Dar es Salaam: Wakazi Kijijini Mbezi Beach B waigomea Serikali kuhusu kuhama eneo hilo

Hayo maeneo ni yao mbezi beach karibu yote walikuwa wanakaa wao kabla ya maeneo kuanza kuuzwa na wao kuama hiyo sehemu ndio ilikuwa imebaki lakin hayo ni maeneo yao nashangaa umpe mtu siku 14 aame kwwnye lake sababu ya mtandao fulani kuqndika maovu ya hapo kila sehemu kuna maovu hapo kuna mkubwa fulani itakuwa kashapatamani wanatake advantage

Wawalipe basi,nimewaonea huruma hao watoto
 
Mmmh hebu ngoja kwanza.

Mtu kaishi miaka 30 ina maana umri huo kama ana mtoto ni myu mzima tayari, so huyo mtoto wa 30yrs old unampeleka wapi na kumwambia hapa ndiyo kwenu?.

Na serikali inakuwa wapi hadi jamii inaishi mazingira hayo kwa 30yrs huku wakiwa na maisha aina hiyo?

La mwisho, wanawafukuza hapo kwa sababu ipi, a) biashara wanayofanya, b) hawapo ktk mfumo mzuri wa ujenzi, c)hao waliokimbia nyumba zao?
Mimi nashangaa miaka 30 hiyo wameishi kama mabanda ya mbuzi na wameshindwa kujiendeleza
Hivi huoni ngozi hii ina tatizo sehemu?
Huyo mtoto wa miaka 30 unaemtetea huoni nae ana tatizo la akili
 
Kwa hayo maelezo na mazingira yanayoonekana kwenye picha, binafsi naona ni halali kabisa hao wakazi kuondolewa hapo tena ndani ya masaa 48 na eneo hilo kusafishwa na miti na maua yapandwe haraka kutunza mazingira.

Tusilee ujinga na uovu.
Hawa watu waondolewe hapo upesi sana kwani wameingilia eneo la barabara. Uzembe wa viongozi wa serikali za mitaa kutolinda sheria na rushwa ndio yanazaa matatizo yote haya!
Huku sehemu za Mbezi Beach B kuna viwanja vingi vya makazi vimegeuzwa sehemu za madanguro na sehemu za kufanya biashara haramu za madawa ya kulevya.
Mfano ni sehemu iitwayo Rungwe ambapo inasemekana ni Kiwanja cha mama Maria Nyerere, hapo Mlinzi wake amejenga mabanda ya biashara na pia mabanda ya kuishi ambapo watu zaidi ya ishirini elfu wapo hapo wakiishi maisha hatarishi bila vyoo na maji salama!! Viongozi wa serikali ya Mtaa na mtendaji wa kata wapo lakini hawatimizi wajibu wao hivyo kuhatarisha maisha ya majirani!
Ni vizuri zoezi la kuwaondoa Hawa watu lifanyike ili liwe fundisho kwa wavamizi wengine; wasipowaondoa Hawa wataamini kuwa waganga wao wa kienyeji ndio wameroga ndio maana hawajahamishwa; na wavamizi wengine nao wataamini kuwa uchawi utaishinda serikali.
 
Mmmh hebu ngoja kwanza.

Mtu kaishi miaka 30 ina maana umri huo kama ana mtoto ni myu mzima tayari, so huyo mtoto wa 30yrs old unampeleka wapi na kumwambia hapa ndiyo kwenu?.

Na serikali inakuwa wapi hadi jamii inaishi mazingira hayo kwa 30yrs huku wakiwa na maisha aina hiyo?

La mwisho, wanawafukuza hapo kwa sababu ipi, a) biashara wanayofanya, b) hawapo ktk mfumo mzuri wa ujenzi, c)hao waliokimbia nyumba zao?
Huyo mtu mwenye 30yrs old sio mtoto tena bwashee.

Huyo haiitaji kumuonesha kwao bali atafute kwake.
 
Mimi nashangaa miaka 30 hiyo wameishi kama mabanda ya mbuzi na wameshindwa kujiendeleza
Hivi huoni ngozi hii ina tatizo sehemu?
Huyo mtoto wa miaka 30 unaemtetea huoni nae ana tatizo la akili
Wamakonde ndiyo walivamia hapo
Na kujenga mavibanda..
Alafu hilo eneo siyo mbali na juliana pub,sehemu hiyo imezungukwa na mashuwa ila hapo ndiyo changanyikeni

Ova
 
Mmmh hebu ngoja kwanza.

Mtu kaishi miaka 30 ina maana umri huo kama ana mtoto ni myu mzima tayari, so huyo mtoto wa 30yrs old unampeleka wapi na kumwambia hapa ndiyo kwenu?.

Na serikali inakuwa wapi hadi jamii inaishi mazingira hayo kwa 30yrs huku wakiwa na maisha aina hiyo?

La mwisho, wanawafukuza hapo kwa sababu ipi, a) biashara wanayofanya, b) hawapo ktk mfumo mzuri wa ujenzi, c)hao waliokimbia nyumba zao?
Mtu mwenye umri wa miaka 30 siyo mtoto
 
Back
Top Bottom