Huu ni ukweli uliowazi. Al bashir wa nchi yetu ni ccm tu. Hakuna mwingine. Siku ccm ikianguka, huenda nchi yetu ikapiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Hiki chama kimefanya blanda nyingi sana tokea kianzishwe kuliko mafanikio yake.
Kimewekewa mazingira ya chenyewe kuonekana ni chama bora sana kuliko hata Tanzania na watanzania wenye nchi yao.
Kipi ni kizuri mkuu AcT /Cdm
