Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Huo utoto uliofanya ndio somo lenyewe, mapenzi ni kama siasa tu. Tumia vyema akili yako ukiwa penzini.
 
😆
Wanaume bwana hizi ngonjera zenu tumeshazizoea kwani wanawake wangapi wanafanya hayo mazuri yote uliyoyataja tena na zaidi lakini bado wanaachwa? Wanaume mnatofautiana vitu mnavyovipenda kutoka kwa wanawake wewe kama unapenda mwanamke awe hivyo ni wewe

Usiwalazimishe na wengine wawe kama wewe kila mtu anajua anachokitaka wengine tulishakutana na wanaume ambao wanatulazimisha kabisa kutupa hela hata kama hatuwaombi wewe upo hapo unalalamika mwanamke kukuomba hela aise kweli duniani kuna wanaume na kuna watu wenye jinsia ya kiume
😆😆😆😆😆 ilikuwa wapi huko, New Delhi au Mumbai?
 
Hayo unayoyasema ni wanaume tu ndo wanatakiwa wawafanyie wanawake au na wanawake nao wanatakiwa kuwafanyia wanaume?
Hahah nasubiri ajibu maana mie nadhani huo ni utoto wa kiwango cha kindergarten gauge. Ukinifanyia huo upuuzi ukanipush to the limits ujue umenikosa, huwa sidhiakiwi unless iwe very sensitive issue.
 
Habari wakuu
Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]
SITOMWAMINI MWANAMKE TENA
Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.
Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.
Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.
Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.
Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.
Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!
Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!
Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.
Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri
cc: joanah
We Jamaa ni BOYA.....

PERIOD.

WACHA ULIZWE TUUHH
 
Hawaga hela, hio ndio alama kuu kwa hio usjitie upofu. Ndio wanajipanga kimaisha.
Hivi wanaume ambao siyo mabrazamen ndo wote wana mapenzi ya kweli? Na hao wenye mapenzi ya kweli huwa wanakuwa na alama gani mwilini ili tuweze kuwatambua kirahisi na tuwakubalie hao?
 
Hakuna cha adhabu hiyo sio...
Lengo la adhabu mtu aumie na imfanye ajutie makosa yake plus kujiapiza kuwa hatorudia tena kwa hiyo ukipewa adhabu unapewa ile yenyewe kabisa [emoji3][emoji3][emoji3] sasa unaililiaje wakati huo tumenuniana hatuna mawasiliano?
hahahahahah boya ww 😂😂😂😂😂
 
Habari wakuu

Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]

SITOMWAMINI MWANAMKE TENA

Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.

Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.

Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.

Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.

Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.

Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!

Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!

Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.

Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri

cc: joanah
Acha kulia lia. Kamata mdogo wake (kama ni wa kike) tafuna na tangaza ndoa kabisa..! Kama mbwai na iwe mbwai
 
Sasa hii biashara ya kitoto namna hii ni ya nini mkuu? Hii tabia yaki form 2 kabisa.

I dont think any grownass lady anaejiamini can keep up with all these mind games ese.
Kwenye mapenzi kuna kupishana, thats acceptable..kuanza kumjaribu jaribu mtu mzima kwa case za kijinga namna hii hapana, i strictly recommend you to stick with Secondary school students.

Hawa wa 25 and above tuachie gentlemen tukick out nao. They complement us well😀
hahaha 😂 😂 😂 asie na uvumilivu anaonekana tu....Huwa kuna kukosea unaweza mpa dose ya mtu mzima mtoto so unapohisi imemzidi nguvu unambadilishia dose.

sasa ikitokea nimeona huyu nmemkazia sana..najishusha chini si nlikwambia WE ARE DONE kwakua siku namaanisha Ntakurudia kukwambia nimekusamehe (ile kubali yako ya msamaha tu) itanipa jibu.

Muigizaji : Atakwambia achana nae si ulishanikataa ngoja nikufkrie yani ataanza Pozi

Real one : Kitendo cha kumwambia nimekusamehe,anaweza pokea msamaha kwa machozi asiamini alichoskia maana alishaamini amekupoteza sasa kitendo cha kumrudia na kumwambia vile utakua umemsha shangwe Moja hatari.

so utaona tu respond yao...ila unaweza kutana na muigizaji halafu ukamrudia akakukubalia mrudiane ila unamuona huyu ana vichembe chembe flani vya u bongo movie so Una mpa tena ki quiz..trust me Hamna bongo movie atae weza hii VITA lazima atajieka kushoto😂😂😂
 
Si ushukuru umeambulia hata kula papuchi kuna wengine wanahonga hata busu hawalambi..
 
Aaah tafadhali bwana wee kama hamtaki kuombwa basi muwe mnajiongeza. Yaani wewe umemuita mtoto wa watu toka Tabata hadi Tegeta unamkula halafu unamsindikiza stendi bila hata nauli??? Acha tu nipigwe X siwezi kamwe kukopa nauli nije kupigwa pu.mbu, kama ninayo ya kwangu nitakuja ila kama sina kamwe nasema kamwe siwezi kukopa. Naweza nisikupe sababu ya 'sina nauli' nikakupa sababu nyingine tu ya karibu. Hebu kuweni na huruma ninyi watu.
Huyo muuaji kabisa, hafai yani hata nauli jamani?😅😅😅
 
Sasa hii biashara ya kitoto namna hii ni ya nini mkuu? Hii tabia yaki form 2 kabisa.

I dont think any grownass lady anaejiamini can keep up with all these mind games ese.
Kwenye mapenzi kuna kupishana, thats acceptable..kuanza kumjaribu jaribu mtu mzima kwa case za kijinga namna hii hapana, i strictly recommend you to stick with Secondary school students.

Hawa wa 25 and above tuachie gentlemen tukick out nao. They complement us well😀
sio mbaya pia mkuu,kila mtu ana rules za maisha yake na jinsi anavyoyapeleka kitu unachoweza ona cha kitoto kwa mwingine kwa mwenzako kina sense zaidi.

Tumetofautiana sana..huwezi kua sawa na mimi kwenye kila kitu Move on na aina ya principal ulizojiwekea same to me...secondary schools pia sio wabaya sijawahitaji 2 ila kama nikiwahitaji ntawatafuta pia.

Gentlemen ni wewe...mi bado sana so niache kdg mkuu 😀 😀 🤫
 
All said and done!!!😅 Enjoy life..
 
Ndo na mimi namshangaa maana ninavyojua wanaume wengi akili zenu zilivyo huwa hamjaribiwi kwenye mapenzi
Hahah nasubiri ajibu maana mie nadhani huo ni utoto wa kiwango cha kindergarten gauge. Ukinifanyia huo upuuzi ukanipush to the limits ujue umenikosa, huwa sidhiakiwi unless iwe very sensitive issue.
 
Hapo hauwezi kunidanganya kwa sababu nilishawahi kuwa na mwanaume masikini na bado alikuwa mhuni na alinitenda na pia nilishawahi kuwa na mwanaume tajiri na bado alikuwa mpole na alinipenda
Hawaga hela, hio ndio alama kuu kwa hio usjitie upofu. Ndio wanajipanga kimaisha.
 
Mkuu umetuangusha sana.. ukimnunulia demu mavitu hayo baki na risiti mwamba. Anapozingua unaenda kubeba mizigo yako huku umekula tinted ya nguvu sana machoni,hamna kumuonea
Mtaan dem alipangishiwa chumba na vitu, baadae akaja mzingua mshikaji ,jmaa alienda beba vitu vyote ghetto, dem kakimbilia police,jamaa kafatwa kwenda police, akaonesha vitu risiti tu ya vitu vyote na kesi ikaisha hpo, dem karud kwao ht mtaan kashindwa kukaa tena, aibu, ndio dawa yao hawa wapuuzi baadhi,
 
Back
Top Bottom