Nimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi..
Sasa hivi nawaza itakuaje baada ya mwaka au miaka kumi nitakuwa wapi. Hilo Dar linaishia kwenye maneno tu,maisha ya Dar yanamfanya mtu awe mtumwa,wana wengi wanaogopa kurudi mahome kwao kwa kuhisi watadharaulika.
Acha fikra potovu rudi ubadili namna ya kufikiri,huku mambo yanaenda ukitia nia.[/QUOTE Aisee ndugu that is material fact and empirical evidence ,ni wachache mno watakuelewa ,,, I have in DSM aka dirty city for 14 years nikafanya maamuzi magumu ya kuhama Aiseee sijuti nimeka miaka miwili wilayani kweli naona mabadiliko makubwa mno !!! Dar watu wanadanganyana