Haaaa haaaa,madaraka Mkuu.Bashir ni jinga sana,yaani hakusoma hata alama kwamba mda wake umeisha akasepa?,jitu jinga sana
Shetani wewe
Sio wa kubeza ndio maana sheria zinatungwa nyingi juu yake lakini bado amesimama naye ktk yote magumu anayoyapitia.Swali lako lipo kidharau sana. Hata kama kisiasa hana nguvu au ana mfuasi mmoja hakuna ulazima wa kuonyesha dharau. Unadhani nchi zinazopatwa na machafuko uongozi ni mbaya sana au upinzani ni imara sana? Ni vichuki chuki tu vinapandikizwa kihaba na haba mwishowe kinajaza kibaba.
Yaani wewe una matatizo makubwa sana na wenzako. Kwa ufupi dunia hii inaongozwa na system, na Bashir lazima kuna sehemu hakufuata ushauri wa wataalamu akazidiwa kete, pamoja na kuwa CCM haisapoti na haina na haijawahi kuwa na udikiteta kama wa Mbowe au Mh. Lipumba basi tunaamini demokrasia Sudan itatamalaki ingawa mabeberu huu pia ni muda wao kulipiza visasi, na hata wa south Sudan aliowaua kwa kutumia janja weed nao lazima waingie kazini, yaani hizi siasa is too complicated, ila ukiwa na ubongo mdogo unaweza kuibeza Tanzania na demokrasia yetu ukidhani ya Sudan ni mazuri zaidi
IMEKUWA AGENDA YA UKAWA... NI KURUKIA MAMBO HASI TU....... Poleni Ukawa na Chadema.
Kwa namna ilivyotokea Zimbabwe, Libya na Sudan ni mambo ambayo hayakutegemewa na wanaomsujudu mtu bila kuangalia maslahi ya wananchi wanaoishi kwa madhila na ufukara wa kutisha.Hata huku Tanzania bado kuna wanao muabudu mtu/kigenge cha watu na kuwafanya vimiungu watu.Muda huongea kwa sauti kubwa.
Mzee wewe una shida.Na hiyo siku sidhani kama iko mbali ingawa vipofu wamejiaminisha tofauti, wanaamini wanaweza kuzuia tsunami kwa mikono.
Wewe ndiye unayemtukana kwa kutumia mgongo wa Kubenea na Halima, huna adabu kabisa kwa Rais wetu.Ngoja nisubiri BAVICHA wakiunga uzi hoja kwa kumtukana rais wetu cjui humu kumejazwa Akina Kubenea,Halima nk
Yeye hana shida. Muda ndiyo muamuzi.Mzee wewe una shida.
Basi atulie. Muda ujeYeye hana shida. Muda ndiyo muamuzi.
Sasa hata kama anauliza bei ya betri ya saa yenye kuonesha muda atoe ishara kama bubu?Basi atulie. Muda uje
Kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Nimemuona aliyekuwa akiabudiwa kama Mungu hana tena la kufanya zaidi tu ya kuwa mpole kama hua.
Wapambe wake wote hawapo tena. Wapiga vigelele na mapambio wote wametimua mbio. Al-bashir yuko peke yake hana tena Yale madaraka . Leo anaweza kuwa mfungwa kama wafungwa wengine.
Tunaposherekea sikukuu hii ya pasaka naomba tukio hili la Al-bashir liwe funzo kwetu. Tuishi maisha ya kutenda haki. Madaraka hutoweka kama kivuli ndipo nyakati za aibu na mateso hutamalaki.
...aione dab na mzazi wake!Kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Nimemuona aliyekuwa akiabudiwa kama Mungu hana tena la kufanya zaidi tu ya kuwa mpole kama hua.
Wapambe wake wote hawapo tena. Wapiga vigelele na mapambio wote wametimua mbio. Al-bashir yuko peke yake hana tena Yale madaraka . Leo anaweza kuwa mfungwa kama wafungwa wengine.
Tunaposherekea sikukuu hii ya pasaka naomba tukio hili la Al-bashir liwe funzo kwetu. Tuishi maisha ya kutenda haki. Madaraka hutoweka kama kivuli ndipo nyakati za aibu na mateso hutamalaki.
Usiamini huyu mtu anaongea kusaka tonge hamaanishiNaanza kutafakari maonyo aliyo toa ktb mkuu wetu Al Bushiru kuonya chama je ameona nini mbele
Ni kweli hawa watu ni kuwa nao makini sana.Usiamini huyu mtu anaongea kusaka tonge hamaanishi