Acha ushamba na ujinga. Vyuo vipi kufundisha madaktari sio kupitisha madaktari. Kama chuo kinafanya kazi ya kufundisha kwa ufasaha hata mtu wa HGL anaweza kusoma udaktari.
What is so special with Physics in Medicine?
Try doing radiology or cardiology..even basic stuff will sound weird n difficult to you
wewe exposure uliyoipata ulaya mbona ilikufanya ukashindwa kuwatibu watz mpaka ukaitwa chinja chinja? Mpaka ukauchukia kabisa udaktari? Zungumzia maboresho usijifanye una exposure sana na huko nje. Mfumo wetu uliwekwa na watu wa enzi hizo unatakiwa uangaliwe upya. Kumbuka pia mfumo wa elimu yetu ulivyo mbovu itafikia hatua hakuna atakayesoma pcb, suala si kuwa daktari na wa cbg anaweza? Mbona engineering kuna kozi lazima uwe umesoma adv mathematics? Wa bam si anaweza? Tusiweke vigezo basi. Pia elimu ya kenya na tz tofauti kabisa huwezi kuilinganisha ndo maana hata kwenye vyuo vyetu waganda ndo wengi. Ndo maana us inabidi uwe na bsc kabla ya kusoma md.
We ndo mshamba..huijui medicine were..we unadhani medicine ni kitu rahisi kila mtu anaweza soma?nyamaf
radiology wanasoma watu wa O level na ni radiographers wazuri, acha hizo, watu mara nyingi wanakosa access to opportunities tu lakini haina maana alofanya PCB ni mkali zaidi, it is a game of chance. Ujue huwa mara nyingi hatuna choice inabidi usome kitu kwa vile ndo ulipopata
Haha..nimekusoma ndo hao wanafanya vitu bila kuelewa kwa kucram..mwisho wa siku ndo kulipua lipua na kuua wagonjwa kwa false diagnosis..mnaridhika na poor quality service..ma radiologist tz Hawazidi 15..wengine kama hao ma CBG wanapakazia watu magonjwa Kama pneumonia na tb..au laZma wawaconsult madaktari wa ukweli..
Tatizo lako unajiona una akili saaaaaaaaaaaaana which is good, lakini sasa tumia akili zako hizo kujifunza mifumo mbalimbali iliyopo duniani na jinsi inavyofanya kazi.
C'mon pple..you apply physics in tappin fluids from the body..electrocardiography..n so many...alafu it's not fair mtu ALIYESOMA an easy combo of subjects..Tuulize sisi tunaojua..au unataka kutibiwa na jitu lisiloelewa linachofanya..unajua mtu akiwa anafanya kitu kwa kuelewa na experience huyo anakuwa very flexible akiona any new changes..tofAuti na jitu la CBG halielewi fluid principles..electricity..waves alafu linakutibu tuu..Kama robot..hawezi kureason vitu kwa kutumia principles za physics za kawaida anang'aa sharubu..kamwekea mgonjwa drip ya maji mgonjwa kachanganyikiwa kichwa kinamuuma hajui nini kinaendelea
Tatizo lako unajiona una akili saaaaaaaaaaaaana which is good, lakini sasa tumia akili zako hizo kujifunza mifumo mbalimbali iliyopo duniani na jinsi inavyofanya kazi.
Background serves only as an added advantage, it has nothing very special to do with what a profession a person is pursuing at the University. When you go there, you start over, very new things...of course background helps but its not necessary... Hata mtu wa HKL can be trained and become an MD.Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine
why you think that any doctor must study physics for two years( a level)
What so special so that CBG cant become a good doctor without physics? You have to convice us and we dont want blah blah here.
I just wanna know. Whats so special in P?
C'mon pple..you apply physics in tappin fluids from the body..electrocardiography..n so many...alafu it's not fair mtu ALIYESOMA an easy combo of subjects..Tuulize sisi tunaojua..au unataka kutibiwa na jitu lisiloelewa linachofanya..unajua mtu akiwa anafanya kitu kwa kuelewa na experience huyo anakuwa very flexible akiona any new changes..tofAuti na jitu la CBG halielewi fluid principles..electricity..waves alafu linakutibu tuu..Kama robot..hawezi kureason vitu kwa kutumia principles za physics za kawaida anang'aa sharubu..kamwekea mgonjwa drip ya maji mgonjwa kachanganyikiwa kichwa kinamuuma hajui nini kinaendelea
Mbona hapo hakuna shida kabisa kwani kwenye medicine kinachotakiwa zaidi si ni chemistry na biology (application ya physics si kubwa sana na isitoshe huyu jamaa alisoma physics O-level). Watu wamesoma PCB sasa hivi ni wahasibu na hawakuwa na background ya Book-keeping wala Commerce sembuse mtu wa CBG kusomea udaktari?.
Tangu nimejoin jf sijawahi kusoma comment ya hovyo kama hii. Unawadharau wenzio kwa kuwaita majitu kisa tu eti wamesoma comb unayoitaja kuwa rahisi cbg.
I can see s'thing is wrong in ur mind and probably ur out of ur conscious zone. Shame upon u!