Dar Firm (VIP Engineering and Marketing) Account Seized in Holland

Dar Firm (VIP Engineering and Marketing) Account Seized in Holland

Mkuu sakata hili lazima liwamalize watu japo ni ngumu kumeza lakini ukweli ndio huo.


mkuu, kwa vile wafadhili tayari wameishajiingiza kwenye suala hili na kwa kuwa hawapendi fedha zao ziliwe na haya MAJIZI ya CCM, lazima patachimbika. fedha za UGOLO lazima zirudi la sivyo kibanda chake lazima kipigwe mnada. hawa PANYA wa CCM wamezoea sana kuguguna mali za umma. mimba waliyojijaza magamba, mwaka huu sharti wazae, tena mapacha!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi Mama Annie Tiba na Rugemaliza hawana kau(n)dugu kweli hata ka ukabilaukabila hivi?
 
uzi kama huu akina FAIZAFOXY, MSALANI, LIZABONI etc huwezi waona

hao matutusa ni nadra sana kuwaona kwenye nyuzi nzuri kama huu hapa. utawakuta wametunisha MIMBA zao Lumumba wakisubiri kuokoteza makombo kutoka kwa Nape. MIZIGO kama hii ndio inachelewesha ukombozi wa nchi hii.
 
Tanzania hatukuwahi kupata kuwa na kiongozi bora.

Huyo anaeitwa sijui baba wa Taifa ndiye muasisi wa Failure Legacy kama hii tunayoiona hiv sasa.

Msingi mbovu siku zooote hujenga nyumba mbovu.

Nyerere kaliachia Taifa hili legacy mbovu na msingi mbovu.

Thats why unaweza kuona mara tu baada ya kifo chake yule Rais aliempendekeza yeye ambae ni mkatoliki mwenzake benjamin william mkapa haraka akaaanzisha mifumo ya wizi na ufisafi kwa mgongo fake wa uwekezaji kumbe ni janja ya kuliiibia taifa hili na kulitia umaskin zaid ya ule aliouacha nyerere.

Usitegemee kikwete kuja kufanya maajabu ndan ya miaka kumi ya utawala wake chini ya mfumo ulioharibiwa ndani ya miaka 50 hamsini ya utawala mbovu na wa kidiikteta.

Waliorigharim na wanaoendelea kuligharim taifa hili wanafamika.

Ni hao wanaojiita wasomi waliojazana kwenye kila sekta ndan ya serikali hii.

Mbivu na mbichi sasa tunaziona.

Mkuu kama Nyerere alijenga mfumo mbovu ni kwa nini alivyostaafu wazee walikaa Zanzibar wakaanzisha Azimio la Zanzibar na kuuwa la Arusha? Je huu wizi unaoendelea sio matokeo ya Azimio la Zanzibar?
 
Mkuu Namini Marehemu Waziri ALilijua hili na alijitahidi sana kulizuia ila ndio Vile watu walimzidi uwezo na maarifa wakaenda Kumkolimba/KuMvungi/Kudalali huko South Africa na Mwane wakampa zawadi ya Ubunge, hivi ujiulizi inakuwa vipi MACCM wagawe Ubunge kama zawadi kwa mtu amabaye kwenye Chama sio mkongwe au marufu au Alwatan.
Sina uhakika na wala siwezi kataa kama waziri aliyepita aliona rafu mapema na kama alijua ni rafu in the first place kwa sababu hakuna maelekezo maalum who has the supervisory role on BoT na matumizi ya hela za serikari the only connotation hapa na hii wizara ndio inayohusika na fedha.

Nimepitia sheria zao za mabadiliko BoT regulation zinazo wapa mwongozo zaidi ya copy and paste za 'Basel regulations' kukabiliana na matatizo yaliyosababisha mpronyoko wa uchumi hakuna pahala panapo sema BoT watakuwa responsible kwa taasisi yeyote hile zaidi ya kusema watakaguliwa na independent bodies sasa sijui hao independent ni akina I guess by common ni donors kwanza kwa upande wa kimataifa lakini kwa ndani nani anakagua BoT periodically maana CAG anafanya uthibitisho tu wa mahesabu sasa hapo katikati kuna abuse nyingi sana zinaweza fanyika zikalembwa na lugha tu kujustify.

Ndio maana napenda kujua nani anaangalia/kagua malipo yanayotoka regulary na legitimacy zake si wizara tu bali the man on the neck of BoT all the time. Kwa maana hiyo marehemu ata kama alikuwa anajua or for that matter yeyote mwengine mwenye kiherehere anatafuta matatizo kupambana mwenyewe considering the amount of sums and the syndicate involved normally kuchopoa pesa kama hizo. Lakini unapounda auditors maalum wa kukagua taasisi za serikari tena sio moja inakuwa ngumu sana kuiba iba kirahisi kama wanavyofanya au kulipa madeni sijui upuuzi gani bila ya bunge kuwa na taarifa za kutosha ata kama kupitia kamati zao.

Binafsi huwa sipendi kutoa lawama pale ambapo kuna makosa ya ufanyaji kazi (for one simple reason sitegemei watu wengi wawe na in born ya maadili mema therefore people will exploit loopholes popote pale duniani), hila makosa yaleyale yanapojirudia inabidi tuulizane weledi wahusika kama wana nia njema in the long run.
 
Baadhi ya wanasheria wa nchi hii wanatumia sharia kuididimiza nchi hii. Kwa kuwa VIP engineering walijipanga kisheria kukwapua hizo pesa, na kwa kuwa sharia ilitumika kuwakwapulisha hizo pesa, utashangaa serikali ikishindwa na Ruge akiai mabioioni mengine kama fidia. Juzi kuna meli imekutwa ikivua samaki wetu eti walikutwa nayo hawana hatia na wanatakiwa walipwe meli, samaki na fidia. Hayo yote ni matokeo ya ubovu wa baadhi sharia zetu na ubinafsi wa watanzania.
 
An impeccable source told The Citizen on Saturday that the PCCB has established that taking the money from BoT was “outright theft” facilitated by corruption. Top officials in the BoT, the Attorney General’s Chambers and the energy ministry appear to have been implicated. “The CAG has concluded that the release of money from the escrow account was a grossly irregular move based on fraud,” said the source.

The CAG has recommended that all the officials be charged in court and the money taken from the escrow account returned.

Dr Hosea is also ready to prosecute those who received the Rugemalila money from Mkombozi.

CC: Mama Tibaijuka


Hongera sana Kafulila kwa juhudi zako Mkuu kuhusiana na wizi huu.
 
Last edited by a moderator:
Nchi imeoza Mkuu Bulldog sasa wanataka kumuingiza fisadi mwingine ili aendeleze ufisadi wao. Kiongozi aliyeipenda Tanzania na Watanzania na alijali maslahi ya nchi ni Mwalimu tu(RIP) wengine wote wezi na mafisadi.

Tanzania hatuna uongozi, hili tumepoteza toka 1995
 
Last edited by a moderator:
An impeccable source told The Citizen on Saturday that the PCCB has established that taking the money from BoT was "outright theft" facilitated by corruption. Top officials in the BoT, the Attorney General's Chambers and the energy ministry appear to have been implicated. "The CAG has concluded that the release of money from the escrow account was a grossly irregular move based on fraud," said the source.

The CAG has recommended that all the officials be charged in court and the money taken from the escrow account returned.

Dr Hosea is also ready to prosecute those who received the Rugemalila money from Mkombozi.

CC: Mama Tibaijuka


Hongera sana Kafulila kwa juhudi zako Mkuu kuhusiana na wizi huu.

Aliitwa tumbili masikini
 
Huyu Rugemalila c ndio alisema hizo Bil 120 ni vihela vya ugoro! Haya sasa mtihani mwingine huu kwa JK
 
Nakumbuka Mkuu itakuwa poa sana huyo aliyemuita Tumbili naye awemo katika list ya wale watakaopandishwa kizimbani, lakini kwa Serikali hii iliyojaa mafisadi tusishangae hii kesi ikapotezewa kama zilivyopotezewa nyingine za nyuma, "Serikali imefanikiwa kupata pesa zote bilioni 200 hivyo wahusika wa wizi wa pesa hizi hawatachukuliwa hatua zozote za kisheria." Hata majina ya wezi yanaweza kufanywa siri. Kuna kingunge mmoja alidai pesa zile si za Serikali.

Aliitwa tumbili masikini
 
Yericko nyerere huyo.

Ni wa kumpuuza tuh.

Hana utimamu wa akili kudiscuss mada kama hizi.

So ina maana hiyo mkombozi bank inamilikiwa na kanisa???

Hebu vuta picha bank hii ingekuwa ina chembe chembe na uislam kidogo hali ingekuwaje.

Kwa ufupi hawa wenzetu kwa kias kikubwa wanahusika sana ktk kulitia umaskin taifa hili.

Tokea zama na zama.

Eighty to Ninety percent of govment positions wanashikilia wao.

Jiulize taifa limenufaika nin na uwingi wao na kujinasibu kwao na usomi zaid ya wizi na ufisadi??
Juzi wameomba watanzania tukaishi Dubai na watawala wa U.A.E waje Tanzania haitapita miaka 10 tanzania itakua zaidi ya Dubai
 
Hongera sana Kafulila kwa kuikomalia hii ishu hadi kimeeleweka kile kilichokajificha.
 
Mag umejuaje? hata mimi nilipoona hilo jina tu sikushangaa na mchango wake. na hii kasumba itatutesa sana kama tusipokuwa makini na upuuzi wa aina hii. naamini kabisa zaidi ya 99% tibaijuka, anna alijua fika hela ziliingizwa na kwa makusudio yapi. mbona hawajaingiza kwenye account yangu? kwa nini ya anna? ukabila huu utatutesa sana. ni vizuri kukaa pembeni na kumwachia hosea afanye kazi yake kuliko kuanza kuonesha sympathy kwa watuhumiwa wa wizi.

Hapa cha kuangalia ni kwanini pesa hizo zilipitia mkombozi? Kulikuwa kuna lengo gani? Mfano Labda Anna Tibaijuka anaweza kusema sababu za pesa za mchango wa Babro Johnson zilipitia mkombozi bank na sio account ya shule moja kwa moja! Pengine ni nani kati yao alipendekeza pesa zipitie huko na kwa sababu gani?
Inawezekana kweli mpokea pesa alipokea pesa bila kujua ni haramu au lah lakini kuna maswali anapaswa kuyajibu!

Mimi Jana nilitetea pengine hana kosa lolote na hajui lakini nimeanza kujiuliza why mkombozi account na sio Mama ana au Babro johnson bank account?

Halafu swala la kusema BOT waifungie Mkombozi kisa imepokea pesa hilo si sawa,Mkombozi wanafanya biashara na hawawezi bagua wateja na katika hili sijaona kosa lao kabisa labda ikithibitika wamehusika!

Hosea kusema atawashitaki walio pokea pesa hili nalo linaweza lisiwe sawa maana kupokea pesa linaweza lisiwe kosa kabisa labda kama ithibitike watuhumiwa walikuwa wanajua ni pesa haramu na walikuwa kwenye deal!

Kwangu Mimi naona Anna Tibaijuka ana maswali machache ya kujibu kwenye hili sakata na kujinasua!

Cc nyumba kubwa

Hapa natarajia utatetea tu, hapa lazima utetee, wenye akili wanaunganisha Id's tu
 
Jamni mboja
mnazipunguza? zile ni 1UsdMil ambayo ni sawa na 1.7 Bil na ukitaka
kuikadiria hiyo ni 2Bil kimahesabu jamani.

ataweka historia kuwa mwanamke tz wa kwanza kufungwa kwa ufisadi, naomba siku anapelekwa kisutu iwe siku ya mapumziko, tuandamane kwa amani.
 
Mkuu kama Nyerere
alijenga mfumo mbovu ni kwa nini alivyostaafu wazee walikaa Zanzibar
wakaanzisha Azimio la Zanzibar na kuuwa la Arusha? Je huu wizi
unaoendelea sio matokeo ya Azimio la Zanzibar?

ni akili ya ajabu mno kumlaumu nyerere aliyestaafu miaka 30 iliyopita,
 
mkuu mpaka sasa hivi kuna swali ambalo sina jibu juu ya hawa waTZ wenzetu. wapo bize kututukana mitandaoni kuwa hatujasoma lakini kama ulivyosema zaidi ya 75% ya waajiriwa wa umma for the past 50 years ni wao na taifa hili ni miongoni mwa mataifa masikini kabisa dunia. tofauti na wengi wetu ambao wako kwenye system kwa kusema ukweli hawajishulishi na ibada mfano mzuri kama sikosei ni kikwete mwenyewe nadhani swala 5 kwake ni msamiati kwa lugha ingine hata hayo mafundisho hayajui vizuri. lakini kwa hawa wenzetu hawashindi kwenda kwenye nyumba za ibada lakini kila kukicha ufisadi na wao, wao na ufisadi. kitu ambacho nashindwa kuelewa; hivi huko huwa wanafundishwa kudhulumu? naamini kabisa hata hizo hela hutumika kutoa sadaka. sasa nashangaa hizo sadaka za hela za wizi zinapokelewaje hata na huyo wanaemuabudu? maana ninachokumbuka kwenye mafundisho yetu ni haramu kudhulumu au kudhulumiwa. mfano mzuri ambao nahisi wanajua mafundisho vizuri na Dr. Shein na Dr. Bilal, huwezi kuwasikia kwenye upuuzi kama huu.


Yericko nyerere huyo.

Ni wa kumpuuza tuh.

Hana utimamu wa akili kudiscuss mada kama hizi.

So ina maana hiyo mkombozi bank inamilikiwa na kanisa???

Hebu vuta picha bank hii ingekuwa ina chembe chembe na uislam kidogo hali ingekuwaje.

Kwa ufupi hawa wenzetu kwa kias kikubwa wanahusika sana ktk kulitia umaskin taifa hili.

Tokea zama na zama.

Eighty to Ninety percent of govment positions wanashikilia wao.

Jiulize taifa limenufaika nin na uwingi wao na kujinasibu kwao na usomi zaid ya wizi na ufisadi??
 
Samahani kidogo wanajamvi naomba kutoka nje ya mada. Rugemalila, Mama Tibaijuba na vigogo wengine waliolipwa hizo pesa wana mapenzi mema kweli na Tanzania (Uzalendo)?. Maana kumekuwa na kelele kule bungeni kwamba Watanzania walio nje ya Tanzania (Wanadiaspora) hawana uzalendo na nchi. Sasa hawa wezi wa mabilioni ya watanzania nao ni wanadiaspora?
 
Tanzania hatukuwahi kupata kuwa na kiongozi bora.

Huyo anaeitwa sijui baba wa Taifa ndiye muasisi wa Failure Legacy kama hii tunayoiona hiv sasa.

Msingi mbovu siku zooote hujenga nyumba mbovu.

Nyerere kaliachia Taifa hili legacy mbovu na msingi mbovu.

Thats why unaweza kuona mara tu baada ya kifo chake yule Rais aliempendekeza yeye ambae ni mkatoliki mwenzake benjamin william mkapa haraka akaaanzisha mifumo ya wizi na ufisafi kwa mgongo fake wa uwekezaji kumbe ni janja ya kuliiibia taifa hili na kulitia umaskin zaid ya ule aliouacha nyerere.

Usitegemee kikwete kuja kufanya maajabu ndan ya miaka kumi ya utawala wake chini ya mfumo ulioharibiwa ndani ya miaka 50 hamsini ya utawala mbovu na wa kidiikteta.

Waliorigharim na wanaoendelea kuligharim taifa hili wanafamika.

Ni hao wanaojiita wasomi waliojazana kwenye kila sekta ndan ya serikali hii.

Mbivu na mbichi sasa tunaziona.
Baadavya Nyerere alifuatia Mkapa?

Udinia wako umekuponza hadi akili zako
 
Back
Top Bottom