Dar Firm (VIP Engineering and Marketing) Account Seized in Holland

Dar Firm (VIP Engineering and Marketing) Account Seized in Holland

Huyu RUGE kumbe naye akili hana

nani kamwambia kuwa its a good idea kupeleka pesa Holland?
 
Yuck!it smells horrible!lets see how this mess is going to be cleaned but i have a hunch at least this time heads will roll!
 
“The law bars me from releasing information on investigations I conduct,” Mr Edward Hosea, PCCB Director-General

By The Citizen Reporter




In Summary

•The Mkombozi account belongs to VIP Engineering and Marketing--the company that owned 30 per cent shares in Independent Power Tanzania Limited

Dar es Salaam Tz, The government has frozen an account in a bank in The Netherlands that is linked with the $65 million (approximately Sh129 million) that was controversially taken from an escrow account at the Bank of Tanzania and paid to a private entity last year.


The Citizen on Saturday has reliably learnt that a substantial amount of money was transferred from an account at the Catholic Church-owned Mkombozi Bank to the bank in the Netherlands. The Mkombozi account belongs to VIP Engineering and Marketing--the company that owned 30 per cent shares in Independent Power Tanzania Limited (IPTL) until it allegedly sold its shares to Pan African Power Solutions Tanzania Limited (PAP) for $65 million.


VIP Engineering and Marketing is owned by James Rugemalila.


The controversial sale of IPTL to PAP has been heavily criticised from within and outside the country, prompting Parliament to ask the Controller and Auditor General (CAG) to investigate how the money was transferred from BoT’s escrow account to PAP. The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) is also conducting a parallel investigation into the matter.


The Citizen on Saturday established that billions of shillings were transferred from VIP’s account to a bank in Holland. Tanzanian investigators managed to trace the account and worked with their counterparts overseas to freeze it pending further investigations.


PCCB Director-General Edward Hosea declined to comment on the development yesterday. “The law bars me from releasing information on investigations I conduct,” he said. “It is ethically and professionally unwise to comment on a matter under investigation at this point, so my answer is no comment.”


The Citizen on Saturday understands that PCCB called up all records of transactions from VIP’s account as it sought to establish the purpose of the transaction and transfers.


Besides discovering that huge sums of money had been transferred from the account to several others at the same bank, the investigators raised the red flag over the millions of dollars transferred from the bank to an overseas account.


Under international banking practice, an account may be frozen by government or regulatory authorities if they suspect criminal activity and civil action or liens filed against the account.


As the nation awaits the findings of the CAG and the PCCB, emerging reports have it that the investigations have established that some influential Tanzanians--including cabinet ministers, a permanent secretary and MPs--were paid substantial amounts of money from VIP’s at Mkombozi.


An impeccable source told The Citizen on Saturday that the PCCB has established that taking the money from BoT was “outright theft” facilitated by corruption. Top officials in the BoT, the Attorney General’s Chambers and the energy ministry appear to have been implicated. “The CAG has concluded that the release of money from the escrow account was a grossly irregular move based on fraud,” said the source.


The CAG has recommended that all the officials be charged in court and the money taken from the escrow account returned.
 
Ilikuwa ni big mistake kwa yule katibu wa wizara(sasa hivi amewekwa kiporo) kujibizana na yule balozi.

Ingekuwa rais wetu ni diktenta kama Putin au Mugabe ingekuwa sawa lakini Kikwete anavyopenda safari, watakuwa wamemwekea kitumbua chake mchanga.Behind the scene atakuwa anabanwa sana.
 
Je ni matunda ya utawala dhaifu au?
Wewe waza tu hayo lakini wenzako watakwambia hii ni mojawapo ya 'indicators' za mafanikio ya serikari ya ccm katika awamu ya nne. ...kwamba hivi sasa makampuni ya tz yana pesa mpaka yanawekeza kwenye benki za nje tena katika dollar.

 
MY TAKE:

1. Hii kitu haijawahi kutokea nchi hii, kwa vyovyote yule aliyesema OBAMA na wafadhili wengine wamekasirika basi kuna ukweli, na naamini hasa yule Balozi aliyedhalilishwa Bungeni ameamua kula nao kimyakimya na kuwaonyesha kuwa kama waujua huu, basi na wao waujua ulee.

2. Hivi mbona wameweza kuziia(FREEZ) hizi hela na wanshindwa hela za EPA,Mabilioni Uswiss ?

3. Mama TIbaijuka nad CO's wanojua walipokea hela hapo Mkombozi Bank wakimbie mapema nje ya nchi kama wana uraia wa Nchi mbili(nimemuona juzi Bungeni akipigia debe hili) maana Kifungo kinakuja na wahisani wamekasirika,

4. Hii MKOMBOZI BANK sijuhi BOT wansubiri nini kufungia BANK kama hii iliyokaa Kifisadifisadi kwa kisingizio cha kanisa.

Walinitukana sana hapa nilipowambia USA na Ulaya wameshinikiza hatua zichukuliwe,
 
Hapa cha kuangalia ni kwanini pesa hizo zilipitia mkombozi? Kulikuwa kuna lengo gani? Mfano Labda Anna Tibaijuka anaweza kusema sababu za pesa za mchango wa Babro Johnson zilipitia mkombozi bank na sio account ya shule moja kwa moja! Pengine ni nani kati yao alipendekeza pesa zipitie huko na kwa sababu gani?

Who knows kama ni money laundering?

Inawezekana kweli mpokea pesa alipokea pesa bila kujua ni haramu au lah lakini kuna maswali anapaswa kuyajibu! Mimi Jana nilitetea pengine hana kosa lolote na hajui lakini nimeanza kujiuliza why mkombozi account na sio Mama ana au Babro johnson bank account?

At least, umebadilisha msimamo maana ndo kwanza nimetoka kukujibu kwenye ile uzi mwingine nikawa nakushangaa.

Halafu swala la kusema BOT waifungie Mkombozi kisa imepokea pesa hilo si sawa,Mkombozi wanafanya biashara na hawawezi bagua wateja na katika hili sijaona kosa lao kabisa labda ikithibitika wamehusika!

Kama benki nyingine lazima iwe makini na wateja wake. Haina maana ya kubagua wateja lakini wahakikishe kuwa peza wateja wao hazitokani na money laundering, nk.

Hosea kusema atawashitaki walio pokea pesa hili nalo linaweza lisiwe sawa maana kupokea pesa linaweza lisiwe kosa kabisa labda kama ithibitike watuhumiwa walikuwa wanajua ni pesa haramu na walikuwa kwenye deal!

Whatever the case, kama ikikutwa hiyo bilioni moja aliyopewa profesa ilikuwa ya wizi lazima aurudishe as a stolen property.

Kwangu Mimi naona Anna Tibaijuka ana maswali machache ya kujibu kwenye hili sakata na kujinasua!

Siyo machache. Kama waziri hii ni kashfa kwake na inatakiwe awe ameachia ngazi.

Luckily ni waziri Tanzania ambapo kiongozi kuwajibika ni ndoto.

Kuwajibika hapa siyo lazima iwe pesa iwe ya wizi au akutwe na hatia ya kosa la jinai.

Waziri mzima kama yeye anatakiwa aepuke kujihusisha na masuala kama haya.
 
Huyu Rugemalila ameshaihujumu sana hii nchi kupitia hii VIP Engineering.

Hivi na hii serikali yetu kukubali kudhalilishwa na mtu mmoja haioni kuwa inatuumiza walipa kodi wake!
 
Mkuu angeacha LEGACY na KATIBA MPYA lakini baada ya KATIBA MPYA kushindikana hii ndiyo karata ya mwisho,
...hapa mkuu naomba afungue/geuze mawe yote na lisibaki hata moja

Well Rugemalira mzee wa makongo njuu alikuwa anatamba mitaani kuwa hakuna anayeweza kumkamata Tanzania hii. Sidhani kama alikuwa anatania. Hata yakaigeuzwa mawe 20 na kukuta majina yake bado yeye ana mawili tu ya kugeuza na moto unawaka nchi nzima.
 
Ni vyema hawa waandishi kuandika habari wakiwa na uhakika kutoka katika chanzo sahihi. Sidhani kama huyo waliemtaja ndie owner wa benki kwa sasa.

Maboso ni nani mmiliki kama sio hao?
 

Attachments

  • 1410606312661.jpg
    1410606312661.jpg
    52.4 KB · Views: 270
  • 1410606343765.jpg
    1410606343765.jpg
    48.5 KB · Views: 247
Last edited by a moderator:
Hapa cha kuangalia ni kwanini pesa hizo zilipitia mkombozi? Kulikuwa kuna lengo gani? Mfano Labda Anna Tibaijuka anaweza kusema sababu za pesa za mchango wa Babro Johnson zilipitia mkombozi bank na sio account ya shule moja kwa moja! Pengine ni nani kati yao alipendekeza pesa zipitie huko na kwa sababu gani?
Inawezekana kweli mpokea pesa alipokea pesa bila kujua ni haramu au lah lakini kuna maswali anapaswa kuyajibu!

Mimi Jana nilitetea pengine hana kosa lolote na hajui lakini nimeanza kujiuliza why mkombozi account na sio Mama ana au Babro johnson bank account?

Halafu swala la kusema BOT waifungie Mkombozi kisa imepokea pesa hilo si sawa,Mkombozi wanafanya biashara na hawawezi bagua wateja na katika hili sijaona kosa lao kabisa labda ikithibitika wamehusika!

Hosea kusema atawashitaki walio pokea pesa hili nalo linaweza lisiwe sawa maana kupokea pesa linaweza lisiwe kosa kabisa labda kama ithibitike watuhumiwa walikuwa wanajua ni pesa haramu na walikuwa kwenye deal!

Kwangu Mimi naona Anna Tibaijuka ana maswali machache ya kujibu kwenye hili sakata na kujinasua!

Cc nyumba kubwa


Mkuu Usipoteshe watu, tupo makini sana, Rugemnalila ana akaunti Mkombozi bank na hela zilipotoka BOT moja kw amoja zilipelekwa Mkombozi, na hapoa hapo watu wote waliopewa Rushwa hii walilazimishwa kufungua akaunti Mkombozi Bank na ndipo Tibaijuka akapewa chake 1MilUsd.

sasa unachotaka kupotisha hapo nini? MKOMBOZI BANK inahusika na kuna uwezekano mkubwa kw akuwa ni ya kanisa basi wamefanya ni kichaka, hivii bank ingekuwa ya KIISLAM sahizi hali ingekuwaje humu JF ?
 
Well Rugemalira mzee wa makongo njuu alikuwa anatamba mitaani kuwa hakuna anayeweza kumkamata Tanzania hii. Sidhani kama alikuwa anatania. Hata yakaigeuzwa mawe 20 na kukuta majina yake bado yeye ana mawili tu ya kugeuza na moto unawaka nchi nzima.


Mkuu kuna siri kubw ahapa, uanweza kufafanua?
 
Ni vyema hawa waandishi kuandika habari wakiwa na uhakika kutoka katika chanzo sahihi. Sidhani kama huyo waliemtaja ndie owner wa benki kwa sasa.

Kwa hiyo mmiliki wa hiyo benki ni nani? As far as I know, hii benki ilifuguliwa mwaka 2009 na kanisa Katoliki na makao yake makuu yalikuwa St. Joseph Cathedral Church jijini Dar es Salaam, though hivi karibuni waliuza shares to the public.

Interestingly, benki ilianzishwa ku-target small and medium enterprises (SMEs) and low-end market clientele. Sina uhakika kama hawa ndo wanaopitishia mabilioni ya pesa kwenye hiyo benki.


Hadi sasa hakuna chombo chochote cha habari ambacho kimejishughulisha kwenda kupata details kwa wahusika zaidi ya kuripoti kile wanachokisikia kutoka kwa third-part.

Hata wakienda wataambiwa kuwa kuna uchunguzi unaendelea kwa hiyo hawawezi kusema lolote.
 
Find the right source and get the right information. Ukiniuliza mimi, mimi siyo right source. Wewe mwenyewe huoni hata kwenye hiyo source yako information nyingi ni za 2011?

Aliye andikwa kwenye gazeti ndio mmiliki na kama wewe unadhani kuna mmiliki zaidi ya huyo weka hapa unaficha nini?
Hizo zimekuwa edited 7month ago!
 
TUMBIRI anazidi kupata data za kuwaning'inizia WEZI. CCM ni zaidi ya UKOMA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom