hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,799
Waswahili wana msemo wao unasemaga "Pilipili usizozila zinakuwashia nini"
Sasa mashoga wa watu wanakuhusu nini mkuu? Waache tu na dalili zao waendelee kuishi. Watakutana na hukumu yao huko mbele.