Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Dar ndiyo iliyokufungua mawazo,bila kukaa Dar usingeona hizo fursa.Ulipata changamoto Dar ukazifanyia kazi huko kwingineNimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi..
Sasa hivi nawaza itakuaje baada ya mwaka au miaka kumi nitakuwa wapi. Hilo Dar linaishia kwenye maneno tu,maisha ya Dar yanamfanya mtu awe mtumwa,wana wengi wanaogopa kurudi mahome kwao kwa kuhisi watadharaulika.
Acha fikra potovu rudi ubadili namna ya kufikiri,huku mambo yanaenda ukitia nia.