Daktari wa Diploma ni bora kuliko yule wa degree

Kwa hapa bongo daktari wa Diploma ni mzuri zaidi kuliko yule wa degree. Daktari wa Diploma kwanza ananidhamu ya hali ya juu pia wanafanya practical za kutosha kuliko wa degree. Degree holders wengi wanameza videsa ,chabo kwa wingi ila ukija kazini hawana kitu.

Mbali na madaktari wahandisi wanafata, muandisi wa certificate au Diploma ni bora kuliko yule wa degree ukibisha nenda field ukajionee

Na walimu wa Diploma wapo vizuri sana kuliko degree. Msijiulize kwa nini waajiri wanawachukua vijana wengi wa Diploma kuliko degree msiseme diploma ni cheap kuliko wakiajiri degree ukweli vijana wa degree hawana kitu
Hii sio kweli, Yaani CO awe zaidi ya MD!! Hii haipo
 
Bila shaka na wewe ni diploma si shangai
 
Mtoa mada uwe serious kidogo.
Yaani vile ninavyojisikia faraja ninafika hospitali na kukutana na MD wacha kabisa...
 
Hamjamuelewa alietoa post! Ajamaanisha CO Ni kubwa kuliko.MD no.....ila.amafafanua kwamba CO Ni nzur kuliko MD kwenye uzoefu wa kutibu wagonjwa( tena kwa uelewa wake) alafu Kuna kitu ukijua kwamba hata huyo CO anaweza kusoma MD Kama akifaulu vizur lakin jua MD anatoka direct form six ajui chochote kuhus afya anapofika MD wakikutana na CO yeye atapata shida Sanaa lakin CO yeye kwake mtelezo....na hata mkifika kazn MD anapita anamaliza ajui chochote fanya utafiti
 
Kwa hapa bongo daktari wa Diploma ni mzuri zaidi kuliko yule wa degree. Daktari wa Diploma kwanza ananidhamu ya hali ya juu pia wanafanya practical za kutosha kuliko wa degree. Degree holders wengi wanameza videsa ,chabo kwa wingi ila ukija kazini hawana kitu.

Mbali na madaktari wahandisi wanafata, muandisi wa certificate au Diploma ni bora kuliko yule wa degree ukibisha nenda field ukajionee

Na walimu wa Diploma wapo vizuri sana kuliko degree. Msijiulize kwa nini waajiri wanawachukua vijana wengi wa Diploma kuliko degree msiseme diploma ni cheap kuliko wakiajiri degree ukweli vijana wa degree hawana kitu
Mtoa Mada acha inferiority issues hizo, hakuna kitu general kama hicho, na nnachoona mie hapa ni kuwa hivi:
1. MD (alimaliza Form Six akaenda kupiga Degree yake ya Udaktari) anakuja kuanza kazi leo anamkuta CO mwenye miaka kumi kazini halafu siku hiyo hiyo unawapima hawa watu kwa uwezo wa kazi hlf unaanza kumponda MD kweli?
2. Kama unataka kupima ubora na ujazo wa Maarifa kati ya MD na CO waweke ktk mizania moja huyo MD na CO wenye uzoefu wa miaka sawa kazini ndo utashangaa kwa majb utakayoyaona na utaanza kuwaheshimu vzr MDs
3. CO siyo Daktari unatakiwa ujue hilo, hivyo usirudie tena CO kumuita Daktari
4. Ubora ama uwezo wa mtu unakua determined na juhudi binafsi za mtu ktk field yake bila kujali kiwango chake cha elimu, hivyo tuache kuchonganisha ama kulinganisha makazini wale wenye Diploma vs wenye Degree, haya mambo ya kizamani sana tuyaache sasa
 
sema hivi. kwa waliotoka dirrect Advance na waloanzia Diploma wakakutana degree. Dhen wakawekwa kazini wote, hapo ndo ningekuelewa.

Maana alotokea dip atakuwa kafanya fields nyingi sana na anakuwa na uzoef mkubwa coz ameanzia kwenye mzizi.

Binafsi nilitokea diploma nikaenda degree, masomo ya degree ni deep sana mzee mwenzangu..
 
Hamjamuelewa alietoa post! Ajamaanisha CO Ni kubwa kuliko.MD no.....ila.amafafanua kwamba CO Ni nzur kuliko MD kwenye uzoefu wa kutibu wagonjwa( tena kwa uelewa wake) alafu Kuna kitu ukijua kwamba hata huyo CO anaweza kusoma MD Kama akifaulu vizur lakin jua MD anatoka direct form six ajui chochote kuhus afya anapofika MD wakikutana na CO yeye atapata shida Sanaa lakin CO yeye kwake mtelezo....na hata mkifika kazn MD anapita anamaliza ajui chochote fanya utafiti
Sio kweli. Actually wanaotoka diploma ndio wanapata tabu zaidi chuo kikuu.
 
Kwa hapa bongo daktari wa Diploma ni mzuri zaidi kuliko yule wa degree. Daktari wa Diploma kwanza ananidhamu ya hali ya juu pia wanafanya practical za kutosha kuliko wa degree. Degree holders wengi wanameza videsa ,chabo kwa wingi ila ukija kazini hawana kitu.

Mbali na madaktari wahandisi wanafata, muandisi wa certificate au Diploma ni bora kuliko yule wa degree ukibisha nenda field ukajionee

Na walimu wa Diploma wapo vizuri sana kuliko degree. Msijiulize kwa nini waajiri wanawachukua vijana wengi wa Diploma kuliko degree msiseme diploma ni cheap kuliko wakiajiri degree ukweli vijana wa degree hawana kitu
Kumfananisha MD na CO ni sawa na kuifananisha USA na Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom