Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Jaman hivi wanaume kama nyie ambao mnahudumia ukweni mpka mnatoa 1m ya biashara mnapatikana wapi?

Maana kwangu hizi ni stry kama za abunuasi au mimi ndio nina gundu?
 
Tupo. Ila mnavyojiweka tunaogopa. Kwann? Sabab hatawenye nia aki approach rejection zinakuwa nyingi ..hasikilizwi.. lakin wakija ma braza men basi wanakubaliwa instantly. Mkizinguliwa mnarudi.

Kenzi sikwambii umkubalie kila mwanaume. Ila mwenye nia umuangalie kwa jicho lingine?
Jaman hivi wanaume kama nyie ambao mnahudumia ukweni mpka mnatoa 1m ya biashara mnapatikana wapi?

Maana kwangu hizi ni stry kama za abunuasi au mimi ndio nina gundu?
 
Yani mpk wizkid kaimba no money no love kwa hii Africa.
Madada wa siku hizi ni watu wa ku take advantage then mnajua kuigiza kinyamaaa mtatambaa hadi na ulimi ili wanaume wawaamini then mkifanikisha yenu mnasepa.
Sikatai ndio kwanza nina 24 years lakini masahib yalionikuta niki date na. masista zangu nyie hususan wa kibongo!!!
Sitakuja kuyasahau yani bado kidogo yafananie na kaka angu mpendwa hapo juu.
Nakumbuka ushenzi wa mwisho wa mpuuzi mmoja wa kipare.
Eti alinidanganya kalazwa ICU saa nne hapo eti kapata ajali ya Pikipiki. nikatuma hela ya mboga tu anyway 200,000 then saa kumi naenda hospital waliposema kalazwa nikamwone naambiwa mgonjwa huyo alikuwepo ila alishatibiwa na kuondoka na alichunika mkono tu wala hakulazwa.
Unaona ujinga mnaotufanyiaga?!!!
kingine bhana baba alizoea kunambia ukiwa na mkeo yeyote yule kapime DNA
Maana hawa wanawake ndio wanaojua kama watoto hao ni wa ndani au wa nje ya ndoa.
Unaweza ukalea toto kumbe la muuza chipsi huko.
Asee punguzeni hizi vitu madada mmezidi aiseee.
WITO WA MAKAKA NA MABABA ZANGU WA HIARI HUMU NDANI.
UKITAKA MKE BHANA NENDA UGHAIBUNI VUKA MIPAKA NENDA HUKOO HAWA WAPARE,WARANGI,WANYATURU,WACHAGA WATAWAUA.
TENA NAHISI ALIYENIUMIZIA KAKA ANGU JONAH KAMA SIO MCHAGA BASI MPARE AISEE
Mpare alinigaragazo broo. Japo sisem kuwa wapare wote ni wabaya. Ila mostly alinifanya kitu mbaya.. mpaka leo nawaona wanawake kwa njia ya tofauti sana. Anyway wema wapo as always. Sio wote ni wabaya.
 
Unatengeneza circle ya visasi. However siamin kama binadam wote ni wabaya. utalipiza kwa mwema.. na ww utakutana na muhuni zaid yako atakugaragaza vibaya. Utarudi pale pale unaanza square one. Utakuwa umefanya nn?
Are moving forward au bado uko pale pale ?
Think twice
Ndo muone uchungu unavokuaga,mmezoea kuwaumiza wanawake na kujiona wajanja. Binafsi nikikuta mwanaume aliyetendwa Sina huruma nae ht kidogo.
 
Hahhahaahahhahahahahaahhahahahhahaah mkuu pole sana yani km vile image yanijia kichwan jinsi alivyokudanya
Mpare alinigaragazo broo. Japo sisem kuwa wapare wote ni wabaya. Ila mostly alinifanya kitu mbaya.. mpaka leo nawaona wanawake kwa njia ya tofauti sana. Anyway wema wapo as always. Sio wote ni wabaya.
Hahahahaha
 
Ni sawa ila kwenye ishu ya braza meni sipo kbsaa... yaan hii ishu kwangu ni kama stry.. kwangu haijawah tokea. Kwanza ukikutana na bby anaanza kukuelezea jnc ambavyo hela haitoshi akimaliza hapo huwez hta kuomba usaidiwe kitu. Sasa najiuliza wenzangu wanafanyaje?
Tupo. Ila mnavyojiweka tunaogopa. Kwann? Sabab hatawenye nia aki approach rejection zinakuwa nyingi ..hasikilizwi.. lakin wakija ma braza men basi wanakubaliwa instantly. Mkizinguliwa mnarudi.

Kenzi sikwambii umkubalie kila mwanaume. Ila mwenye nia umuangalie kwa jicho lingine?
 
Pole sana kaoge maji ya bahari Mammyy pengine gundu.
Lakini watu hawafanani.
Everyone has his/her lucky or fortune my dear.
Pengine bahati yako sio kama za wenzako mama angu

Duh hapo hiyo andiko lenu mamaa hatari.
Ila kiufupi kwa upande wetu wa pili tumehusiwa tufanyiane wema na kupendana kwa dhati baina ya mke na. Mume na kupeana haki zetu kama inavyotakikanika baina yetu mke na mume .
Nahisi hiv itakua bomba zaidi mama angu.
Maana mme ampende mke na mke amtii mume inamaana mke asimpende mume jamanu?!!!
Ndiyo mke asimpende mume si ndivyo mnavyomaanisha wanaume au? Halafu mbona kuna mwislam mmoja swala tano aliniambia hata kwenye quran mke hajaambiwa ampende mume bali kaambiwa amheshimu?
 
Hawa wanawake kula papuchi tu usiwape moyo wako wote jipende wewe kuliko chochote kile wengine wametoa nyumba na wajalalamika mwingine alitaka kuonga nchi waka mtime ipende familia yako inatosha pumbavu
Hahahaaaaa Mkuu kwa kusema hivyo utakuwa unawaonea sana wanawake wanaotambua THAMANI ya uanamke wao.Kwa ushauri wako huu maana yake unataka na hao wanawake wachache wanaojitambua waharibikiwe kwa kujeruhiwa nafsi zao kama kundi la upande mwingine.Binafsi huwa naamini tabia hujengwa na huweza kubomolewa pia.Tafsiri yake ni kwamba kuna Wajenga tabia njema kwa wenzao na wabomoaji pia.Sasa kimbembe ukutane na aliyekuwa "mwema" halafu akamkabidhi mtu moyo wake kisha aliyekabidhiwa akaujeruhi moyo huo yaani hapo inahitaji DAMU ya Yesu tu kuutibu Moyo wa namna hii.Tiba nyingine zitakuwa temporary tu.Hamna namna...!
 
Hao ndio masheikh uchwara mama angu aisee kakuongopea.
Haijui vema kuran mama angu huyo.
Ndiyo mke asimpende mume si ndivyo mnavyomaanisha wanaume au? Halafu mbona kuna mwislam mmoja swala tano aliniambia hata kwenye quran mke hajaambiwa ampende mume bali kaambiwa amheshimu?
 
Hii thread bila shaka itakua ni ya mwanajamaii forum wa Zamani. Vilio kama hivi kwa wanaume vilikua kuanzia miaka ya 2015 kurudi nyuma. Unanitisha kuona kuwa bado kuna wanaume kama mimi wanaolilia na kuji sacrifice kwa wanawake.
 
Tupo. Ila mnavyojiweka tunaogopa. Kwann? Sabab hatawenye nia aki approach rejection zinakuwa nyingi ..hasikilizwi.. lakin wakija ma braza men basi wanakubaliwa instantly. Mkizinguliwa mnarudi.

Kenzi sikwambii umkubalie kila mwanaume. Ila mwenye nia umuangalie kwa jicho lingine?
Hivi wanaume ambao siyo mabrazamen ndo wote wana mapenzi ya kweli? Na hao wenye mapenzi ya kweli huwa wanakuwa na alama gani mwilini ili tuweze kuwatambua kirahisi na tuwakubalie hao?
 
Kwakwel.... ngoja nikaoge baharini. Ikishindikana ntatulia tu nisilazimishe bahati
Pole sana kaoge maji ya bahari Mammyy pengine gundu.
Lakini watu hawafanani.
Everyone has his/her lucky or fortune my dear.
Pengine bahati yako sio kama za wenzako mama angu
 
Hao ndio masheikh uchwara mama angu aisee kakuongopea.
Haijui vema kuran mama angu huyo.
Wewe umejuaje kama ni Sheikh? Na nitajuaje kama wewe ndo unayesema kweli na yule ndo alinidanganya?
 
Hivi wanaume ambao siyo mabrazamen ndo wote wana mapenzi ya kweli? Na hao wenye mapenzi ya kweli huwa wanakuwa na alama gani mwilini ili tuweze kuwatambua kirahisi na tuwakubalie hao?
Mbona kumjua mwenye mapenzi ya kweli ni rahisi saaaaana.Hahahahaaaa.X-ray machine yake ipo imetuliaaaa kweli
 
Anzakutoa sadaka hela zako zote kwa Mungu ndo hakuna wanawake utabalikiwa
 
Simple mbona. Angalia approach yake. Kuna viashiria kuanzia mwanzoni. Ilasasa huwa hamtazami.. umadatishwa na looks na swags.
Hivi wanaume ambao siyo mabrazamen ndo wote wana mapenzi ya kweli? Na hao wenye mapenzi ya kweli huwa wanakuwa na alama gani mwilini ili tuweze kuwatambua kirahisi na tuwakubalie hao?
 
Back
Top Bottom