Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Unaweza kununua kiwanja Manzese Sasa hivi pamoja na ubovu wake wote ule? That is TandaleHahahaaa eti sehemu expensive zijazo , a hell on Earth !
Unaweza kununua kiwanja Manzese Sasa hivi pamoja na ubovu wake wote ule? That is TandaleHahahaaa eti sehemu expensive zijazo , a hell on Earth !
Maisha popoteBinafsi mi nimeondoka dar mwaka jana mwanzoni na sikuwa na mpango wa kuishi mkoani!! Nilikuwa nimeenda kupiga ishu flani then nigeuze , lkn kadri nilivyozidi kukaa nikashawishika kuwa kuna possibility ya kuishi mkoani na maisha yakawa mazuri tu! Now nipo mwanza na nishahamisha makazi ya kudumu na sina mpango wa kurudi dar tena!!!
Umenikumbusha ule wimbo wa "Sifa za kijinga"Ninyi nyote kwa kifupi mawazo yenu ni finyu na uwezo wa kutoka ndani ya kundi la wajanja hamuwez, kwa kifupi mnarudi kwenye ule msemo wa kizamani kwamba jogoo wa shamba.....niwaulize mnawaza habari ya eti kodi ya nyumba, chakula maji, kwa hio huko mikoani kuna nyumba za bure? Kama kamji kadogo namna hii mnaona ni kupoteza muda inakuwaje ungetupwa jiji kama NY, Milan ama London ukaambiwa utafute connection mtoboe? Wasema Dar ni kupoteza muda lakini tambua nyumba nzuri kushinda zoote Tanzania iko Dar, viwanja vikal viko Dar, Tajiri namba 1 Tanzania yuko Dar, hata gari ya kifahari nchi nzima inaendeshwa Dar..nyie endeleeni kukusanya matembele huko na kujigamba mnamilik nyumba huko ambayo ukiileta dar itathaminishwa na ilioko tandale


NinawezaUnaweza kununua kiwanja Manzese Sasa hivi pamoja na ubovu wake wote ule? That is Tandale
Kama unaweza Manzese kwanini ushindwe Tandale?Ninaweza
Enzi za kupiga deal ndo ilikuwa hivyo; kwa sasa imebaki historia. Dar itakuja kuwa kama Mombassa ya Kenya, mambo yote yatahamishiwa Dodoma na Mwanza, jipeni muda mtakuja kubaliana nasi tulioko mikoani.Waulize wenzio waliohamia dodoma wanavyolia Lia. Dar kufanikiwa ni rahisi kuliko kufeli.
Huu msemo wa wapiga Dili unawadanganya wengi.Tunasubiri Tairi la nyuma la gari lilipite Tairi la mbeleEnzi za kupiga deal ndo ilikuwa hivyo; kwa sasa imebaki historia. Dar itakuja kuwa kama Mombassa ya Kenya, mambo yote yatahamishiwa Dodoma na Mwanza, jipeni muda mtakuja kubaliana nasi tulioko mikoani.
Nilikaa miaka miwili na nusu mikoani lakini sikuwahi ona jambo la maana hela zenyewe hakuna, yani watu hawanywi hata soda aisee na wakinywa soda ni kwenye sherehe aisee, tangu nirudi Daslama nateleza tu kama maji...
Ninyi nyote kwa kifupi mawazo yenu ni finyu na uwezo wa kutoka ndani ya kundi la wajanja hamuwez, kwa kifupi mnarudi kwenye ule msemo wa kizamani kwamba jogoo wa shamba.....niwaulize mnawaza habari ya eti kodi ya nyumba, chakula maji, kwa hio huko mikoani kuna nyumba za bure? Kama kamji kadogo namna hii mnaona ni kupoteza muda inakuwaje ungetupwa jiji kama NY, Milan ama London ukaambiwa utafute connection mtoboe? Wasema Dar ni kupoteza muda lakini tambua nyumba nzuri kushinda zoote Tanzania iko Dar, viwanja vikal viko Dar, Tajiri namba 1 Tanzania yuko Dar, hata gari ya kifahari nchi nzima inaendeshwa Dar..nyie endeleeni kukusanya matembele huko na kujigamba mnamilik nyumba huko ambayo ukiileta dar itathaminishwa na ilioko tandale
Watu kibao wamehamishiwa Dodoma wanalia utafikiri wamepelekwa kambi ya wakimbizi Ngara!
Binafsi mi nimeondoka dar mwaka jana mwanzoni na sikuwa na mpango wa kuishi mkoani!! Nilikuwa nimeenda kupiga ishu flani then nigeuze , lkn kadri nilivyozidi kukaa nikashawishika kuwa kuna possibility ya kuishi mkoani na maisha yakawa mazuri tu! Now nipo mwanza na nishahamisha makazi ya kudumu na sina mpango wa kurudi dar tena!!!
Yes nagari ya thamani Tanzania yapo Dar nyumba za gharama kubwa zipo Dar viwanja vizuri pia na kila kitu kizuri hapa Tz kinapatikana DarGari kali liwe Dar?
Viwanja vizuri viwe Dar?
Hahaha ni bora tu ungenyamaza mkuu.
Yaaani we uliesema raslimali watu nakuonea huruma sana watu wenyewe kina nani wa kuwageuza raslimali siku hizi kila mtu mjanja utampata nani awe fursa kwakoHana akili, kuna kitu kinaitwa rasilimaliwatu, hii ukiitumia vizuri inakutoa, ukifikiri vizuri, changamoto inaweza kuwa fursa.
Endelea kukariri hivyo hivyo mkuuBila shaka we ni denti
Tena nahisi kila MTU ni msomi sana si kwa mbwembwe za humu JFUzuri wa jf Kila mtu ni milionea na Kila mtu ana maisha bora
Kuna aina ya mikoa. Si mikoa yote wana omba omba. Kuna mikoa inajiweza na hawalalamiki.Jamaa wanajifariji kweli wanahisi mkoani Kila mtu katoboa wakati sehemu kibao watu wanachangia maji/Dimbwi na Ng'ombe.
Ndiko ambako utakuta wananchi wake Kila siku wanaomba msaada serikali iwasaidie kujenga choo cha zahanati ya Kijiji.Wakitaka kupitisha harambee unakuta vikao wanakuja kufanyia Dar