Dar Firm (VIP Engineering and Marketing) Account Seized in Holland

Dar Firm (VIP Engineering and Marketing) Account Seized in Holland

Mkuu umesahahu kubadilisha ID au?
manaa haya aliyaongea Yericko Nyerere au mimi nimesahahu?

Yericko nyerere huyo.

Ni wa kumpuuza tuh.

Hana utimamu wa akili kudiscuss mada kama hizi.

So ina maana hiyo mkombozi bank inamilikiwa na kanisa???

Hebu vuta picha bank hii ingekuwa ina chembe chembe na uislam kidogo hali ingekuwaje.

Kwa ufupi hawa wenzetu kwa kias kikubwa wanahusika sana ktk kulitia umaskin taifa hili.

Tokea zama na zama.

Eighty to Ninety percent of govment positions wanashikilia wao.

Jiulize taifa limenufaika nin na uwingi wao na kujinasibu kwao na usomi zaid ya wizi na ufisadi??
 
zimekuwa frozen ila baadae zitayeyukia mikononi mwa mafisadi, and the circle continues!
Haaaa umenikumbusha kemia ya enzi za mabala ze farmer....being frozen is just a physical change when heat is applied then it will unfreeze and return to its original state....tuombe kama wamefreezia kwenye fridge la masaki basi wakaunfreezie kwenye bakula la watoto wa wakulima wa kule mbagala
 
Ilitakiwa mwengine awe analijua hili kabla alijatendeka na aweze kulizuia sio mambo yashafanyika ndio watu wanafanya uchunguzi kila siku zitakuwa hadithi hizi hizi wakati fungu kubwa lishatoweka, unajiuliza ni nani alielianzisha hili sataka? ni chombo cha ukaguzi wa kila siku au kamati. Kama ni kamati we have a serious problems with our check systems maana wengi tumekuja kusikia baada ya kuwa muhusika kesha chukuwa chake loongi.

Mkuu Namini Marehemu Waziri ALilijua hili na alijitahidi sana kulizuia ila ndio Vile watu walimzidi uwezo na maarifa wakaenda Kumkolimba/KuMvungi/Kudalali huko South Africa na Mwane wakampa zawadi ya Ubunge, hivi ujiulizi inakuwa vipi MACCM wagawe Ubunge kama zawadi kwa mtu amabaye kwenye Chama sio mkongwe au marufu au Alwatan.
 
"The CAG has recommended that all the officials be charged in court and the money taken from the escrow account returned" na hili ndio Muhimu lakini kwa Tanzania yetu tuendelee kumuomba Mungu

Na hiyo pesa ni ya watanzania maskin kama sisi.

Kumbuka malipo haya tunayoyafanya mfano kodi na manunuzi ya umeme kwa kila siku ndizo collections zinazofanywa na kudundulizwa kisha wajanja wanachukua kwa mgongo kama huo wa Escrow.

Lkn kwa kuwa watz tumezoea kuendeshwa kwa upepo hili nalo litapita kama yalivyopita mengine.

Upuuz huu pindi mataifa ya wenzetu wanapowaza kufanya maendeleo sisi huku tunawaza kuibiana na kukimbilia nje ya nchi kuficha mabiliion ya maskin hohe hahe wa taifa hili.

Sijui nani aliwaroga wakafikia hatua ya kukosa uzalendo kias hiki.

Ukiwaona wanavyojaa kwenye Mi VX V8 utadhani ni watu wa maana vile.

Kumbe wezi tu.
 
Yericko nyerere huyo.

Ni wa kumpuuza tuh.

Hana utimamu wa akili kudiscuss mada kama hizi.

So ina maana hiyo mkombozi bank inamilikiwa na kanisa???

Hebu vuta picha bank hii ingekuwa ina chembe chembe na uislam kidogo hali ingekuwaje.

Kwa ufupi hawa wenzetu kwa kias kikubwa wanahusika sana ktk kulitia umaskin taifa hili.

Tokea zama na zama.

Eighty to Ninety percent of govment positions wanashikilia wao.

Jiulize taifa limenufaika nin na uwingi wao na kujinasibu kwao na usomi zaid ya wizi na ufisadi??

1. Mkuu hata mimi nimeuliza hivi Ingekuwa bank ya Kiislam hali ingakuwaje humu Jf na Mtaani.

2.HIlo la Position hapo sikukubalii maana ukweli ni kuwa kwa sasa Raisi ni Muislam, Mkuu wa Polisi alikuwa ni Muislam, lakini hakuna anachofanya zaidi ya Kula KOLABO na hilo KANISA na kuzidi kutukandamiza huku akiitumia BAKWATA kama Kipaza sauti cha CHAMA na SEREKALI.

HAkika SISI, WAISLAM ni wakuhurumiwa Mana TU-WANAFKI sanaaa tena sanaaaa.

Muislam Mwenzetu Kikwete Kikombe hiki hakiwezi kumpita na hakika siku ya mwisho atakuja kuulizwa uliwafanyia Nini Waislam wenzako pale ulipo pata nafasi ya kuweza kuwasaidia.
 
Kama namuona kaka jambazi vile kwi kwi,wapi kaka tumbili big up kamanda kafulila, chonka iwe muisiki mama tibaijuka kubakisi umekubali kupokea fedha za mlungula maskini mama tiba credibility yako yote imeporomoka.
 
Mkuu Namini Marehemu Waziri ALilijua hili na alijitahidi sana kulizuia ila ndio Vile watu walimzidi uwezo na maarifa wakaenda Kumkolimba/KuMvungi/Kudalali huko South Africa na Mwane wakampa zawadi ya Ubunge, hivi ujiulizi inakuwa vipi MACCM wagawe Ubunge kama zawadi kwa mtu amabaye kwenye Chama sio mkongwe au marufu au Alwatan.

So.

This means marehemu mgimwa alikuwa analitambua hili hadi likawa ndio sababu ya kifo chake??

Ukiunganisha dots inasound kias flan.

Hivi tokea walipoanza kuiba pale hadi leo wamenufaika na nin hawa jamaa??

Mbaya zaid watakufa very sooon.

Na hivi wanavyoibia wenzao wataviacha.

Kwnn wasiweke uzalendo wa kulijenga taifa hili kwa manufaa ya vizaz vijavyo??

Bimaana sisi na hiki kizaz tumekubali wameshatulostisha tayari.

Haitoshi na hawajatosheka na hili hadi sasa wanaamua kutaka kuvigharim hadi vizaz vijavyo??

Hii hali hivi sasa imefikia pabaya sana.

Haivumiliki.

Haiwezekani sisi tukamuliwe kodi zetu kisha wao wachukue na kuhongana kirahis rahis kama hivi na huku wengine wachukue na kununulia mademu zao Vitara.

Enough is Enough.

Inabid tuchukue maamuz magumu sasa dhidi yai.

Hao Tiss sijui wanafanya nini.

PccB kila siku wanaishia kulalama tu km kawaida yao.

CAG nae amekuwa ni mtu mwenye kutoa suggestions tu tena zisizofuatwa.

Mahakama nazo hazina meno

Yaani ni balaa juu ya balaa.
 
Tanzania hatuna uongozi, hili tumepoteza toka 1995
 
TISS wanafanya kazi kisiasa, wanawalinda wenye nchi,

PCCB imekaa kisiasa kwasababu hawajapewa uwezo wa kufanya waliyotakiwa kufanya

CAG naye ni wa kisiasa, anafunika kombe mwanaharamu apite. Yeye ataibua wizi wa wilayani tu, kule kwenyewe anakaa kimya.

AG naye ni wa kisiasa.

Yani bongo wanatumia hivyo vyombo kukaa madarakani
 
Kumbe wanaweza kufunga bank accounts hata nchi za nje, sasa kinawashinda nini kufunga bank accounts zote zenye mabilioni ya Uswiss na kuwaachia mafisadi waendelee kuzichota!? Mpaka sasa hivi wameshachota zaidi ya 40 billion.

Hii Habari isomwe na Mama Tibaijuka aliyepokea karibu shilingi bilioni 2 za wizi
 
Last edited by a moderator:
uzi kama huu akina FAIZAFOXY, MSALANI, LIZABONI etc huwezi waona

Achana nao hao vijana ubongo wao una IQ ndogo kama ubongo wa kuku,hata kilichoandikwa hapo hawakielewi wao wanachojua ni kupokea t shirt,kanga vitenge na pilau na kupanda malori kwenda mikutanoni.
 
Wakuu hv ukiingia kwenye chama cha wachawi unaweza kuwasaliti?
 
1. Mkuu hata mimi nimeuliza hivi Ingekuwa bank ya Kiislam hali ingakuwaje humu Jf na Mtaani.

2.HIlo la Position hapo sikukubalii maana ukweli ni kuwa kwa sasa Raisi ni Muislam, Mkuu wa Polisi alikuwa ni Muislam, lakini hakuna anachofanya zaidi ya Kula KOLABO na hilo KANISA na kuzidi kutukandamiza huku akiitumia BAKWATA kama Kipaza sauti cha CHAMA na SEREKALI.

HAkika SISI, WAISLAM ni wakuhurumiwa Mana TU-WANAFKI sanaaa tena sanaaaa.

Muislam Mwenzetu Kikwete Kikombe hiki hakiwezi kumpita na hakika siku ya mwisho atakuja kuulizwa uliwafanyia Nini Waislam wenzako pale ulipo pata nafasi ya kuweza kuwasaidia.
Kikwete kuwa kwake muislam hakuondoi uhalisia kwamba 80 to 90 percent of govment positions zinashikiliwa na wakristo.

Hakuondoi uhalisia huo.

Na kikwete hali hiyo kaikuta.

Ni mfumo uliandaliwa kuwa hivyo.

Ukihoji uwepo wa mfumo huo jibu linatoka kwamba waislam hatujasoma.

Thats tunauliza kwamba hao wenzetu waliojaa serikalin ambao wanaclaim kwamba ni wasomi wamelisaidia nn taifa hili kujikwamua kwenye umaskini???

Au kipimo cha usomi wao ni uwezo mkubwa wa wizi na ufisadi??

Siwahukumu interms of majority of them kwani upo uwezekano kwamba hata hao 20percent of muslims ambao wako serikalin wapo vile vile ambao huenda wanajihusisha na ufisadi dhidi ya taifa hili maskin.

Lkn wengi wapee..thats why tunahoji.

Kuhusu unafiki wa waislam hilo nakuachia wewe mwenyewe.kwan sion uhusiano wa unafiki wa waislam na ufisadi unaoendelea ndan ya taifa hili.

Incase of kikwete yeye kuwa kwake muislam hakuteuliwa kuja kuongoza dola ya kiislamu na wala hakuchaguliwa na waislam eti kwamba aje awatendee mema waislam as waislam kisha apate thawabu na kesho aende peponi la hasha.

Kikwete ameteuliwa na mfumo wa demokrasia ili aje atimize ilani za chama chake kilichomuweka madarakani.

Na hakuteuliwa kwa ilani za qur an wala sunnah.

Hilo liko wazi.

Ukimlaumu yeye as a failure ccm president utakuwa upo sahihi.

Ukitaka tumlaumu as a failure islamic president tanzania is not an islamic state.
 
Sasa hivi hata balozi wa nyumba 10 anasubiria kula rushwa,
 
Tanzania hatuna uongozi, hili tumepoteza toka 1995

Tanzania hatukuwahi kupata kuwa na kiongozi bora.

Huyo anaeitwa sijui baba wa Taifa ndiye muasisi wa Failure Legacy kama hii tunayoiona hiv sasa.

Msingi mbovu siku zooote hujenga nyumba mbovu.

Nyerere kaliachia Taifa hili legacy mbovu na msingi mbovu.

Thats why unaweza kuona mara tu baada ya kifo chake yule Rais aliempendekeza yeye ambae ni mkatoliki mwenzake benjamin william mkapa haraka akaaanzisha mifumo ya wizi na ufisafi kwa mgongo fake wa uwekezaji kumbe ni janja ya kuliiibia taifa hili na kulitia umaskin zaid ya ule aliouacha nyerere.

Usitegemee kikwete kuja kufanya maajabu ndan ya miaka kumi ya utawala wake chini ya mfumo ulioharibiwa ndani ya miaka 50 hamsini ya utawala mbovu na wa kidiikteta.

Waliorigharim na wanaoendelea kuligharim taifa hili wanafamika.

Ni hao wanaojiita wasomi waliojazana kwenye kila sekta ndan ya serikali hii.

Mbivu na mbichi sasa tunaziona.
 
Nchi imelemewa na wizi hii.

Wanaifaidi wachahe wanaojua kupiga dili na viongozi.

Mwonekano wetu Kimataifa ni aibu sana. Na kuna mkuu-sanamu, anakenua na kuendeleza ushkaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom