Daktari aliyesoma CBG

Daktari aliyesoma CBG

ndugu yangu ndo maana kenya wanaishia form four lakini kuna wanaoenda kusoma udaktari, engineering nk. Unadhani wanabeba kila mtu ili mradi kamaliza form four? Hkl? Hahaaa, huko mi sipo. Ndo maana wajanja walianzisha pcb na pcmili kuchuja vilaza wote kwani medicine na engineering siyo ya kila mtu. Kuna wengine inabidi wakafanye mambo mengine. Na hiyo siyo tanzania tu kwani nchi nyingi wanafanya hivyo. Tatizo la madaktari lingekuwa halipo kama kila mtu angeamua kwenda kusoma medicine akaenda. Ni wangapi walitamani kusoma udaktari wakaishia kusoma hgl kwa kuwa na uwezo mdogo wa science? Kama uwezo wako ulikuwa mdogo kubali tu. People in medicine are gifted ndo maana kuna utofauti wa iq.
No body was born a doctor, anyone can be trained and become a very good doctor! Acha kukariri... Make reference to Albert Einsten's success story.
 
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine

Kujua kwako newton law kutakusaidia nini kumtibu mgonjwa wa mafua...
 
Kuna Dogo namfahamu alisoma HGL Mzumbe na Akapata scholarship ya kwenda kusoma Medicine Uturuki I think there is something wrong with our education system

Huyo mkali aisee
 
Hebu tufanye utafiti kidogo ili tuone kama kuna tofauti ya performance kati ya doctors waliotoka kwenye CBG na hawa waliozoeleka wanaotoka PCB , ikiwezekana na majina yao yawekwe , vinginevyo mimi sioni ubaya kwa watu wa CBG kusoma udaktari , tunachohitaji ni kile watakacho deliver mwisho wa siku , isije ikawa ni wivu wa kijinga tu , maana siku za nyuma kidogo sisi tuliokuwa tupo kwenye PCB tuliamini tuna akili sana kushinda wenzetu wa michepuo mingine ! Sasa sijui kama hawa vijana wa sasa nao wana mawazo mgando kama yetu yalivyokuwa .
 
The entrance requirements for Medicine at Oxford University are three A-levels or equivalent qualifications. Competition for places is very strong and we would be looking for three A grades, taken at one sitting.

One A-level must be Chemistry, the second should be Biology, Physics or Mathematics and the third can be any subject except General Studies or Critical Thinking.

If you do not have Biology, Physics or Mathematics to the full A-level, you would need to have that subject to at least GCSE level, or to have the dual award combined science GCSE.

https://uni-of-oxford.custhelp.com/...-i-need-to-apply-to-study-medicine-at-oxford?

The entrance requirements for Medicine at Cambridge University are passes in Chemistry and two of Biology/Human Biology, Physics, Mathematics at A Levels and Double Award Science and Mathematics two single awards in GCSE Biology and Physics may be substituted for Double Award Science.

Medicine

At Harvard, the Faculty of Medicine accepts applications from current students in good standing and graduates of accredited colleges who:

  1. Present evidence that their intellectual and personal credentials are of such quality as to predict success in the study and practice of medicine.
  2. Demonstrate aptitude in the biological and physical sciences during their undergraduate years, but not to the exclusion of the humanities and social sciences.(A study at Harvard Medical School has shown that students are successful in their medical studies regardless of undergraduate concentration, providing that they have had adequate science preparation. Students are urged to strive for a balanced and liberal education rather than specialized training. No preference is given to applicants who have majored in the sciences over those who have majored in the humanities.)

Requirements for Admission | HMS

WAPE HIYO HAO Jamaa! Hivo ndo vinavochkua creme de la creme ya dunia..sasa hawa waleta vi geography vyao hapa
 
why you think that any doctor must study physics for two years( a level)
What so special so that CBG cant become a good doctor without physics? You have to convice us and we dont want blah blah here.
I just wanna know. Whats so special in P?
KAMA mpaka leo hujajua hata ukishawishiwa hutakubali.nchi hii imeharibika kwasababu watunga sera wengi ni hao waliosoma HGL,HKL,KLF na hawatumii hekima kutambua ukweli kwamba UDAKTARI ni taaluma inayo hitaji umakini mkubwa na only talented few can make it.
 
siku nikikutana na daktari aliye soma hkl sitakuwa na sababu ya kupata matibabu kwake nitatafuta matibabu online au bora kugharamia niende KENYA,UGANDA AU MALAWI. SISI tubaki kupiga siasa kwenye kila kitu. kweli kanchi kangu kameingiliwa.

hii nchi watu wanataka short cut kupata matokeo magumu.
 
haya mambo ya prestige yanaturudisha nyuma sana mtu wa CBG anaweza kuwa dokta mzuri kuliko wa PCB jiografia itamsaidia kujua mwenendo wa magonjwa na mazingira. au mnafikiri wanaposoma veterinary hakuna cardiology na GFR? kutibu mtu na mnyama principle ni sawasema unaongeza extra care kwa binadamu. kwenye shule ya MD physics ipo kidogo sana hata ya o-level inatosha. sema madingi wa muhimbili wamekalia utabe/prestige sana. pricnciple zilizopo kwenye chemistry kama gas laws na mambo ya osmosis yanatosha sana kuelewa sterling forces kwenye cardiology. pia kwenye chemistry mambo ya radiation yapo covered. tuacheni masifa wajama.
umewaza vizuri lakini hujatazama madhara yake kwa mapana sitahiki. ukiruhusu mtu aliye soma CBG,CBN,ABC wasomee udaktari kama waliosoma PCB kuna hatari ya ku create imbalance.kimsingi PCB ni ngumu kuliko kombination hizo tatu whether you like or not wanafunzi wanajua hivyo na ndio ukweli.ndani ya muda mfupi wanafunzi wanaotaka kusomea udaktari hawatakuwa na sababu ya kuhangaika na PCB wakati njia rahisi ya kufikia malengo ipo yaani kusoma CBN,CBG, ABC nk.Hakuna mwanafunzi atakae soma PHYSICS.Pamoja na yote wanafunzi wengi ni opportunists kwanini awekeze muda wao mwingi kusoma physics wakati kuna njia nyepesi? siku hizi wanafunzi wanasoma PCM na wanafaulu vizuri kwa kiwango cha div 1 lakini hawaendi kusomea ENGINEERING badala yake wanakwenda kusoma B.COM kwanini? kipato.matokeo yake ENGINEERING udsm wanafunzi ni wachache sana.they have created imbalance.watu hawaoni sababu ya kukesha unasoma wakati ukija kwenye ajira aliye soma kwa urahisi anakuwa na mshahara mkubwa, kwanini wasibanane hukohuko?
 
Sasa mtapataje div 1 wakati wote ni insecure na Vilaza ndo mnaosoma CBG?alafu wenzako physics inawaconsume kwahiyo ku balance Muda wa hiyo chemistry na biology unamezwa na physics!we geography inaugumu gani?watu hadi Vilaza Kabisa..hgk hge..etc wanafaulu ndo sembuse watu wa sayansi?

Mkuu umejisifu huko juu kuwa wewe una akili sana lakini kulingana na comments zako napata mashaka kuamini kama kweli una akili au majigambo na kuiona bora zaidi kumezuia uwezo wako wa kufikiri. Kuamini kwamba mtu mwenye akili ni yule tu aliyesoma sayansi na wote waliosoma hati ni vilaza hiyo tosha inatia shaka kwenye uwezo wako wa kufikiri. Ni ukweli kuwa watu wengi wanaosoma PCB si wazuri kwenye Advanced Mathematics, sasa kwa kigezo chako kwamba waliosoma sayansi ndio wenye akili sana inakuwaje wanashindwa kumudu Advanced Mathematics na mwingine aliyesoma social science kama EGM ambapo kwa vigezo vyako ni kilaza anaweza? Nadhani unasahau kuwa binadamu tumeumbwa na vipaji tofauti, wewe ambae unajisifu una akili nyingi unaweza kuambiwa usome Engineering ukashindwa, hizo akili zimeenda wapi? Tuacheni majivuno yasiyo na msingi, wakati wengine wanajivuna kwa kutumia utaalamu wao kutoa ufumbuzi kwenye matatizo yanayosumbua jamii wewe unajisifu kwa kuwa na akili kuliko aliyesoma CBG na masomo ya arts.
 
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine
acha ushamba mbona kuna dada namfahamu ni daktari MOI,lakini wakati tupo sekondari alikuwa anasoma CBN pale jangwani,sasa ni specialist wa mifupa
 
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine

Chuoni kila kozi inaanza upya... So back ground doesnot matter sana. PCM and CBG can be better than PCBs. What matters ni jinsi mwanafunzi atakavyo catch up na ku-master masomo ya udaktari.
 
Hebu tufanye utafiti kidogo ili tuone kama kuna tofauti ya performance kati ya doctors waliotoka kwenye CBG na hawa waliozoeleka wanaotoka PCB , ikiwezekana na majina yao yawekwe , vinginevyo mimi sioni ubaya kwa watu wa CBG kusoma udaktari , tunachohitaji ni kile watakacho deliver mwisho wa siku , isije ikawa ni wivu wa kijinga tu , maana siku za nyuma kidogo sisi tuliokuwa tupo kwenye PCB tuliamini tuna akili sana kushinda wenzetu wa michepuo mingine ! Sasa sijui kama hawa vijana wa sasa nao wana mawazo mgando kama yetu yalivyokuwa .

Mimi nakwambia huu utoto uko sekondari wa kutishiana kombi ila unapokuwa unagundua kuwa mawazo hayo hayana mpango.....ila cha kusikitisha ni kuwa wengine hawakuwi....yani kuna watu hapa ni madaktari nao wanachangia pumba.....Madaktari waliosoma CBG wako mpaka muhimbili na wanafanya vizuri tu sijui kwa nini hawalioni hilo.....fuatilia tabia za madaktari wengi....kupiga domo tu....

Dokta Masau alianza kupigwa vita na wazee wa muhimbili katika hatua za mwanzo kabisa....ni hawa wazee wanawaambia wanafunzi wao kuwa wao ni bora kuliko wakenya hata wanaosoma europe......wazee wazima hata haya hawana wamefunga safari mpaka kituo cha habari kuwatangazia watanzania kuwa Dk Masau sio wa kwanza kufanya Open heart Surgery kisa tu Masau alikuwa mwanafunzi wao....Ndio maana wamejazana katika zile kota kama kumbikumbi.....Jitu zima na Phd limekalia ulevi na umbeya....

Mimi nasoma medicine najua vizuri mentality za madaktari......tunapenda kuaminisha watu kuwa medicine ni impossible na ni ma-sub gods tu wanauwezo wa kuifanya......zamani zilikuwa zinaenda div 1 tu medicine ila sasa div 2 mpaka div 3 kwa wanawake zinachukuliwa na wanakuwa madaktari wazuri tu......Bidii kidogo tu inahitajika wala msitishe watu hapa

Tabia kama hizi ndio zimesababisha migomo isiyo na kichwa wala miguu....ati kisa tu wewe ni daktari hutaki mwingine alipwe zaidi yako.....upuuzi.....
 
Chuoni kila kozi inaanza upya... So back ground doesnot matter sana. PCM and CBG can be better than PCBs. What matters ni jinsi mwanafunzi atakavyo catch up na ku-master masomo ya udaktari.

Unafikiri kuna hoja hapo basi....hii ni chuki tu na kutaka kujikweza.....wanataka kuwa wachache.....dunia inabadilika usipobadilika unakwenda na maji......jamaa wanachuki sana hata kwa madaktari wanaotoka nje....Mpuuzi mmoja anadharau mtu anatoka europe na MD ati wako shallow....nikicheki Tanzania nzima kuna ma-neurosurgeon hawazidi watano (jumlisha na wasiofanya kazi)....sasa mimi nayesoma MD nje najiuliza hawa jamaa wanafundishwa na nani maana huku nimefundishwa na ma-neurosurgeon zaidi ya watano na ma-neurologist wakumwaga.....sasa hii dharau inatoka wapi....mnadharau hata waliowafundisha hiyo medicine toka uhuru...hahahaha
 
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine

Hizo ni fikra zako. Kuna jamaa tumesoma wote O level alikuwa anachukua masomo ya art na biashara, tukaingia naye Dar tech lakini yeye kaingia kwa jina la mtu mwingine kwa kuwa hakusoma science. lakini alikuwa anatupeleka sana, sikuamini kama ndo yeye, na alikuwa anafaulu vizuri sana.
 
kaka wewe ndio umesema CBG wanapata div one kirahisi halafu unajikanyaga mwenyewe.....mimi sitaki kutumia muda wangu kubishana na mtu aliyegoma kukua (débile mental)...piga kelele ukichoka kalale ila kesho wenzako wanaamka kupiga hatua moja zaidi kuelekea maendeleo ..... huwezi zuia mvua mjomba ....ndio maana juzi AMO kachaguliwa daktari wa mkoa mashuzi yanawatoka wakati RMO sio post ya kugombania kwa kijana anayejielewa ....wenye macho nadhani wameona...

Sasa mnaoenda pia Kusoma CBG ni Vilaza..nakwambia mtu aliyepata div 4 PCB angesoma CBG angepata div 1 au 2..believe it
 
Back
Top Bottom