Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,567
- 3,574
Wanajua huruma ya/wa "Mama" .
Wanatarajia kutangaziwa FIDIA..
Wanatarajia kutangaziwa FIDIA..
Hayo maeneo ni yao mbezi beach karibu yote walikuwa wanakaa wao kabla ya maeneo kuanza kuuzwa na wao kuama hiyo sehemu ndio ilikuwa imebaki lakin hayo ni maeneo yao nashangaa umpe mtu siku 14 aame kwwnye lake sababu ya mtandao fulani kuqndika maovu ya hapo kila sehemu kuna maovu hapo kuna mkubwa fulani itakuwa kashapatamani wanatake advantage
Mimi nashangaa miaka 30 hiyo wameishi kama mabanda ya mbuzi na wameshindwa kujiendelezaMmmh hebu ngoja kwanza.
Mtu kaishi miaka 30 ina maana umri huo kama ana mtoto ni myu mzima tayari, so huyo mtoto wa 30yrs old unampeleka wapi na kumwambia hapa ndiyo kwenu?.
Na serikali inakuwa wapi hadi jamii inaishi mazingira hayo kwa 30yrs huku wakiwa na maisha aina hiyo?
La mwisho, wanawafukuza hapo kwa sababu ipi, a) biashara wanayofanya, b) hawapo ktk mfumo mzuri wa ujenzi, c)hao waliokimbia nyumba zao?
Hawa watu waondolewe hapo upesi sana kwani wameingilia eneo la barabara. Uzembe wa viongozi wa serikali za mitaa kutolinda sheria na rushwa ndio yanazaa matatizo yote haya!Kwa hayo maelezo na mazingira yanayoonekana kwenye picha, binafsi naona ni halali kabisa hao wakazi kuondolewa hapo tena ndani ya masaa 48 na eneo hilo kusafishwa na miti na maua yapandwe haraka kutunza mazingira.
Tusilee ujinga na uovu.
Huyo mtu mwenye 30yrs old sio mtoto tena bwashee.Mmmh hebu ngoja kwanza.
Mtu kaishi miaka 30 ina maana umri huo kama ana mtoto ni myu mzima tayari, so huyo mtoto wa 30yrs old unampeleka wapi na kumwambia hapa ndiyo kwenu?.
Na serikali inakuwa wapi hadi jamii inaishi mazingira hayo kwa 30yrs huku wakiwa na maisha aina hiyo?
La mwisho, wanawafukuza hapo kwa sababu ipi, a) biashara wanayofanya, b) hawapo ktk mfumo mzuri wa ujenzi, c)hao waliokimbia nyumba zao?
Wamakonde ndiyo walivamia hapoMimi nashangaa miaka 30 hiyo wameishi kama mabanda ya mbuzi na wameshindwa kujiendeleza
Hivi huoni ngozi hii ina tatizo sehemu?
Huyo mtoto wa miaka 30 unaemtetea huoni nae ana tatizo la akili
KumbeWamakonde ndiyo walivamia hapo
Na kujenga mavibanda..
Alafu hilo eneo siyo mbali na juliana pub,sehemu hiyo imezungukwa na mashuwa ila hapo ndiyo changanyikeni
Ova
Nayajuwa vizuri maeneo hayoKumbe
Yaani wamefanya makazi kabisa
Utafikiri kibera slumNayajuwa vizuri maeneo hayo
Hapo balaaa
Ova
Daslam ndo wapi mkuu?
Mtu mwenye umri wa miaka 30 siyo mtotoMmmh hebu ngoja kwanza.
Mtu kaishi miaka 30 ina maana umri huo kama ana mtoto ni myu mzima tayari, so huyo mtoto wa 30yrs old unampeleka wapi na kumwambia hapa ndiyo kwenu?.
Na serikali inakuwa wapi hadi jamii inaishi mazingira hayo kwa 30yrs huku wakiwa na maisha aina hiyo?
La mwisho, wanawafukuza hapo kwa sababu ipi, a) biashara wanayofanya, b) hawapo ktk mfumo mzuri wa ujenzi, c)hao waliokimbia nyumba zao?
Siyo Daslam mkuu ni Beverly Hills, Aspen na Malibu.Daslam ndo wapi mkuu?
Sijawahi kupasikia😀Siyo Daslam mkuu ni Beverly Hills, Aspen na Malibu.