andromena
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 587
- 666
Hakuna dakitari wa diploma. Dakitari by definition ni MD OR equivalent. Diploma holders ni CO au Bwana Mganga.
Hakuna dakitari wa diploma. Dakitari by definition ni MD OR equivalent. Diploma holders ni CO au Bwana Mganga.
Hii sio kweli, Yaani CO awe zaidi ya MD!! Hii haipoKwa hapa bongo daktari wa Diploma ni mzuri zaidi kuliko yule wa degree. Daktari wa Diploma kwanza ananidhamu ya hali ya juu pia wanafanya practical za kutosha kuliko wa degree. Degree holders wengi wanameza videsa ,chabo kwa wingi ila ukija kazini hawana kitu.
Mbali na madaktari wahandisi wanafata, muandisi wa certificate au Diploma ni bora kuliko yule wa degree ukibisha nenda field ukajionee
Na walimu wa Diploma wapo vizuri sana kuliko degree. Msijiulize kwa nini waajiri wanawachukua vijana wengi wa Diploma kuliko degree msiseme diploma ni cheap kuliko wakiajiri degree ukweli vijana wa degree hawana kitu
Km na wewe ni daktari basi naungana na mtoa hoja.Jinga kabisa wewe.
Bila shaka na wewe ni diploma si shangaiKwa hapa bongo daktari wa Diploma ni mzuri zaidi kuliko yule wa degree. Daktari wa Diploma kwanza ananidhamu ya hali ya juu pia wanafanya practical za kutosha kuliko wa degree. Degree holders wengi wanameza videsa ,chabo kwa wingi ila ukija kazini hawana kitu.
Mbali na madaktari wahandisi wanafata, muandisi wa certificate au Diploma ni bora kuliko yule wa degree ukibisha nenda field ukajionee
Na walimu wa Diploma wapo vizuri sana kuliko degree. Msijiulize kwa nini waajiri wanawachukua vijana wengi wa Diploma kuliko degree msiseme diploma ni cheap kuliko wakiajiri degree ukweli vijana wa degree hawana kitu
Bangi tu vijana hawa, CO anayejifunza kutoa dawa class A na B na kdg C aje afanane na MD, ndo maana bange inapigwa marufuku.Leo CO anaonekana bora kuliko MD
Mtoa mada uwe serious kidogo.
Yaani vile ninavyojisikia faraja ninafika hospitali na kukutana na MD wacha kabisa...
Bangi tu vijana hawa, CO anayejifunza kutoa dawa class A na B na kdg C aje afanane na MD, ndo maana bange inapigwa marufuku.
Hamjamuelewa alietoa post! Ajamaanisha CO Ni kubwa kuliko.MD no.....ila.amafafanua kwamba CO Ni nzur kuliko MD kwenye uzoefu wa kutibu wagonjwa( tena kwa uelewa wake) alafu Kuna kitu ukijua kwamba hata huyo CO anaweza kusoma MD Kama akifaulu vizur lakin jua MD anatoka direct form six ajui chochote kuhus afya anapofika MD wakikutana na CO yeye atapata shida Sanaa lakin CO yeye kwake mtelezo....na hata mkifika kazn MD anapita anamaliza ajui chochote fanya utafitiMtoa mada uwe serious kidogo.
Yaani vile ninavyojisikia faraja ninafika hospitali na kukutana na MD wacha kabisa...
Mtoa Mada acha inferiority issues hizo, hakuna kitu general kama hicho, na nnachoona mie hapa ni kuwa hivi:Kwa hapa bongo daktari wa Diploma ni mzuri zaidi kuliko yule wa degree. Daktari wa Diploma kwanza ananidhamu ya hali ya juu pia wanafanya practical za kutosha kuliko wa degree. Degree holders wengi wanameza videsa ,chabo kwa wingi ila ukija kazini hawana kitu.
Mbali na madaktari wahandisi wanafata, muandisi wa certificate au Diploma ni bora kuliko yule wa degree ukibisha nenda field ukajionee
Na walimu wa Diploma wapo vizuri sana kuliko degree. Msijiulize kwa nini waajiri wanawachukua vijana wengi wa Diploma kuliko degree msiseme diploma ni cheap kuliko wakiajiri degree ukweli vijana wa degree hawana kitu
Sio kweli. Actually wanaotoka diploma ndio wanapata tabu zaidi chuo kikuu.Hamjamuelewa alietoa post! Ajamaanisha CO Ni kubwa kuliko.MD no.....ila.amafafanua kwamba CO Ni nzur kuliko MD kwenye uzoefu wa kutibu wagonjwa( tena kwa uelewa wake) alafu Kuna kitu ukijua kwamba hata huyo CO anaweza kusoma MD Kama akifaulu vizur lakin jua MD anatoka direct form six ajui chochote kuhus afya anapofika MD wakikutana na CO yeye atapata shida Sanaa lakin CO yeye kwake mtelezo....na hata mkifika kazn MD anapita anamaliza ajui chochote fanya utafiti
Sio CO na MD mzee...!! MD wanapractice mara 1000 zaidi ya CO labda mumlinganishe CO na form six yani..Diploma wana practile zaidi kuliko bachelor.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi kuficha ujinga wako mbele za watu.Diploma wana practile zaidi kuliko bachelor.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumfananisha MD na CO ni sawa na kuifananisha USA na Zimbabwe.Kwa hapa bongo daktari wa Diploma ni mzuri zaidi kuliko yule wa degree. Daktari wa Diploma kwanza ananidhamu ya hali ya juu pia wanafanya practical za kutosha kuliko wa degree. Degree holders wengi wanameza videsa ,chabo kwa wingi ila ukija kazini hawana kitu.
Mbali na madaktari wahandisi wanafata, muandisi wa certificate au Diploma ni bora kuliko yule wa degree ukibisha nenda field ukajionee
Na walimu wa Diploma wapo vizuri sana kuliko degree. Msijiulize kwa nini waajiri wanawachukua vijana wengi wa Diploma kuliko degree msiseme diploma ni cheap kuliko wakiajiri degree ukweli vijana wa degree hawana kitu
Zote ni nchi.Kumfananisha MD na CO ni sawa na kuifananisha USA na Zimbabwe.