mkandi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 281
- 121
Rafiki angu darasani enzi hizo; alikua 'mkali', na alipata masomo yote A. Akachagua HGL. Mie nikachagua PCB japo sikupata hata nusu ya A. Naamini TCU wangetupanga nae kusomea udaktari; angekua my teacher.
Kuna watu wana uwezo tofauti tofauti; wasihukumiwe kwa historical first choice zao! Lakini pia kuna watu wasio na uwezo kukabili mambo tofauti: hao huchujwa katika mafunzo.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums