Dakika za mwisho Al-Bashir amebaki peke yake

Dakika za mwisho Al-Bashir amebaki peke yake

Ninachoipendea AFRICA yangu ni kimoja tu.

Hatutamaliza hata miaka miwili utashangaa maandamano tena, aliyepo anaboronga, wakati huo bashir yuko sehem salama anacheka kwa dharau.
 
Sidhani kama Jiwe & Co. Ltd ataachwa hivi hivi kwa watu waliopotea/waliouawa/walioteswa kwa mkono wake na washirika wake! Miaka nenda miaka rudi, one will have to pay a price!
Stone & co ltd anaweza kuacha ila Naibu wake sina hata chembe ya shamba
 
Nilikua nasoma aljazeera kwamba speaker wa Bunge,mwenyekiti na katibu mkuu wa chama chake,aliyekua naibu raisi,mkuu wa shirika la upelelezi,mkuu wa polisi wote wamewekwa ndani. Wadogo zake wawili ndani, account za fedha bank zote zimekua frozen pia mzee elbashir wako mbioni kumfungulia kesi ya money laundering. Basi nikakumbuka ya nyumbani kwetu Tanzania nikajiambia moyoni ipo siku yaja,,,.
Imani huponya,endelea kua na imani
 
Somo la Sudan kwa Bashiri, wenye masikio na wasikie.Ole wenu wanafiki cccm mnaruhusu udikiteta kutamalaki.Kadhibiti chama, bunge, mahakama pia ipo mifano mingi!Ipo siku yaja sisi wananchi tutasema inatosha!!!
 
Upinzani Imara unatakiwa uweje?
Nilidhan ungesema bila uwepo wa tume Huru, hebu nambie wewe 7000 , kule Zanzibar nako kulitaji upinzani Imara mpka mkaamua kurudia uchaguzi?
Wewe boga nini? Unafikiri kila mtu ni shabiki wa siasa kama wewe? Chadema ni chama cha siasa Bali ni saccos ya kukopeshana magari.
 
Wewe boga nini? Unafikiri kila mtu ni shabiki wa siasa kama wewe? Chadema ni chama cha siasa Bali ni saccos ya kukopeshana magari.
Ahsante,
Sawa,
Kweli imani inazidi ukweli.
Nakusikitikia kuwa utakufa akili ikiwa bado BIKIRA
 
Nilikua nasoma aljazeera kwamba speaker wa Bunge,mwenyekiti na katibu mkuu wa chama chake,aliyekua naibu raisi,mkuu wa shirika la upelelezi,mkuu wa polisi wote wamewekwa ndani. Wadogo zake wawili ndani, account za fedha bank zote zimekua frozen pia mzee elbashir wako mbioni kumfungulia kesi ya money laundering. Basi nikakumbuka ya nyumbani kwetu Tanzania nikajiambia moyoni ipo siku yaja,,,.
Yaani wewe una matatizo makubwa sana na wenzako. Kwa ufupi dunia hii inaongozwa na system, na Bashir lazima kuna sehemu hakufuata ushauri wa wataalamu akazidiwa kete, pamoja na kuwa CCM haisapoti na haina na haijawahi kuwa na udikiteta kama wa Mbowe au Mh. Lipumba basi tunaamini demokrasia Sudan itatamalaki ingawa mabeberu huu pia ni muda wao kulipiza visasi, na hata wa south Sudan aliowaua kwa kutumia janja weed nao lazima waingie kazini, yaani hizi siasa is too complicated, ila ukiwa na ubongo mdogo unaweza kuibeza Tanzania na demokrasia yetu ukidhani ya Sudan ni mazuri zaidi
 
Kwa hiyo unadhani Al-bashir hakuwa na system?
Mambo yakifika ukomo hakuna cha system wala nini. Hao wana system wako wapi sasa hivi? Kwa nini wasimsaidie boss wao?
 
Bila upinzani imara huwezi kuitoa taasisi kama CCM madarakani.
Ni kweli. Pia machafuko ni Mara chache yanaletwa na upinzani, Mara nyingi ni chuki/hasira ya Jamii juu ya uongozi zinazozuilika lakini zinaachwa na zinalimbikizwa na kupuuzwa na watawala. Kidogo kidogo hadi inaleta shida.
 
Kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.

Nimemuona aliyekuwa akiabudiwa kama Mungu hana tena la kufanya zaidi tu ya kuwa mpole kama hua.

Wapambe wake wote hawapo tena. Wapiga vigelele na mapambio wote wametimua mbio. Al-bashir yuko peke yake hana tena Yale madaraka . Leo anaweza kuwa mfungwa kama wafungwa wengine.

Tunaposherekea sikukuu hii ya pasaka naomba tukio hili la Al-bashir liwe funzo kwetu. Tuishi maisha ya kutenda haki. Madaraka hutoweka kama kivuli ndipo nyakati za aibu na mateso hutamalaki.
Bado wengine tunawacheki tu !
 
Bila upinzani imara huwezi kuitoa taasisi kama CCM madarakani.
Wala sio kweli, ccm ni chama dhaifu mno. Iondolewe hii tume yao uone kama hawajapigwa chini hata na akina Davutwa au Rungwe.
 
Wala sio kweli, ccm ni chama dhaifu mno. Iondolewe hii tume yao uone kama hawajapigwa chini hata na akina Davutwa au Rungwe.
Sasa kwa dunia hii unafikiri kuna utawala huwa unakubari kirahisi rahisi kutoka madarakani?
 
Uo ndo uimara wa CCM hata akina mbowe wakipata madaraka watafanya kama CCM wanavyofanya maana washaanza kukopeshana magari ya chama.
Wala sio kweli, ccm ni chama dhaifu mno. Iondolewe hii tume yao uone kama hawajapigwa chini hata na akina Davutwa au Rungwe.
 
Kuna somo kubwa ndani yake kwa wote wenye akili.....
 
Ajenda yetu ni kujenga nyumba za Maaskari, msitutoe kwenye lengo.
 
Na waendelee kukaza shingo tu.Mkuu wa majeshi amemgeuka Al-Bashir utadhani siyo yeye.Mjifunze kuwa watu wa haki na kiasi.
CDF wa Mgabe aliyekuwa swahiba wake wa muda mrefu aliyewahi kuwa makamu wake wa rais, Emmason Mnangagwa ndiye huyo ilifika mahali alimchoka Mugabe akaungana na wananchi na vilio vyao. Kwa Pmoja wakamuweka Mugabe kizuizini hadi wakamtia adabu.

Ikumbukwe Jeshini CDF ni kiongozi tu lakini wamo makamanda wengi wenye nguvu na ujanja kuliko CDF, Kiasi kwamba hawa wakiamua jambo CDF hawezi kupinga. Kwahiyo Jiwe asiweke matumaini sana kwa Mabeyo ataumbuka siku moja.
 
Back
Top Bottom