who is gay?
umeshindwa hoja!
[/COLOR]
Hata mimi naunga mkono hoja,..huwa ninawa_underate sana watu wanaoandika message kwa mtindo huo....na hasa wanaume.
ni k tu au unamaanisha kufupisha maneno ambako mara nyingi kuna fanywa na wanawake mpaka sometimes mimi uwa nashindwa kuelewa text sasa mwanaume akifanya the same lazima kutakuwa na walakini!
Kwa mujibu wa utafiti ulio fanywa na blogu moja huko nchini Nigeria, wanaume wanane kati ya kumi ambao huandika herufi " K" wakimaanisha OKAY ,ni mashoga, yaani ni wanaume wanao ingiliwa kinyume na maumbile. EWE KIJANA WA KITANZANIA, EPUKA MATUMIZI YA NENO "K" UNAPOKUWA UNAANDIKA MESEJI, KWANI UTADHANIWA KUWA SHOGA!
Sikulaumu kwa sababu hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia, so nothing good can come from your head
Nyani Ngabu dont like to hear this
Am sory young man, wanaume hatutukanani matusi hata kama hatujuani. So please you shall not talk to me like this again! Hayo maneno yanakufaa wewe tu, mimi hayanifai. You better stay with themwe jamaa akili zako ni zero. kuna jamaa anapenda kutmia hzo 'k' bt sio bwabwa kama wewe
Hata kupenda kuzungumzia zungumzia sana maswala ya ushoga nazo ni dalili za kuwa shoga hivi karibuni!
Kwa mujibu wa utafiti ulio fanywa na blogu moja huko nchini Nigeria, wanaume wanane kati ya kumi ambao huandika herufi " K" wakimaanisha OKAY ,ni mashoga, yaani ni wanaume wanao ingiliwa kinyume na maumbile. EWE KIJANA WA KITANZANIA, EPUKA MATUMIZI YA NENO "K" UNAPOKUWA UNAANDIKA MESEJI, KWANI UTADHANIWA KUWA SHOGA!
Uhusiano wa moja kwa moja baina ya hiyo herufi na ushoga ni nini?
ni k tu au unamaanisha kufupisha maneno ambako mara nyingi kuna fanywa na wanawake mpaka sometimes mimi uwa nashindwa kuelewa text sasa mwanaume akifanya the same lazima kutakuwa na walakini!