Journalist wa zamani walifanya vizuri zaidi kuliko hawa newcomers

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,041
10,463
Mimi BabaMorgan mwanzo wa mwaka 2022 nilifanyiwa mahojiano na moja ya kituo kikubwa hapa nchini naomba kukihifadhi, nilishangazwa sana na uadilifu wa yule mwandishi na kubaki kujiuliza maswali kadhaa ikiwemo ni vigezo gani vilitumiwa na waajiri wake kumpatia kazi.?

Mimi nimefanya mahojiano na waandishi wengi ila nikiri tu waandishi wa zamani walikuwa ni bora zaidi kuliko hawa wa sasa.

Changamoto za waandishi wa sasa.

1. Wana amini sana kwenye sauti zao kitu ambacho kimewapa upofu kutafuta maarifa zaidi.

2. Foundation za kutengeneza maswali yenye logic ni hovyo.

3. Ubishi mahojiano yanageuka kuwa mabishano they don't listen hata kile unachoongea, Hujamaliza hichi ushaulizwa kingine.

4. Hata kama bajeti ina ruhusu kweli kipindi kimoja cha dk45 ndio kiwe na watangazaji watano sasa hapo si ni makelele tu studioni kama lengo ni kutoa no kubwa ya ajira it's simple Kila mtu mpe segment yake.

Maboss wa media tengenezeni principle na kama zipo basi hakikisheni zinakuwa followed vijana sasa wana mihemko sana watawaharibia biashara.
 
0b2b59c10814f241ccca4dc3f8848660.jpg
 
Back
Top Bottom