Dar Firm (VIP Engineering and Marketing) Account Seized in Holland

Dar Firm (VIP Engineering and Marketing) Account Seized in Holland

Mtu mwema sana huyu manake anaweza kutoa msaada wa billion moja kwa waziri ili kuendesha shule!


Mkuu Sina hakikia kama zingeifikia shule na kama zingefika zingetumika kwa shughuli ya kuendeleza shule. Pale zimepelekwa kupoozwa tuu. Kuna uwezekano zilikuwa za Uchaguzi ujao!! Hii ni EPA mpyaaaaaaa!
 
..kuna benki nyingi TZ zinatumika kupitisha/kusafisha pesa chafu (money laundering) katika TZ....sasa kwa yaliyotokea kwa benki hii ya Mkombozi yanaweza kuhusishwa pia na money laundering..na watu kama kina James Rugemarila ni drifters/swindlers wakubwa waliopo TZ na wanaovumiliwa na watawala bila kuchukuliwa hatua......na hili limejidhihirisha kwenye wizi huu wa pesa za escrow.....ambapo inaonekana kabisa watu wa serikali katik sekta husika wamepigwa hela ndefu ili ku justify wizi huu..


my take...

..mimi najiuliza kama mtu anaweza kujitolea shs.bil 1 ama 2 kumpa waziri...je yeye ana kiasi gani kwenye benki??....na anapataje pesa zake katika nchi hii maskini???....alafu mtu huyu anaonekana kawaida tu kwa watawala!!! hatuwezi kusonga mbele kama taifa kwa mtindo huu wa kuibiana hivi....hatuwezi....

.....alafu hawa wezi aina ya kina Rugemarila wanajipitisha huku na huko wakijifanya watu wa kusaidia watu...huku wakituibia na kula na watawala....na raia wanaona sawa tu.....haiwezekani....MAJIZI HAYA LAZIMA TUPAMBANE NAYO....
 
Sasa wanaumbuka Mkuu. Yule Kafulila aliitwa Tumbili ndani ya Bunge kwa kupigia kelele huu wizi wa 200 billion na wengine bila woga hata aibu walidai zile si pesa za Serikali.


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kweli-fedha-za-escrow-sio-fedha-za-umma.html

Katika hii skandali ama kwa hakika maCCM hawana pa kutokea! Yule mpiganaji waliyemuita TUMBILI sasa anazidi kukua na kufikia kimo cha DINOSARIA! Hapa lazima mbivu na mbichi zijulikane...WEZI wote walioiba fedha hizi (bila kumsahau Anna Tibaijuka na washirika wake) lazima waendee segerea wakajisaidie kwenye ndoo pamoja na Babu Seya waliyembambika kesi ya kusadikika. Malipo ni hapa hapa duniani....walipomfunga Babu Seya walidhani kwamba wao hawawezi kwenda Segerea..walikuwa wanajidanganya...sasa safari yao ya kuelekea huko imewadia. Hatutakubali kupigana vikumbo na hawa WEZI mitaani tena...sharti wafungwe ili liwe fundisho kwa mafisadi wengine wanaomezea mate mali za umma.
View attachment 185237
 
Last edited by a moderator:
hivi kweli inakuja akirini kuwa jana nimefunga mahesabu na 50m shs, zilizotoka zilizotokana na vikao vya bunge la katiba "sijui" na fedha za mshahara, and keshokutwa nikute kuna 500m shs.imeingia bila kufahamu halafu niwe kimya? Hapana lazima watakuwa wanajua huo mzigo umetoka wapi na kwa nini umepasua saizi ya akaunti yangu!¿
Hapa cha kuangalia ni kwanini pesa hizo zilipitia mkombozi? Kulikuwa kuna lengo gani? Mfano Labda Anna Tibaijuka anaweza kusema sababu za pesa za mchango wa Babro Johnson zilipitia mkombozi bank na sio account ya shule moja kwa moja! Pengine ni nani kati yao alipendekeza pesa zipitie huko na kwa sababu gani?
Inawezekana kweli mpokea pesa alipokea pesa bila kujua ni haramu au lah lakini kuna maswali anapaswa kuyajibu!

Mimi Jana nilitetea pengine hana kosa lolote na hajui lakini nimeanza kujiuliza why mkombozi account na sio Mama ana au Babro johnson bank account?

Halafu swala la kusema BOT waifungie Mkombozi kisa imepokea pesa hilo si sawa,Mkombozi wanafanya biashara na hawawezi bagua wateja na katika hili sijaona kosa lao kabisa labda ikithibitika wamehusika!

Hosea kusema atawashitaki walio pokea pesa hili nalo linaweza lisiwe sawa maana kupokea pesa linaweza lisiwe kosa kabisa labda kama ithibitike watuhumiwa walikuwa wanajua ni pesa haramu na walikuwa kwenye deal!

Kwangu Mimi naona Anna Tibaijuka ana maswali machache ya kujibu kwenye hili sakata na kujinasua!

Cc nyumba kubwa
 
Last edited by a moderator:
MY TAKE:

1. Hii kitu haijawahi kutokea nchi hii, kwa vyovyote yule aliyesema OBAMA na wafadhili wengine wamekasirika basi kuna ukweli, na naamini hasa yule Balozi aliyedhalilishwa Bungeni ameamua kula nao kimyakimya na kuwaonyesha kuwa kama waujua huu, basi na wao waujua ulee.

2. Hivi mbona wameweza kuziia(FREEZ) hizi hela na wanshindwa hela za EPA,Mabilioni Uswiss ?

3. Mama TIbaijuka nad CO's wanojua walipokea hela hapo Mkombozi Bank wakimbie mapema nje ya nchi kama wana uraia wa Nchi mbili(nimemuona juzi Bungeni akipigia debe hili) maana Kifungo kinakuja na wahisani wamekasirika,

4. Hii MKOMBOZI BANK sijuhi BOT wansubiri nini kufungia BANK kama hii iliyokaa Kifisadifisadi kwa kisingizio cha kanisa.
Kwa nini waifungie mkomboz mkuu?? Umesoma habari vizuri kwani aliyechukua hizo hela ni MKOMBOZI BANK?? na kwan kuna ukomo wa kuweka hela yako kwenye a/c yako bank??? Wao bank wanataka faida na faida inapatikana kwa jinsi wateja wake wanavyo deposit pesa kaka naona kidogo hapo umetoa hoja kishabiki na kishamba kidogo wakat mwingine unapojibu maswali ya uchumi tumia principle usipige porojo.
 
.. tpaul mkuu kwa serikali ipi itawashtaki hawa na kuwa fikisha huko wakany.... debe? mimi nna hamu sana ya kuona huyu mwizi ashikishwe adabu
 
Last edited by a moderator:
1. Hatua ya kwanza > AG asimamishwe kazi kupisha uchunguzi/maamuzi, atoke kwenye uandishi wa katiba FEKI na kuacha kamati ya undishi bila wanasheria wa nchi mbili, nadhani hapo watahalalisha uandishi wa katiba bora.

2. Fisadi akiandika katiba ataweka clause za kumsaidia yeye.

3. Niliwahi sikia Tibaijuka wakati wa sakata la viwanja vya ufukweni anasema yeye hana shida ya pesa ya mboga, kuwa nayopesa ya kumtosha, hopo sasa imekuwaje?
 
Mkuu RaisMtarajiwa vipi wamekupiga chini ya mkanda? Mbona kimyaaaa? Yale matusi naona yameisha.

Njooo mkuu uonyeshe ushujaa wako hapa.
 
Last edited by a moderator:
1. Hatua ya kwanza > AG asimamishwe kazi kupisha uchunguzi/maamuzi, atoke kwenye uandishi wa katiba FEKI na kuacha kamati ya undishi bila wanasheria wa nchi mbili, nadhani hapo watahalalisha uandishi wa katiba bora.

2. Fisadi akiandika katiba ataweka clause za kumsaidia yeye.

3. Niliwahi sikia Tibaijuka wakati wa sakata la viwanja vya ufukweni anasema yeye hana shida ya pesa ya mboga, kuwa nayopesa ya kumtosha, hopo sasa imekuwaje?

Mama Anna Tibaijuka prof. wa uchumi hakuchukua pesa ya mboga bali amechukua pesa ya ugoro!!

 
Last edited by a moderator:
siamini kama james anaweza toa msaada wa 2B kwa ana tibaijuka hivi hivi tu, lazima kuna motivation behind, na ni huo ujumbe wa CC tu hakuna kingine.
 
MY TAKE:

1. Hii kitu haijawahi kutokea nchi hii, kwa vyovyote yule aliyesema OBAMA na wafadhili wengine wamekasirika basi kuna ukweli, na naamini hasa yule Balozi aliyedhalilishwa Bungeni ameamua kula nao kimyakimya na kuwaonyesha kuwa kama waujua huu, basi na wao waujua ulee.

2. Hivi mbona wameweza kuziia(FREEZ) hizi hela na wanshindwa hela za EPA,Mabilioni Uswiss ?

3. Mama TIbaijuka nad CO's wanojua walipokea hela hapo Mkombozi Bank wakimbie mapema nje ya nchi kama wana uraia wa Nchi mbili(nimemuona juzi Bungeni akipigia debe hili) maana Kifungo kinakuja na wahisani wamekasirika,

4. Hii MKOMBOZI BANK sijuhi BOT wansubiri nini kufungia BANK kama hii iliyokaa Kifisadifisadi kwa kisingizio cha kanisa.[/QUOTE]

Hii benki ni mpya and not well established; we should urge competence of its management team rather than disqualifying the entire entity
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom