Dakika za mwisho Al-Bashir amebaki peke yake

Dakika za mwisho Al-Bashir amebaki peke yake

@The golden, Albashir hayuko pekeyake, ni swala la muda tu, Makamanda wakisha idhibiti hali atakwenda kupumzika uhamishoni.Wengine wata tolewa kafala ila Albashir ataendelea kupeta
HAYA NDO MANENO YA SHETANI YANAYOMFARIJI MZEE WA CHATTLE NA WAFUASI WAKE WA LUCIFER
 
SIKU HII NCHI IKIWEKWA MAHALA PANAPOSTAHILI NAOMBA NIPEWE NAFASI NIM'BAMIZE NDOO MOJA TU HUYU CHAMBER YA SEPTIC TANK YAANI HUYU MPUUZI ANA ROHO MBAYA KULIKO HATA YA SHETANI NIKIKUMBUKA ALIVYOSHIKA UWAZIRI WA POLISI NILITAMANI SHETANI AKAIMU KULIKO HUYU FEDHULI MWANA IZAYA
 
Na kweli inakuja.
Nilikua nasoma aljazeera kwamba speaker wa Bunge,mwenyekiti na katibu mkuu wa chama chake,aliyekua naibu raisi,mkuu wa shirika la upelelezi,mkuu wa polisi wote wamewekwa ndani. Wadogo zake wawili ndani, account za fedha bank zote zimekua frozen pia mzee elbashir wako mbioni kumfungulia kesi ya money laundering. Basi nikakumbuka ya nyumbani kwetu Tanzania nikajiambia moyoni ipo siku yaja,,,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wale askari aliokuwa anawatuma kuteka watu wamemkimbia ! madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana !
 
Back
Top Bottom