Daktari aliyesoma CBG

Daktari aliyesoma CBG

wewe jamaa jinga mtozeni wewe.....unaaibisha umri wako na wazazi wako jitu zima pumba.....wabongo mna kazi sana na nchi yenu.......

Buhahahahahaha!!!! huyu mshamba anafikiri sisi tunaishi kwenye mwezi.......tunapenda kushindanisha vitu visivyo na msingi hii yote frustrations za maisha......kama umesoma miaka mingi na makozi magumu halafu hujatoka ni kimpango wako bana...akili kumkichwa.....hizi pumba walahi utaziona Tanzania tu...
 
Myself I'm a medical student(MD) ila najutia muda wangu niliopoteza A-Level. May be advantage iliyopo ni ile confidence ambayo mtu wa PCB anakuwa nayo kwamba she/he is deemed to be a doctor so anakuwa na kaconfidence fulani. Lakini kiukweli hapa inayotumika sana ni biology na chemistry kidogo.

Msingi wa medicine ni physiology,anatomy, biochemistry na pharmacology. Kwa mtu aliyesoma kweli medicine anajua fika kwamba kila ugonjwa unaokutana nao kitu cha kwanza unatakiwa kujua pathophysiology(which is purely biology!). Hata pharmacology ambayo wengi wetu tunamistake kuiita chemistry based,iila aliyesoma pharmacology atakubaliana nami kuwa msingi wake ni pharmacodynamics na pharmacokinetic which are purely physiology(biology)!

Kwa tafsiri isiyo rasmi,physiology is how the living body functions-which is purely biology! Unaposema Cardiology,ninavyofahamu mimi ni study of heart,kwa maana na ya anatomy,physiology na biochemistry ya moyo.Kwa tafsiri isiyo rasmi maana yake ni jinsi moyo unavyofanya kazi-which is purely biology!

Radiology:hapa labda sijamwelewa mleta mada ana maana gani! Kwa sababu kama ni vifaa vinavyotumika,ni kweli watengenezaji wanatumia phyisics lakini tusisahau kuwa wanaovitengeneza sio madaktari kama yeye! Wanatengeneza ni wataalamu wa electronics and the like! Madaktari wanavitumia tu. Na ili daktari au radiologyst atumie kifaa hicho,kitu cha kwanza ni lazima awe anajua anatomy na physiology-which is purely biology! Mbona hatusemi computa zitumiwe na waliosoma electronics tu?!

Mi nadhani ktk maisha tunategemeana.So,kuwa daktari sioni kama is an extraordinary thing kihivyo. Kinachotakiwa ni kila mtu kuthamini uwepo wa watu wengi.Kwa mfano,mimi naamini maisha hayaendi bila kuwepo makuli,watu wa mikokoteni,waokota makopo barabarani and the like!

uchambuzi wako ni mzuri ila naomba nikurekebishe kidogo,chemistry sio kidogo kwenye medicine,either inalingana au kuizidi biology kidogo.
refers sylabuses ya medicine
 
Ni tahira tu ambaye atajifanya hajakuelewa.....shukrani kaka kwa hili hitimisho....watu wanakosa elimu ya utambuzi na kujitambua dhumuni lao hasa hapa duniani ndio maana mijitu mizima ina digrii za udaktari na watoto nyumbani ati linakandia combination ya mtu mwingine utadhani sekondari....Mimi daktari mtarajiwa ila nishagundua mapema matatizo ya madokta hapa bongo....usipojitambua na kukubali ukweli utapata sana matatizo duniani
 
ni kweli kabisa bila physics utakosa msingi bora wa kuwa daktari mzuri, nephrology(GFR etc),cardiology(ECHOetc),etc......

Nina ndugu yangu yuko Finland anasoma BSc Agriculture Eng! Huku kwetu aliishia Form 4 masomo ya Arts na hakufaulu vizuri!
Wenzetu walioendelea wanatoa Aptitude Test ya fani unayotaka kusoma, ukifaulu wanakuchukua, hawahangaiki na daraja ulilopata Sekondaru.
 
uturuki si wanabebaga kila mtu ili mradi uendane na wao! Kuna tetesi kwamba hata mwinyi hukumaliza form five akaenda uturuki na kurudi daktari.

Uturuku hela yako tu hayo mengine yatajipa mbele kwa mbele, uturuki kama hutaki kwenda jeshi wakati ni lazima kuna amount ya mony unatoa mnakuwa mmemalizna na serikali so sishngai kama wanachukua watu viwango duni frm tz na kuwapa udaktari wa binadamu
 
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine

Mkuu mbona imetulia tu! Udaktari haswa ni BC na pia mtu wa CBG lazima atakuwa alifanya Phy mpaka 4 na mara nyingi wanakuwa walifaulu pia. Sasa mtu wa PCB akiwa amezidiwa na CBG kwenye CB si ni lazima achukuliwe yeye?
 
tuachane na ubishani wa c na b na twende mbele ili labda itakuja fanyiwa kazi. Tufute utaratibu wa kuchukua waliosoma pcb ili hata wa cbn, cbg, cba wakasome? Kama ndio, nani atasoma pcb? Kwa sababu huwezi linganisha advanced physics na adv geography, nutrition, or agriculture. Time consumed by physics kwa mtu wa pcb inasababisha ayumbe hata hayo mengine.! Waulize walosoma kigonsera ndo watakwambia utofauti wa cbg na pcb katika kufaulu. Kwa sababu mtu anayejua nikipita njia rahisi nafikia malengo yale yale kwa nini upite njia ngumu? Pia hatuwezi kujifananisha na wenzetu wa nje kwani wao wana mifumo yao tofauti, ndo maana hushangai kuona tz mtu mwenye kipaji cha ufundi akifeli form four ndo mwisho wake lakini kwa wenzetu wanaangaliwa vizuri.
 
PCB, CBG na CBN ndizo proper combinations at A level kwa yule anayetaka kusomea udaktari wa binadamu MD) au udaktari wa wanyama wengine (VET) --- binadamu ni mnyama kama wanyama wengine kama simba, tembo n.k. Ufaulu wake katika masomo ya Sayansi kwenye O level pia hupewa uzito wa kipekee. Siyo lazima awe amesoma hadi A level, anaweza kuwa na O level plus a diploma in clinical medicine, nursing or any allied health science, ambazo hazifundishi hiyo physics ya A level. Madaktari wengi tu (wengine mabingwa waliobobea) wamepitia huo mfumo wa pili yaani O level science + a 2 to 3 years diploma course in allied health science.

Biology ni Zoology + Botany. Kwenye MD kinachoangaliwa pale kwenye A level ni ile zoology part, SUA (kilimo, misitu n.k.) wataangalia the botany part. Nutrition at A level ni nzuri kuliko hiyo physics kwa MD na VET. Mambo ya physics ni ya fani ya uhandisi umeme, electronics, mechanics, buildings n.k. Kwenye udaktari hakuna uhandisi.

Cha muhimu pasi masomo yako vizuri kwani ndicho kigezo kizuri cha kuonyesha kwamba unafundishika i.e. you are teacherble na si vinginevyo, wote mtaanza upya hakuna anayeweza kusema ana advantage dhidi ya mwenzake. Hakuna udaktari wo wote unaofundishwa A level. In fact anayeweza kuwa na advantage ni yule aliyepitia diploma ya health kama clinical officer na nurse provided akili yake iwe na uwezo wa ku absorb mzigo mzito wa medical knowledge ambao si mchezo! Hivyo TCU hawajakosea cho chote kwanza wao si wanaoweka hivyo vigezo. Vyuo vikuu husika ndivyo huweka hivyo vigezo. TCU wanachofanya sasa hivi ni kuratibu tu huo mpango wa central admission.
 
Nina ndugu yangu yuko Finland anasoma BSc Agriculture Eng! Huku kwetu aliishia Form 4 masomo ya Arts na hakufaulu vizuri!
Wenzetu walioendelea wanatoa Aptitude Test ya fani unayotaka kusoma, ukifaulu wanakuchukua, hawahangaiki na daraja ulilopata Sekondaru.

hata nape alienda kusoma india baada ya kufeli form six. Jiulize chuo alichosoma. Kuna vyuo hela yako ndo inaongea badala vigezo vya mtu. Kwani unadhani phd feki za kina nchimbi, nagu, kamala hazikutolewa na vyuo? Mbona wanagraduate tena mzumbe?
 
uchambuzi wako ni mzuri ila naomba nikurekebishe kidogo,chemistry sio kidogo kwenye medicine,either inalingana au kuizidi biology kidogo.
refers sylabuses ya medicine

Mkuu mkuu vyovyote mtu atakavyoona,ila mimi ambaye nimesoma PCB na sasa nakaribia kumaliza MD yangu ndivyo nilivyoona. Tatizo ninaloona watu wengi wanadhani medicine ni dawa,that is absolutely wrong. Ni kweli dawa inaemploy chemistry kwa kiasi kikubwa.Lakini madaktari watakubaliana nami kwamba,tiba ni zaidi ya dawa(drugs).Pia,huna haki ya kuprescribe dawa kama hujui mgonjwa anaumwa nini(pathology) ambayo ni purely biology na jinsi dawa inavyofanya kazi-pharmacokinetics & pharmacodynamics ambavyo pia ni biology kama kawaida!

Si lengo langu ku-undermine taaluma ya udaktari maana hata mimi nimo humo,ila binafsi nitakuwa wa mwisho kujiona kama an extraordinary person eti kwa sababu tu nilisoma PCB.Hiyo sio haki hata kidogo.Ni kweli ni taaluma ngumu kiasi,lakini hiyo tu hainifanyi kupindisha ukweli.Mkuu ungeniambia ni wapi chemistry inaonekana inalingana au ni zaidi ya biology kwenye medicine(hii ninayochukua hapa) ningekuelewa.

Napenda hebu jaribu kupitia vizuri hiyo syllabus,maana naona umeskip kipengele kinachoruhusu mtu mwenye degree ya kwanza kwenye paramedicine(nadhani unaelewa) kuchukua MD.Ukishatambua hilo nadhani tutakuwa tumeelewana.

Naomba nisisitize kwamba medicine ni zaidi ya dawa(drugs). Medicine lazima ujue kwanza mwili unapofanya kazi(biology) na madhara ya ugonjwa mwilini(pathophysiology) ambayo pia ni biology.Ni kweli Chemistry inahitajika ila hata ile ya o-level inatosha kabisa.Jamani mimi nasema hivi kwa sababu mimi pia nilikuwa napata stories za namna hiyo ni mpaka niliposoma huu udaktari nikajionea mwenyewe.
 
Kwa mujibu wa Guide Book ya TCU (pdf version), sifa za kujiunga na MD course kwa:

MUHAS:

SFUCHAS:

UDOM:

CUHAS

HKMU

KCMC College
Maths? I guess kulikuwa na typing error!

Hilo la CBG limeingilia wapi tena?

That's what am sayin!!where is geography?
 
C'mon pple..you apply physics in tappin fluids from the body..electrocardiography..n so many...alafu it's not fair mtu ALIYESOMA an easy combo of subjects..Tuulize sisi tunaojua..au unataka kutibiwa na jitu lisiloelewa linachofanya..unajua mtu akiwa anafanya kitu kwa kuelewa na experience huyo anakuwa very flexible akiona any new changes..tofAuti na jitu la CBG halielewi fluid principles..electricity..waves alafu linakutibu tuu..Kama robot..hawezi kureason vitu kwa kutumia principles za physics za kawaida anang'aa sharubu..kamwekea mgonjwa drip ya maji mgonjwa kachanganyikiwa kichwa kinamuuma hajui nini kinaendelea

Acha uhuni wewe, mtu huyo anachaguliwa kuwa daktari ama kuosomea udaktari? masomo ya udaktari miaka 6 mathalani na yana mitihani yake sasa kama alikuwa kihiyo na CBG yake c atatemwa along the way? ikiwa atamaliza maana yake mzuri. Hakuna cha drip ya maji na kuchanganyikiwa kichwa. Punguza hiyo dharau na kukariri.
 
Entry requirements kwenye vyuo vya wenzetu ni kama inavyoonekana hapo chini. Kwa haraka mtaona kuwa mtu wa CBG anaweza kabisa kusoma Medicine bila ya tatizo lolote.

[TABLE="width: 808"]
[TR]
[TD]University[/TD]
[TD]Entry Requirements[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Oxford University[/TD]
[TD]A-levels: A*AA, in three A-levels taken in one academic year
Excluding Critical Thinking and General Studies. Candidates are required to have Chemistry (compulsory), plus Biology and/or Physics and/or Mathematics to full A-level.
Medicine - Entrance requirements - University of Oxford
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Manchester[/TD]
[TD]Chemistry plus one from Biology or Human Biology, Physics, Mathematics or Further Mathematics plus one further subject (not Critical Thinking or General Studies; Further Mathematics not accepted alongside Mathematics; We do not accept Applied A-levels for either the 5-year or 6-year programme).
Medicine (5 years) [MBChB] (MMS - University of Manchester)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cambridge University[/TD]
[TD]Applicants must have AS or A Level passes in Chemistry and two of Biology/Human Biology, Physics, Mathematics.
Medicine
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University College London[/TD]
[TD]
SubjectsBiology and Chemistry required.
Medicine MBBS BSc
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Entry requirements kwenye vyuo vya wenzetu ni kama inavyoonekana hapo chini. Kwa haraka mtaona kuwa mtu wa CBG anaweza kabisa kusoma Medicine bila ya tatizo lolote.

[TABLE="width: 808"]
[TR]
[TD]University[/TD]
[TD]Entry Requirements[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Oxford University[/TD]
[TD]A-levels: A*AA, in three A-levels taken in one academic year
Excluding Critical Thinking and General Studies. Candidates are required to have Chemistry (compulsory), plus Biology and/or Physics and/or Mathematics to full A-level.
Medicine - Entrance requirements - University of Oxford[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Manchester[/TD]
[TD]Chemistry plus one from Biology or Human Biology, Physics, Mathematics or Further Mathematics plus one further subject (not Critical Thinking or General Studies; Further Mathematics not accepted alongside Mathematics; We do not accept Applied A-levels for either the 5-year or 6-year programme).
Medicine (5 years) [MBChB] (MMS - University of Manchester)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cambridge University[/TD]
[TD]Applicants must have AS or A Level passes in Chemistry and two of Biology/Human Biology, Physics, Mathematics.
Medicine[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University College London[/TD]
[TD]
SubjectsBiology and Chemistry required.
Medicine MBBS BSc
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Unafikiri huyo mshamba anaelewa kikatoliki (kiinglishi)???....kuna mdau kaweka kama hiyo hapo juu lenyewe linachekelea....watu wametoka na CBG sasa tuko mamnchi ya watu tunakula medicine lenyewe mikelele tu....
 
The direct minimum entrance qualification to MD course is two principal passes (5 points in 2 subjects). Preference will be given to applicants with "C" grade or higher in Chemistry or Biology in that order.Consideration will also be given to applicants with Principal passes at C grade on higher in Chemistry and a ‘D' grade or higher in Biology or Physics. [C, D (5 points from 2 subjects)]
Hizo ndizo sifa za kusomea udaktari katika vyuo vyetu vingi kama MUHAS, CUHAS, HKMU n.k. Sasa tatizo liko wapi? Wanachotaka ni points zisizopungua 5 na upendeleo ni kwenye somo la kemia likifuatiwa na biologia. Sasa mtu kapiga CBG yake Kemia A (5 points) na Biologia A ( 5 points) - jumla point 10 kwenye masomo ya kipaumbele kwenye MD, wewe unalalamika nini na hiyo PCB yako umepata D tatu au D mbili na E moja.

Ukweli unabaki palepale kwamba MD ni sayansi ya binadamu ambayo kwa kiwango kikubwa ni kemia. The living human body is a complex chemical object which the MD student learns. Udaktari wa MD si utabibu - kutibu. It is more than that. Kutibu ni sehemu ndogo tu ya hiyo sayansi, sehemu inayoitwa clinical. Hiyo clinical part ni sehemu ndogo tu ya application ya hiyo sayansi na inahusisha na application nyingi zisizo za kisayansi kama vile lugha, sociology, siasa, art (sanaa ya mikono) n.k. katika kumhudumia mgonjwa (wala siyo kumtibu kwani magonjwa mengi kwanza hayana tiba ya kuyaponyesha). Tatizo letu ni kuamini kwamba MD ni tabibu. Nchi za wenzetu MD wengi huajiriwa kwenye maabara za utafiti na hizo ndizo hulipa mishahara minono sana na ndivyo uti wa clinical/utabibu. Walioshindwa kupata nafasi huko (kwa sababu ya ufaulu wao mdogo kwenye MD) ndio huajiriwa kwenye utabibu. Kwetu huku ni kinyume chake. Maabara na tasisi za tafiti hazina vitendea kazi vya maana na malipo yake ni kiduchu. Ndiyo maana wenzetu wanaendelea, sisi ni wa kusubiri ugunduzi wa hao jamaa ambao nao mara kwa mara tunautumia vibaya. Watatugundulia dawa za kutibu malaria (ambayo kwanza kwao hawana) na visonono vyetu. Tukiipata tutaitumia vibaya (abuse) na baada ya muda mfupi vimelea vya magonjwa hayo tunavifanya kuwa sugu kwa dawa hizo halafu tunabaki kulalamika tukisubiri watugungulie zingine!
 
Acha ushamba na ujinga. Vyuo vipi kufundisha madaktari sio kupitisha madaktari. Kama chuo kinafanya kazi ya kufundisha kwa ufasaha hata mtu wa HGL anaweza kusoma udaktari.

"Before God we are all equally wise, and equally foolish" - Albert Einstein
 
ni kweli kabisa bila physics utakosa msingi bora wa kuwa daktari mzuri, nephrology(GFR etc),cardiology(ECHOetc),etc......

Ni ujinga tu na ufinyu wa mawazo. Cardiology kwa nchi za wenzetu anafundishwa hata mtu asiye na fani ya udaktari? Mfumo wa elimu ya kibongo umepitwa na wakati.
 
kweli nchi hii si masikini tu wa uchumi na uongozi pia sisi ni masikini wa reasoning na thinking. Sasa mtu mzima anabishana kuhusu pcb na cbg anaongea pumba.
Nina mashaka inawezekana watoto wa secondary ndiyo wamechangia hizi pumba. mtu wa cbg anaweza soma akawa daktari mzuri zaidi ya mtu wa pcm. Elimu yetu iko complicated sana inafanya watu wengi washindwe soma wanachotaka na haitusaidii.
Mimi nimesoma na watu wengi wamefail kuanzia o'level kisa tu mfumo wa elimu wakaamia kenya na uganda na sasa hivi ni watu wanafanya kazi zao za maana hapa hapa nchini.
Yupo dada mmoja alifail akiwa form 2 shule flani hapa tanzania akapelekwa uganda akasoma sekondari na kasoma medicine makelele sasa hivi yuko muhimbili.
Watanzania mabishano na watu kujiona wanajua zaidi ndiko kunatuponza. Kenyans are doing better than us sisi tuko kwenye majungu na kujisifia sifia tu
 
duh we kilaza kwani mtu akiingia tu chuo cha udaktari tayari anakuwa daktari kuna safari ndefu
 
Back
Top Bottom