Tatizo la tz ni moja, sio rais, ni ccm tu, siku wananchi wakiamka, ccm wote ndani, kwa vile walivyo kuwa wakusukuma wapinzani ndani.. Ccm lazima ikubali kuachia madaraka kwa wapinzani wao, tumechoka na agenda zao za kikonist
Acha tuWapambe wote washatulizwa + kipondo juu
Ova
Wakati ukifika utashangaa.Siku Zote Haki Haiombwi Ila Inadaiwa Watanzania Tuelewe Hivyo.
Tofauti Na Hivyo Tukubali Kuburuzwa Hadi Mwisho Wa Dunia.
Wanayoyafanya ccm si mapya kwa albashir ccm wanapita mkondo huohuo.Huu ni ukweli uliowazi. Al bashir wa nchi yetu ni ccm tu. Hakuna mwingine. Siku ccm ikianguka, huenda nchi yetu ikapiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Hiki chama kimefanya blanda nyingi sana tokea kianzishwe kuliko mafanikio yake.
Kimewekewa mazingira ya chenyewe kuonekana ni chama bora sana kuliko hata Tanzania na watanzania wenye nchi yao.
Kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Nimemuona aliyekuwa akiabudiwa kama Mungu hana tena la kufanya zaidi tu ya kuwa mpole kama hua.
Wapambe wake wote hawapo tena. Wapiga vigelele na mapambio wote wametimua mbio. Al-bashir yuko peke yake hana tena Yale madaraka . Leo anaweza kuwa mfungwa kama wafungwa wengine.
Tunaposherekea sikukuu hii ya pasaka naomba tukio hili la Al-bashir liwe funzo kwetu. Tuishi maisha ya kutenda haki. Madaraka hutoweka kama kivuli ndipo nyakati za aibu na mateso hutamalaki.
Naanza kutafakari maonyo aliyo toa ktb mkuu wetu Al Bushiru kuonya chama je ameona nini mbele
chama cha mapinduzi kinamiliki mali kuzidi SerekaliTatizo la tz ni moja, sio rais, ni ccm tu, siku wananchi wakiamka, ccm wote ndani, kwa vile walivyo kuwa wakusukuma wapinzani ndani.. Ccm lazima ikubali kuachia madaraka kwa wapinzani wao, tumechoka na agenda zao za kikonist
wakati upi unaosubiliwa au hadi atakapo rudi Yesu?Wakati ukifika utashangaa.
Mungu anampenda Magufuli, amempa nafasi ya kujifunza kwa mwenzake, akikengeuka atakwenda na maji muda si mrefuNilikua nasoma aljazeera kwamba speaker wa Bunge,mwenyekiti na katibu mkuu wa chama chake,aliyekua naibu raisi,mkuu wa shirika la upelelezi,mkuu wa polisi wote wamewekwa ndani. Wadogo zake wawili ndani, account za fedha bank zote zimekua frozen pia mzee elbashir wako mbioni kumfungulia kesi ya money laundering. Basi nikakumbuka ya nyumbani kwetu Tanzania nikajiambia moyoni ipo siku yaja,,,.
Nilikua nasoma aljazeera kwamba speaker wa Bunge,mwenyekiti na katibu mkuu wa chama chake,aliyekua naibu raisi,mkuu wa shirika la upelelezi,mkuu wa polisi wote wamewekwa ndani. Wadogo zake wawili ndani, account za fedha bank zote zimekua frozen pia mzee elbashir wako mbioni kumfungulia kesi ya money laundering. Basi nikakumbuka ya nyumbani kwetu Tanzania nikajiambia moyoni ipo siku yaja,,,.
Wapinzani mwenyewe akina mbowe?Tatizo la tz ni moja, sio rais, ni ccm tu, siku wananchi wakiamka, ccm wote ndani, kwa vile walivyo kuwa wakusukuma wapinzani ndani.. Ccm lazima ikubali kuachia madaraka kwa wapinzani wao, tumechoka na agenda zao za kikonist
Shetani weweMku ndio atuepushe kwani Katibu wangu analiona kumbuka wapinzani hawashiriki uchaguzi wowote wa marudio kuna la kujiuliza tukiwa kama watanzania.
Chama cha siasa ni uchaguzi bila ya Uchaguzi hapa ni shida.
Chama changu ccm na viongozi wetu wastafu waliangalie hili na wakumbuke chuki ni kubwa imejengeka ndani ya Mioyo ya hawa wenye Itikadi zao na wakumbuke Itikadi inaishi Mioyoni mwa watu na kama inaishi mioyoni hawa hawa viongozi wanategemea nini?
Zaidi ya kuzalisha matizo ambayo anaweza kuleta historia mbaya ktk Nchi hii yenye utamaduni wa kuheshimiana.
Wapinzani waheshimiwe kama vyama vya siasa kwani nao ni Watanzania kwani wanastahili hilo sio kwa kuonewa huruma kwa kuwa wanahaki na Nchi yao
Yeye ameliona.Mku ndio atuepushe kwani Katibu wangu analiona kumbuka wapinzani hawashiriki uchaguzi wowote wa marudio kuna la kujiuliza tukiwa kama watanzania.
Chama cha siasa ni uchaguzi bila ya Uchaguzi hapa ni shida.
Chama changu ccm na viongozi wetu wastafu waliangalie hili na wakumbuke chuki ni kubwa imejengeka ndani ya Mioyo ya hawa wenye Itikadi zao na wakumbuke Itikadi inaishi Mioyoni mwa watu na kama inaishi mioyoni hawa hawa viongozi wanategemea nini?
Zaidi ya kuzalisha matizo ambayo anaweza kuleta historia mbaya ktk Nchi hii yenye utamaduni wa kuheshimiana.
Wapinzani waheshimiwe kama vyama vya siasa kwani nao ni Watanzania kwani wanastahili hilo sio kwa kuonewa huruma kwa kuwa wanahaki na Nchi yao
Wapinzani mwenyewe akina mbowe?
Bila upinzani imara huwezi kuitoa taasisi kama CCM madarakani.Swali lako lipo kidharau sana. Hata kama kisiasa hana nguvu au ana mfuasi mmoja hakuna ulazima wa kuonyesha dharau. Unadhani nchi zinazopatwa na machafuko uongozi ni mbaya sana au upinzani ni imara sana? Ni vichuki chuki tu vinapandikizwa kihaba na haba mwishowe kinajaza kibaba.