marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 968
- 1,695
Tangu Tanganyika ipate uhuru wake kamili December 1961 ni kama miaka 60 imepita huu ni wa 61..
Kutokana na sheria kua ili raia wa Tanzania awe na uwezo wa kupiga kura ni lazima awe angalau na miaka 18 hivyo tangu tupate uhuru kuna vizazi vitano tofauti ambavyo vime Timiza umri wa kupiga kura kama tuta vigawa vizazi kwa miaka kumi kumi yani 60's ,70''s,80's 90s, na hawa wa 2000's
Haya magroup ya tabia tofauti sana na zisizo fanana kabisa!
Watu wa 60's
hawa wengi saizi wamesha staafu wanakula zao mafao ..
Enzi zao ilikua kama una certificate ajira uhakika ,wengi ni wale wali ijua CCM kama TANU wako loyal sana na Taifa lao wanaamini amani ya Taifa ni mhimu kuliko barabara ya lami na maji safi!
wadogo zaidi kutoka kundi hili wana umri wa miaka 50+
Watu wa 70's
Hawatofautiani saana na wale wa 60+ japo kwenye kizazi hiki ndio kulipokea vyama vingi na msuala ya upinzani yalia anzia kwao ..
kuna wana harakati wengi sana japo wengi hawako willing kujitoa sadaka sababu pia kizazi chao hakikupata shida kwenye kuingia kwenye mifumo,
kama una elimu umetoboa
wengi wenye degree na Diploma wanaishi vizuri hawana shida ndogo ndogo wala
stress hawa kwao katiba na serikali sio issue sana..
Wengi bado wapo kazini ndio wameshikiria usukani kwasasa kwenye mifumo mingi..
Watu wa 80
Kizazi cha wapole alaf wako smart
Kwa Tanzania hiki kizazi ndio kilipewa Elimu nzuri zaidi hawa jamaa ukimkuta ana degree basi yupo deep na ana iq haswa...
Sio wana harakati sana kwenye masuala ya siasa ila wana jua nini kinatakiwa kifanyike tufike ..japo wengi hawaja ingia kwenye mfumo Ila wana fanya vitu muhimu waki wasubiri watu wa 70's watoke waingie wao idadi yao sio kuubwa sana..
Watu 90
Hapa ndio pameanza kua na idadi kubwa ya wasomi wasio na kazi..
hiki kizazi ni wapole sana na hawana mambo mengi na ndio vijana wa sasa ..
Wavumilivu hawa react sana juu ya serikali wala viongozi wao ..wanaamini kua jasho lina lisha familia na sio Mbunge ....
Hawa hawapigi kura!
Wana idadi kubwa ya waathirika wa dawa za kulevya na bangi kuliko vizazi vyote vilivyo pita ila ni wa staarabu wana elimu bora kiasi sio wazidi wa 80's kiongozi alie bora kwao ni yule anae tekeleza kazi yake na sio chama anachotoka..
watu 2000
Wengi wanaenda kupiga kura kwa mara ya kwanza mwaka 2025 mwaka ambao wale wa 1960's hawapo...endapo kama nita tumia makadirio ya umri wa kuishi wa mTanzania (life span)
Hapa wale wali ishuhudia TANU wanakua hawapo!
Hawa jamaa elimu yao si bora sana hasa kwenye elimu ya kujitegema ukilinganisha na walio pita,wengi walisombwa na BIG RESULT NOW(BRN) elimu ya kujitegemea ni ndogo..
Kuna kundi kubwa zaidi la waathirika wa mihadarati kuliko makundi yote
Panya todi ndio hawa!
Watoto wa singeli ndio hawa!
Hawa ndio watoto wa Kikwete wanaitwa,
Wanajua kila kitu na hawajari.!
Kwao Taifa huja baada ya maslahi binafsi hawapo kwenye mfumo wowote wengi wana elimu ya kidacho cha nne ila ujuziwa mtu darasa la saba
Walio endelea na shule ndio wanaanza ku graduate miaka hii!
Maamuzi yao ni magumu sana na hua hawanaa moyo wa kusita wanaweza fanya jambo huwezi kutegemea!
Hawa ndio main character wa movie ya 2025 nasubiri nione hii Movie kama ni ya Romantic ,Interigence au la kizombi ...
90' kurudi nyuma watapanga vitu na kuandaa pop corn ila movie ni ya watoto wa 2000's