Dakika za mwisho Al-Bashir amebaki peke yake

Dakika za mwisho Al-Bashir amebaki peke yake

IMEKUWA AGENDA YA UKAWA... NI KURUKIA MAMBO HASI TU....... Poleni Ukawa na Chadema.
 
CDF wa Mgabe aliyekuwa swahiba wake wa muda mrefu aliyewahi kuwa makamu wake wa rais, Emmason Mnangagwa ndiye huyo ilifika mahali alimchoka Mugabe akaungana na wananchi na vilio vyao. Kwa Pmoja wakamuweka Mugabe kizuizini hadi wakamtia adabu.
Ikumbukwe Jeshini CDF ni kiongozi tu lakini wamo makamanda wengi wenye nguvu na ujanja kuliko CDF, Kiasi kwamba hawa wakiamua jambo CDF hawezi kupinga. Kwahiyo Jiwe asiweke matumaini sana kwa Mabeyo ataumbuka siku moja.
Kwa namna ilivyotokea Zimbabwe, Libya na Sudan ni mambo ambayo hayakutegemewa na wanaomsujudu mtu bila kuangalia maslahi ya wananchi wanaoishi kwa madhila na ufukara wa kutisha.Hata huku Tanzania bado kuna wanao muabudu mtu/kigenge cha watu na kuwafanya vimiungu watu.Muda huongea kwa sauti kubwa.
 
haki huendana na wajibu ukitaka haki timiza wajibu wako.
 
Nilikua nasoma aljazeera kwamba speaker wa Bunge,mwenyekiti na katibu mkuu wa chama chake,aliyekua naibu raisi,mkuu wa shirika la upelelezi,mkuu wa polisi wote wamewekwa ndani. Wadogo zake wawili ndani, account za fedha bank zote zimekua frozen pia mzee elbashir wako mbioni kumfungulia kesi ya money laundering. Basi nikakumbuka ya nyumbani kwetu Tanzania nikajiambia moyoni ipo siku yaja,,,.
Tuombeane Sana mungu.wasiwasahau hata mmoja waliowatesa binadamu wenzao kama Dunia ni yakwao hata wabunge wote waliokuwa wanamsifia wakamatwe.hata mwenyekiti wa kitongoji sukumia ndani.kwa sababu hiyo sukumia ndani walianzisha wao
 
Sina matatizo wala ubongo mdogo ,wewe ukiwa kama mwana ccm lazima utetee Serikali na chama chako hata kama kuna mabaya ambayo yanafanyika chini ya huu utawala. Sio kila mpinzani wa Serikali ni chadema kwani wengine hatufurahishwi jinsi haki za raia na democrasia inavyominywa kwa maslahi ya chama au mtu mmoja.
Yaani wewe una matatizo makubwa sana na wenzako. Kwa ufupi dunia hii inaongozwa na system, na Bashir lazima kuna sehemu hakufuata ushauri wa wataalamu akazidiwa kete, pamoja na kuwa CCM haisapoti na haina na haijawahi kuwa na udikiteta kama wa Mbowe au Mh. Lipumba basi tunaamini demokrasia Sudan itatamalaki ingawa mabeberu huu pia ni muda wao kulipiza visasi, na hata wa south Sudan aliowaua kwa kutumia janja weed nao lazima waingie kazini, yaani hizi siasa is too complicated, ila ukiwa na ubongo mdogo unaweza kuibeza Tanzania na demokrasia yetu ukidhani ya Sudan ni mazuri zaidi
 
Huwa viongozi wengi hasa Africa hawajifunzi. Omari Ali Bashiri kwa sasa yuko pekee yake, ni kama hakuwahi kuwa na wapambe ingawa ukweli ni kwamba alikuwa na Wapambe wengi mno. Je wako wapi kwa sasa? mbona yuko pekee?

Mugabe Pia alikuwa mmoja ya Viongozi walio kuwa na wapambe hasa kutoka Chama chake cha ZANU-PF ila Dakika za mwisho alijikuta yuko pekee bila wale wapambe wake.

Kuna mifano mingi sana lakini JE HAWA WAPAMBE HUWA WANA POTELEA WAPI?

WAPAMBE WAPAKA MAFUTA VIONGOZI WAO HUWA WANAPOTELEA WAPU PINDI MISUKO SUKO INAPO ANZA KWA KIONGOZI WAO?
 
Subiri 2020 uone wapambe wa huyu wa kwetu watakakopotelea, sababu hakika ni kwamba watapotea.
 
Huwa viongozi wengi hasa Africa hawajifunzi. Omari Ali Bashiri kwa sasa yuko pekee yake, ni kama hakuwahi kuwa na wapambe ingawa ukweli ni kwamba alikuwa na Wapambe wengi mno. Je wako wapi kwa sasa? mbona yuko pekee?

Mugabe Pia alikuwa mmoja ya Viongozi walio kuwa na wapambe hasa kutoka Chama chake cha ZANU-PF ila Dakika za mwisho alijikuta yuko pekee bila wale wapambe wake.

Kuna mifano mingi sana lakini JE HAWA WAPAMBE HUWA WANA POTELEA WAPI?

WAPAMBE WAPAKA MAFUTA VIONGOZI WAO HUWA WANAPOTELEA WAPU PINDI MISUKO SUKO INAPO ANZA KWA KIONGOZI WAO?
Hulka ya mwanadamu msaka tonge anashadadia kinachompa kula na ana kuwa mwepesi kuusoma mchezo kwahiyo kubadilika badilika ni kawaida
 
Wanakula vpondo
Kuna mmoja alichomolewa kajificha mtaroni pia

Ova
 
Mungu anampenda Magufuli, amempa nafasi ya kujifunza kwa mwenzake, akikengeuka atakwenda na maji muda si mrefu
Naunga mkono hoja. Ila magufuli ameamua kuwa mfalme mzee mpumbavu asiyesikia maonyo.
 
Nilikua nasoma aljazeera kwamba speaker wa Bunge,mwenyekiti na katibu mkuu wa chama chake,aliyekua naibu raisi,mkuu wa shirika la upelelezi,mkuu wa polisi wote wamewekwa ndani. Wadogo zake wawili ndani, account za fedha bank zote zimekua frozen pia mzee elbashir wako mbioni kumfungulia kesi ya money laundering. Basi nikakumbuka ya nyumbani kwetu Tanzania nikajiambia moyoni ipo siku yaja,,,.
Safi sana!
 
Back
Top Bottom