Daktari aliyesoma CBG

Daktari aliyesoma CBG

JAMANI NADHANI WAPO WATU WASIOAMINI KWAMBA GEOGRAPHY NI SAYANSI KWAO WANACHOKIJUA NI PHYSICS NA MASOMO MENGINE, HUU NI USHAMBA WA WENZETU NA UPUUUZI WAIOJAZWA NA WAZAZI WAO. SOMENI GEOGRAPHY VIZURI NA MTAJUA KWAMBA NI SAYANSI. TUACHE USHABIKI WA KIJINGA NA MAJISIFU MENGINE AMBAYO HAYANA MSINGI. HUU MI NAIUTA NI UJINGA KWA SABABU WAJINGA NI WENGI TANZANIA SIKU HIZI, DHARAU NI NYINGI NA HATA HAO WALIOSOMA PCM,PCB NDO HAO AMBAO AKILI ZAO NI CHENGA TUPU NA WAMEKUWA WANASABABISHA VIFO HATA VILE AMBAVYO VINAWEZA KUEPUKIKA. LILE LA MGONJWA WA KICHWA KUFANYIWA OPERESHENI YA MGUU VIPI? TUACHE UJINGA USIO KUWA NA MSINGI

  • :nimekataa




 
Hawajui wanachokifanya wanachojua ni kulipana posho tu na nadhani hata mtalamu wa IT hakuna kama yupo kaajiriwa kifadha na kwa maana nyingine hakwalifai kuwepo hapo ila kwasababu baba yake ni fulani basi na anajua kubonyeza herufi za kwenye komputa basi anawekwa
Maana kama ni mtu wa IT na uhakika anajua nini maana ya command statement asingefanya upuuzi wa hivyo
Maana kwa hali tunayoenda nayo usije shangaa HKL,HGL,HGK atachaguliwa kwenda udaktari maana uwezo wa mtalaam wao wa IT ndo ulipofikia AU huenda programme iliyotengenezwa ni kimagumashi kama mtalaam watakuwa nayo maana tunataka asilimia fulani irudi kwa hiyo programmer hawezi tengeneza high quality programme kwa bei ya chee
 
Hawa sasa watakuwa fake na weak.by default..
 
Msigombane. Si wote wanaoenda muhimbili wanaenda kusomea Udaktari. Japo kila anyesoma muhimbili jamii huchukulia kuwa anasomaemea udaktari. Mtu aliyesoma CBG, CBN,CBA,PCM,wanasoma muhimbili cha msingi ni ufaulu wako. Kuna kozi kama Bsc.Nursing (management,midwife); Bsc Evironmental health science, BMLS - hapa mtu aliesoma CBG,CBN,CBA,PCM wanasoma kozi hizo.Tena ikumbukwe kuwa hapo ni wale wa direct entry. Kuna hawa wa Equivalent entry (waliosoma Diploma na Advance diploma) katika field husika wanaruhusiwa kusoma degree. Kwanza kwa udaktari Biology,chemistry na Physics yako uliyosoma A-level is almost 2% of contribution in basic medical subjects. It is almost start a fresh. Msijidanganye kabisa. Hivyo vingine ni vigezo tu vya kupita ili uweze kuchaguliwa. Nacho kiona kingine hapa ni kitu kinachoitwa Professional arrogance.Nitakuja kueleza siku nyingine nini maana ya Professional arrogance.
 
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine

Ambao hawakusoma PCB utawajua tu kwa arguments zao. Bwana Medicine ni PCB by tanzania standards, kinyume cha hapo hapa tutakutilia mashaka. Neda nchi zingine hata wa History, English wanasoma MD, hatuna shida nao kwa vile ni kwao, kwetu ni PCB!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ambao hawakusoma PCB utawajua tu kwa arguments zao. Bwana Medicine ni PCB by tanzania standards, kinyume cha hapo hapa tutakutilia mashaka. Neda nchi zingine hata wa History, English wanasoma MD, hatuna shida nao kwa vile ni kwao, kwetu ni PCB!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hamini usiamini idadi kubwa wanacoment humuna kusapoti CBG asome medicine ni madaktari waliosoma PCB.Mashaka umeshatiliwa wewe usiyetaka kubadilika,fatilia thread yote kuanzia mwanzo soma points za members walvyo defence kwa ustadi wa khali ya juu issue ya CBG kusoma medicine,kwa kweli wamefanikiwa kukonvince,kijana/mzee usiwe kichwa maji ebu badilika ata jiwe linabadilishwa na kuwa kokoto.
 
hamini usiamini idadi kubwa wanacoment humuna kusapoti CBG asome medicine ni madaktari waliosoma PCB.Mashaka umeshatiliwa wewe usiyetaka kubadilika,fatilia thread yote kuanzia mwanzo soma points za members walvyo defence kwa ustadi wa khali ya juu issue ya CBG kusoma medicine,kwa kweli wamefanikiwa kukonvince,kijana/mzee usiwe kichwa maji ebu badilika ata jiwe linabadilishwa na kuwa kokoto.

Wewe kijana, the law as it stands by now, in Tanzania, kusoma medicine lazima uwe na PCB. Huku kubadilika hatubadiliki kwa kujiwekea viwango, viwango vikibadilishwa na mamlaka husika.
 
Hivi watanzani vichwa vyenu vikoje, watanzania wengi wana akili ya kuelewa mambo tatizo linakuja na kukutana na walimu wabovu ukabadili masomo ili usifeli, kuna shule nyingi hakuna walimu wa kutosha kufundisha fizikia lakini ukiweza kuifuma hata uchochorni (yaani elimu ya sekondari kwa miaka miwili au A level mwaka mmoja) waweza kusonga mbele na kubadilisha fani. Udoctor wa binadamu sio wa kuzaliwa nao waweza kuosoma kama ukipata walimu wazuri. usile usifa sifa eti ni lazima PCB hata HGL anaweza
 
Acha ushamba na ujinga. Vyuo vipi kufundisha madaktari sio kupitisha madaktari. Kama chuo kinafanya kazi ya kufundisha kwa ufasaha hata mtu wa HGL anaweza kusoma udaktari.

Mkuu....HGL? Duh....huyo mtu anaandaliwa kuwa daktari wa aina gani, wa kupasua kichwa badala ya mguu na mguu badala ya kichwa? Au wa staili ya IMTU....ya kutupa human cadavers jalalani?
 
Mbona kenya hakuna A level mtu akitoka form 4 anaingia chuo moja kwa moja,au kwao hawafanyi MD?

Mkuu, miaka 4 ya secondary education Kenya baada ya changes za 1985 za Moi inacover some sort of preparatory classes za chuo....yani imeshiba zaidi ya miaka 4 yetu ya O level
 
Kuna Dogo namfahamu alisoma HGL Mzumbe na Akapata scholarship ya kwenda kusoma Medicine Uturuki I think there is something wrong with our education system

Turkey wanaruhusu combination yoyote kufanya kozi yoyote chuo....ila mkuu fikiria, mtu aliyesoma HGL, tena ambaye probably alikuwa Pure arts tangu form 3 hana chemistry wala Physics....chuo anaenda kufanya medicine kivipi? Ndio sababu mwishoni watu wengi wanaokwenda kufanya medicine Turkey kutoka huku unakuta wanakuwa discontinued vyuoni.
 
Madakatari wa mwanzo waliopelekwa urusi walikuwa na combination zozote kuanzia HGL, EGM n,k. ninamfahamu mmoja anaitwa Professor Mtango (ameshastaafu), alisoma Urusi lakini alikuwa mtu wa art. Anasema ukifika kule unaanza moja. Hata marekani, ukisoma degree ya kwanza yoyote ya Sayansi, unaruhusiwa kusoma medicine.
 
Acha ushamba na ujinga. Vyuo vipi kufundisha madaktari sio kupitisha madaktari. Kama chuo kinafanya kazi ya kufundisha kwa ufasaha hata mtu wa HGL anaweza kusoma udaktari.
.
SIYO KWELI!TUSITAKE KUDHALILISHA TAALUMA ZA WATU. MEDICAL DOCTOR (MD) should be left for PCM's and PCB's.
 
why you think that any doctor must study physics for two years( a level)
What so special so that CBG cant become a good doctor without physics? You have to convice us and we dont want blah blah here.
I just wanna know. Whats so special in P?

Ngeli niuee
 
Acheni kukariri, udaktari siolazma Pcb. Unaweza kúsoma pcb na bado ukapata alama F still ukabebwa na CB kusoma medicine. CB ndio haswa nguzo ya medicine hyo Physics waachie watu wa Engeneering. Karibuni vjana katka fani japo ina mambo mengi ya kusoma lkni sio ngumu kama ambavo baadhi ya wenzangu wenye roho za kikuda na ubinafsi wanavyo jaribu kutanabaisha ili kukatisha vijana tamaa. Walimu wazuri ukiwa chuo utakuwa Daktari mzuri bila hata hiyo Physics yao. Nawasilisha!
 
Hawa madaktari vijana wapenda sifa na majigambo hamna kitu kichwani. Ndio maana wanafanya mapenzi na wagonjwa sababu maadili mukichwa 0.
 
wenye uliyesoa pcb ndio unajioa una iq kubwa sana naombeni mniwie radhi mlie soma pcb hapa tanganyika watu wanaoogopwa hata tanganyika ni wale waliosoa hesabu za kweli pcm na egm hesabu ndio janga la taifa
 
Back
Top Bottom