Not_Yet_Uhuru
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,304
- 444
Mwenyezi Mungu anazidi kuiletea Tanganyika MAPAMBAZUKO...hakuna jiwe litakalosalia lisigeuzwe ili kuifukua haki iliyoangamizwa na huu utawala wa CCM na magenge yao ya wezi ndani na nje ya nchi...! Wameiibia jamii yetu kwa miaka zaidi ya 50 na hawajakumbuka kuwa Mwenyezi Mungu halalagi usingizi...ila gurudumu lake ninaswaga taaaratiib...ila linafika mwisho bila kupingwa!
Tunategemea viongozi wengi wamo ndani ya SKANDALI hii, na kulingana na mapendekezo ya CAG, - kama ni ya kweli, na kama yatatekelezwa...tutawapata akina 'MRAMBA' wengi watakaopandishwa vizimbani, hadi 'maprofesa goigoi' wanaodhalilisha uwezo na utaifa wa mtanzani kwa kusema...'wananchi wazawa wawekezaji wa taifa hili hawawezi kuwekeza ktk miradi mikubwa kama Madini na Gesi, bali zaidi kwao ni vimitambo vya juice..'!
.MAY THE ALMIGHTY GOD DO HIS JUDGEMENT SOON....tuna hamu sana ya kuwaweka WEZI hawa mbele ya 'shooting squad' haraka!