Hapa cha kuangalia
ni kwanini pesa hizo zilipitia mkombozi? Kulikuwa kuna lengo gani? Mfano
Labda
Anna Tibaijuka anaweza kusema sababu
za pesa za mchango wa Babro Johnson zilipitia mkombozi bank na sio
account ya shule moja kwa moja! Pengine ni nani kati yao alipendekeza
pesa zipitie huko na kwa sababu gani?
Inawezekana kweli mpokea pesa alipokea pesa bila kujua ni haramu au lah
lakini kuna maswali anapaswa kuyajibu!
Mimi Jana nilitetea pengine hana kosa lolote na hajui lakini nimeanza
kujiuliza why mkombozi account na sio Mama ana au Babro johnson bank
account?
Halafu swala la kusema BOT waifungie Mkombozi kisa imepokea pesa hilo si
sawa,Mkombozi wanafanya biashara na hawawezi bagua wateja na katika
hili sijaona kosa lao kabisa labda ikithibitika wamehusika!
Hosea kusema atawashitaki walio pokea pesa hili nalo linaweza lisiwe
sawa maana kupokea pesa linaweza lisiwe kosa kabisa labda kama
ithibitike watuhumiwa walikuwa wanajua ni pesa haramu na walikuwa kwenye
deal!
Kwangu Mimi naona
Anna Tibaijuka ana maswali
machache ya kujibu kwenye hili sakata na kujinasua!
Cc
nyumba kubwa