Naunga hojaPole sana kwa yaliyo kukuta,ndio Dunia ilivyo,
Ukigeuza uchi wako kua kitega uchumi,utamlaumu kila mtu na kumuona kua yeye ndiye aliye kusababishia umasikini na kukuzeesha,
Badili hiyo mindset ya utegemezi,bado unayo nafasi,
Au nasema uongo ndugu wananchi?
🤣🤣🤣🤣🤣Wazee ndiyo zenu.Mi nikimimina mbegu tu, imetoka hiyo, nakupa mpunga wako ukapunge upepo
Huu nao ni umario, ukatae kwa nguvu zote!!Mashangazi wenye hela hawanaga hizo pigo wao kabla ya mkuyenge wanaomba control number na baadq ya mkuyenge contro number inaombwa tena
Alafu ukute mwanamke mwenyewe mzuri sura tu, tabia mbaya mzigo mbovu kama kifusi cha divi kupika hajui kutandika kitanda hajui umbea kibao kama mzaramo wa kigogoTatizo hajiangalii kwenye kioo. Yeye akiambiwa tu, "we ni mzuri", anaona imeisha hiyooo!
Anunue kwanza kioo kubwa awake chumbani mwake, baada ya wiki aje na Uzi mwingine.
mwenye kiti wao🤣🤣🤣🤣🤣
Nilikuwa nikutag bhana.....Ahsante
Kama networth yake ni below $10m ni umarioo ila kama ni above that huo tunaita ni uwekezajiHuu nao ni umario, ukatae kwa nguvu zote!!
😁😁😁Hatari sanamwenye kiti wao
Sura zuri halafu kiuno kigumu.Alafu ukute mwanamke mwenyewe mzuri sura tu, tabia mbaya mzigo mbovu kama kifusi cha divi kupika hajui kutandika kitanda hajui umbea kibao kama mzaramo wa kigogo
Kwa mtaji huo Hata wewe unatakiwa ufungwe maana huna hela ila unajifanya jike dume. Mimi na ufukara wangu natangulia KibandamaitiBroke guys wamepaniki haooooo, ifike muda sasa wanaume wasio na hela wafungwe gerezani hii itapunguza misongamano na kunukishwa vikwapa barabarani
Haahaaaa ni wewe tu mwaya tukianza zari na mumewe walianza chini walikuwa hawana kitu , mengi na mke wake walianza chini wakaja juu matajiri wengi walianza chini wakapanda kremu maisha jomba mie sina hela kiivyoo ila matajiri haswa haswa wa mjini wananifukuzia na siwataki maana wana wake ni mameli sio viburushuti kwenda hapo kenya anawaza mtu anauwezo wakununua meli iliyopo marekani na cash uwage muelewa .Wanaume wenye pesa ni nadra sana kutoka na mwanamke maskini.
Au asiye na cheo
Au asiyetoka familia kubwa
Au asiye na elimu kubwa
Au asiye na kazi yenye hadhi
Au asiye mzuri kabisa.
Halafu na mbwembwe hizi zore usikue unapigwa mjegeje na jamaa hata hao wa kusema kalipa bili hanaUkiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Haahaaaa ni wewe tu mwaya tukianza zari na mumewe walianza chini walikuwa hawana kitu , mengi na mke wake walianza chini wakaja juu matajiri wengi walianza chini wakapanda kremu maisha jomba mie sina hela kiivyoo ila matajiri haswa haswa wa mjini wananifukuzia na siwataki maana wana wake ni mameli sio viburushuti kwenda hapo kenya anawaza mtu anauwezo wakununua meli iliyopo marekani na cash uwage muelewa .
Ni kweli yote ila tafuta hela acha kukariri maisha ndoa ni mdudu gani mahusiano naniWengi hamna high standards kama mnavyo jidanganya,,otherwise mngekua katika ndoa au mahusiano yanayo eleweka na hao wanaume mnao fikiri mnatoshana nao but y'all be getting used left and right and dumped consistently...
Na ukichunguza sana watu ambao wapo over 30s ndio wana set parasitic standards..
Bata mzinga??Kuna ile hutaki mtu kwa sababu unajua sio level yako. Atakupotezea muda. Hivyo upo sahihi kabisa.
Hakunaga tajiri asiye na sifa mojawapo niliyokutajia pale juu.
Aidha ametoka familia yenye msingi.
Au anaakili sana.
Au amesoma sana na anafanya kazi yenye kipato cha juu.
Amerithi kutoka kwa wazazi au kwa kugawana mali na mumewe.
Lakini kama wewe ni wale bata mzinga. Mlilie Mungu tuu.
Unaona eh ngoja usije PM kuomba niache kukupakaaNi kweli ila uwe mzuri mno , ndio utapata haki ya kusema hivyo , ila kama una tumbo la utumbo mchemsho vunga mwanangu