Daktari aliyesoma CBG

Daktari aliyesoma CBG

mimi naamin kabisa physics haina chake kwenye udaktari kwani nyie madaktari wa hapa tanganyika ndio mko kwenye viwanda vya kutengeneza amulance, x ray machine O2 machiene, endoscope micoscope na machine zingine za hopital mpaka iwalazim kujua physics
 
kwanza fani ya afya inayo deal na mwili wa mtu huendeshwa kwa kukariri tena kwa kiasi kikubwa mgekua na iq kubwa mgesoama pcm na egm soma pure mathematics na sio bam ili tukuone una iq kubwa sio pcb kukariri mwanzo mwisho
 
usiwazalau pia wanao soma art nao pia wanajibidisha ndio maana wanafauru sie wengine tulikua huko art na tulishindwa kabisa kufauru lakini tulipo hamia sayansi tena kwa stayle ya ku reseat tumefauru chemistry biology na hiyo physics na sasa niko AFYA
 
Nenda marekani uone na kusoma physics yako uone kama watakuruhusu utibu na mdcn yako ya mhimbili. Muache ushamba uhusiano wa masomo ya Alevel ni mdogo sana mambo mingi ni mpya tu.
 
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine

Bachelor of veternary medicine
 
mimi naamini kabisa pysics haina chake kwenye udaktari kwani nyie madaktari wa hapa tanganyika ndio mko kwenye viwanda vya kutengeneza amulance, x ray machine O2 machiene, endoscope micoscope na machine zingine za hopital mpaka iwalazim kujua physics

Udaktari ni chemistry na biology
 
wenye uliyesoa pcb ndio unajioa una iq kubwa sana naombeni mniwie radhi mlie soma pcb hapa tanganyika watu wanaoogopwa hata tanganyika ni wale waliosoa hesabu za kweli pcm na egm hesabu ndio janga la taifa

Zote mbwembwe tu mwisho wa siku fani zote tunazihitaji.
 
Hizo ni fikra zako. Kuna jamaa tumesoma wote O level alikuwa anachukua masomo ya art na biashara, tukaingia naye Dar tech lakini yeye kaingia kwa jina la mtu mwingine kwa kuwa hakusoma science. lakini alikuwa anatupeleka sana, sikuamini kama ndo yeye, na alikuwa anafaulu vizuri sana.


Haaaaa Haaaaa Haaaaa Haaaaa Haaaaa.

Hii ni post ya millennium!!

Nimekupa like mubashara kabisa!
 
hata nape alienda kusoma india baada ya kufeli form six. Jiulize chuo alichosoma. Kuna vyuo hela yako ndo inaongea badala vigezo vya mtu. Kwani unadhani phd feki za kina nchimbi, nagu, kamala hazikutolewa na vyuo? Mbona wanagraduate tena mzumbe?

Kumbe fififemu fafafafa zimejaa eeweh
 
Back
Top Bottom