisha mazuri, mada haikuwa dar na mkoani wapi kuna maisha mazuri, mada inasema dar na mkoani wapi ni rahisi kufanikiwa kimaisha ,
Typical mindset ya watu wa dar , hatukubali kuonekana tumeshindwa hata kidogo especially unapofanya argument na mtu unayedhani ni wakuja !!!
Naona mada ya chini hapo unampinga kwa nguvu zote mdau aliyesema kuwa dar kuna joto ,
Ndio tena wenyewe hadi wanatengenezea supu eti halafu na maindi ya kuchoma na chumvi eti ndo msosi huo , dah !Nliwahi kuskia eti dar wanauza hadi miguu ya kuku na utumbo wake wakati huku mkoan utumbo na miguu tunamwekea mbwa ale. Iv ni kweli au story tu....km ni kweli basi jibu limeshapatikana dar maisha magum.
Kwani huyaoni maghorofa yaliyojazana Dar? Unadhani yote yanamilikiwa na serikali?Halafu wewe wa zamani, kweli hao wenye hayo mashangingi dar wanapiga deal gani kama sio 90 parcent ni wa serikalini tena enz za jakaya...hujatembea muda kweli....halafu mbona kitu kidogo sana umezungumzia....nilidhani angalau mtu ana kiwanja chenye hati ekari 100/huko nyumba 20 kuendelea....
Mkuu mbona andika yako inaonekana una harufu ya shida hadi utosini?nyinyi ni waoga wa maisha, maisha popote, kama umeamua kurudisha mpira kwa kipa ni mpango wako kivyako vyako, wengine tumetusua na tunaendelea kutusua hapa hapa bongo daslamu
Hadi supu za ngozi za ng'ombe na mbuzi zipo, ni sheedah juu ya sheedah!Ndio tena wenyewe hadi wanatengenezea supu eti halafu na maindi ya kuchoma na chumvi eti ndo msosi huo , dah !
DuhHadi supu za ngozi za ng'ombe na mbuzi zipo, ni sheedah juu ya sheedah!
Wewe endelea kuishi kwenye vinyesi halafu ujipe moyo eti iko karibu na mjini so what ? Yani unachoongea wewe ni sawa na kula kinyesi kwenye restraunt , totally illogicalWw unawachukia watu wa dar kutoka moyoni lakin wadar hawana time na ww wamkoan coz ww unajua wanakudharau lakin iyo ni hali uliyojiwekea ww kutokana na watu uliosoma nao shule za boarding na chuo
Dada dar ndio jiji la kwanza Tanzania
Iyo slums ya tandale inasamani sana kuliko iyo nyumba yenu mkoan coz land position iyokuwepo iyo nyumba ni dar karibu na mjin
Umeona zile slump za kipawa zilivyo kuwa mbovu lakin walivyofunja kwa kutanua airport watu walilipwa ela nyingi sana coz ni dar siyo mkoan sasa ww cheka nyumba ya mchikini kariakoo ilivyo kuwa mbovu ngoja auze utaona mpunga anaochukua ndio utajua kuna dar na mikoan
Umenena point muhimu sana, ndo maana mi huwa nasema 'Dar is a good place for senior employees and giant entrepreneurs'Hahah ila mi naona Dar nzuri kwa biashara kuliko ajira ila uwe umeinvest pesa ndefu. Sio biashara za kuchonga miwa na kuuza pipi.
Kwa ajira ukipata unayokunja at least 2 to 3m kama take home ndio utainjoy life la mjini. Ila kinyume na hapo ni shida tu mzee baba!
Basi kama hujui Dar ni rahisi kujenga nyumba kuliko mikoani.Maoni yangu
Dar Ni vigumu kujenga nyumba kuliko mkoani
Lakini dar Ni rahisi kupata hela kuliko mikoani
Bila shaka hesabu zinakupiga chenga. Mdau kaelezea "chance ya occurance" kwa kutumia hesabu za probability.Mkuuu we ni mshabiki mtazamaji wa mafaniko ya wenzako. Sasa hayo magari na majumba mazur we binafsi unanufaika vip nayo. We binafsi unamirik nn. Au ndo wafurahia kuona hayo magari na majumba ya bakharesa. Think out the box
Mzunguko wa pesa mkoani mdogo sana. Kutoka sio leo wala kesho.Wapi nimesema mkoani kuna maisha mazuri mkuu?
Nilichosema ni kuwa mkoani ni rahisi kutoka kuliko dar , baas !!! Hakuna sehemu yoyote ambayo nimesema maisha ya dar ni mabaya , Nilichosema ni kuwa najutia muda niliopoteza kuishi dar
Umeamua kunitafrisi unavyotaka wewe na kujenga hoja kutokana na tafsiri yako, Again typical mindset ya sie watu wa dar !