what do u mean? sijakusoma, come again?
Kuna tofauti gani kati ya Tanzania na Nigeria?
Am straight
Kuna vitu ambavyo mwanaume hapaswi kuvifanya. Mwanaume hatakiwi tu kuwa mwanaume, bali anatakiwa aonekane mwanaume!
Kwa mujibu wa utafiti ulio fanywa na blogu moja huko nchini Nigeria, wanaume wanane kati ya kumi ambao huandika herufi " K" wakimaanisha OKAY ,ni mashoga, yaani ni wanaume wanao ingiliwa kinyume na maumbile. EWE KIJANA WA KITANZANIA, EPUKA MATUMIZI YA NENO "K" UNAPOKUWA UNAANDIKA MESEJI, KWANI UTADHANIWA KUWA SHOGA!
Unadhani aliye andika sura kwa bible inayo kemea ugay alivutiwa na kitu gani?
..na nimekujibu hivyo kwakuwa najua unafahamu fika Nageria si sawa na Tanzania kwa vyovyote vile, na kunatofauti kubwa sana kati yetu,...Nimekuuliza kwa sababu ninajua unajua simaanishi tofauti za majina ya nchi
Sura gani hiyo inayokemea ugay?
So na wewe umevutiwa na kitu gani hadi kuja kusoma huu uzi unao husu magay?