Myself I'm a medical student(MD) ila najutia muda wangu niliopoteza A-Level. May be advantage iliyopo ni ile confidence ambayo mtu wa PCB anakuwa nayo kwamba she/he is deemed to be a doctor so anakuwa na kaconfidence fulani. Lakini kiukweli hapa inayotumika sana ni biology na chemistry kidogo.
Msingi wa medicine ni physiology,anatomy, biochemistry na pharmacology. Kwa mtu aliyesoma kweli medicine anajua fika kwamba kila ugonjwa unaokutana nao kitu cha kwanza unatakiwa kujua pathophysiology(which is purely biology!). Hata pharmacology ambayo wengi wetu tunamistake kuiita chemistry based,iila aliyesoma pharmacology atakubaliana nami kuwa msingi wake ni pharmacodynamics na pharmacokinetic which are purely physiology(biology)!
Kwa tafsiri isiyo rasmi,physiology is how the living body functions-which is purely biology! Unaposema Cardiology,ninavyofahamu mimi ni study of heart,kwa maana na ya anatomy,physiology na biochemistry ya moyo.Kwa tafsiri isiyo rasmi maana yake ni jinsi moyo unavyofanya kazi-which is purely biology!
Radiology:hapa labda sijamwelewa mleta mada ana maana gani! Kwa sababu kama ni vifaa vinavyotumika,ni kweli watengenezaji wanatumia phyisics lakini tusisahau kuwa wanaovitengeneza sio madaktari kama yeye! Wanatengeneza ni wataalamu wa electronics and the like! Madaktari wanavitumia tu. Na ili daktari au radiologyst atumie kifaa hicho,kitu cha kwanza ni lazima awe anajua anatomy na physiology-which is purely biology! Mbona hatusemi computa zitumiwe na waliosoma electronics tu?!
Mi nadhani ktk maisha tunategemeana.So,kuwa daktari sioni kama is an extraordinary thing kihivyo. Kinachotakiwa ni kila mtu kuthamini uwepo wa watu wengi.Kwa mfano,mimi naamini maisha hayaendi bila kuwepo makuli,watu wa mikokoteni,waokota makopo barabarani and the like!