Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Huwaga wakisha timiza wanachokitaka kwako ndo majibu yao
Lakin ndgu toka mwanzo ulishapewa dalili zote hata macho kuona na ufahamu kufunguka ulikosa.
Pole sana ndugu
Nikuambie tu ni sehemu ya maisha na pia ni darasa unapitia
Lakn sio chanzo cha kusema uchukie au umefeli. Jitahidi kwan na wewe siku moja utakuja kutusua
Shukran sana
 
Unaweza kuwa nao hata 10 huyo unayempenda kwa dhati ndiye anakutenda hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahaha. ukishtuka manyoya kudadeki. hii game haina mjanja. mara paap ushazungukwa. viini macho. tuwe na spare wanaume. kama tano. ukiwa na spare haupati shida.
 
Hukukosea kumuamini ila next time muogope kama ukoma mwanamke ambae hamjamaliza mwaka katika mahusiano lakini haoni shida kukwambia Vocha imeisha,shida hii mara shida ile mara hiki mara kile..Muogope na kaa nae kwa makini aina hiyo ya viumbe.

Mwanamke akikupenda from deep inside hutomuona akikuomba hata sent yako,yupo radhi umuite aanze kukaa kwa mawazo ila sio afungue mdomo wake kukwambia...yani wanawake wakiwa na wapenzi zao hawasemi kitu huwa wana kua kama watoto..MPAKA UMUULIZE "babe what's wrong with you,something isn't ok" atazuga yupo sawa UKIMKAZIA lazima atakwambia tena sio akwambie ili umpe hela au msaada atakupa ile taarifa kama taarifa akiwa hategemei anything from you.

ila ukiona kenge lako hujaliuliza kitu lenyewe lishakwambia,mzee tia X.hata kama ni kuja home kwako anaweza akawa hana nauli,ukimuita kamwe hatokwambia hana nauli utaona atavyo fight na atakuja TU kumbe nauli ukute kakopa,utakuja kugundua siku nyingine kabisa kua alikopa au baada ya kuskia anadaiwa na rafikia ake.

ila wale wanaokuchana "baby ningekuja ila nauli sina" mzeee tia X hamna mwanamke hapo....when a woman love hata huhitaji mtaalamu kugundua Utaona action zao hata kama dem kwao n maskini ila utapenda zile fighting zao...i love girls with true love achana na huyo Nguruwe.

Vuta kiti tulia mwezi au mwaka unaeza usiishe litarudi tena kukuomba msamaha...na ulivyonyweshaga limbwata UTAMSAMEHE....
Wanaume bwana hizi ngonjera zenu tumeshazizoea kwani wanawake wangapi wanafanya hayo mazuri yote uliyoyataja tena na zaidi lakini bado wanaachwa? Wanaume mnatofautiana vitu mnavyovipenda kutoka kwa wanawake wewe kama unapenda mwanamke awe hivyo ni wewe

Usiwalazimishe na wengine wawe kama wewe kila mtu anajua anachokitaka wengine tulishakutana na wanaume ambao wanatulazimisha kabisa kutupa hela hata kama hatuwaombi wewe upo hapo unalalamika mwanamke kukuomba hela aise kweli duniani kuna wanaume na kuna watu wenye jinsia ya kiume
 
my Formula: Ukitaka kujua mpenzi uliyenae ana kupenda au hakupendi..Try to Push her away from you" subiria kakosea siku moja usimsingizie KOSA hakikisha kweli kakosea...Mmaindi kinoma kinoma JITIE huelewi mbele wala nyuma yani unajua kabisa haka kakosa ni kakuongea yaishe ila hakikisha unakua MBOGO bin FARU then tell her we ARE DONE.

Asee akikubali mmalizane wala usipomuona anarudi kuomba samahani kila siku zinavyoenda we kaa ujue Huyo HAKUA WAKO muache aende hata kama ulikua una mjaribu.

Kama anakupenda SHE will try/do all possible alternatives kuhakikisha mna solve yanaisha..as how we did to them na mwanamke aliekupenda ki ukweli hawezi kukubali umuache simple just like that kwa kosa analoamini kweli amelifanya,lazima ashuke atafute hata watu wamuombee msamaha.

Ukionamwanamke anafanya hivyo MSAMEHE na ujue ni wako huyo,asipofanya akiwa ni type ile (siwezi lazimisha mapenzi) Muache aende.

Mapenzi/mahusiano yanataka MAJARIBU hakikisha una mjaribu Mpenzi wako..MUNGU mwenyewe anatujaribu sembuse sisi binadamu ndo tusijaribiane? mpaka umekidhi vigezo nikakuita MKE aseeee ntakua nimekupitisha kwenye majaribu MOTO MOTO.

ONYO :

usimjaribu mpenzi wako akashinda jaribu ulilompa ukajisahau kumsahaulisha na kumpa zawadi...mimi nikishatoaga TEST zangu akishinda huwa ni mwendo wa surprise...usikae ukajiachia ktk mahusiano as if huyo ulonae n dada ako mmezaliwa tumbo moja...darasani kuna mitihani sasa iweje wewe unakaa na mpezni wako mwaka mzima hujampa hata ka QUIZ mpe quiz moto moto akili ipashike na hakikisha akifaulu una mpa ZAWADI tena sio za midoli zawadi zawadi kweli.
Hayo unayoyasema ni wanaume tu ndo wanatakiwa wawafanyie wanawake au na wanawake nao wanatakiwa kuwafanyia wanaume?
 
Wanaume bwana hizi ngonjera zenu tumeshazizoea kwani wanawake wangapi wanafanya hayo mazuri yote uliyoyataja tena na zaidi lakini bado wanaachwa? Wanaume mnatofautiana vitu mnavyovipenda kutoka kwa wanawake wewe kama unapenda mwanamke awe hivyo ni wewe

Usiwalazimishe na wengine wawe kama wewe kila mtu anajua anachokitaka wengine tulishakutana na wanaume ambao wanatulazimisha kabisa kutupa hela hata kama hatuwaombi wewe upo hapo unalalamika mwanamke kukuomba hela aise kweli duniani kuna wanaume na kuna watu wenye jinsia ya kiume
unajua maana ya kulazimisha au neno lazimisha ni gumu tutumie Lugha nyepesi? Kulazimisha means "FORCE someone do something against his/her will"

Did i force anyone here? or you just want to show me u can quote my replies? Madam my Words ain't your rule/principal he may take or leave it.

Kuja niandikia insha kama hizi uache,unajua kuwa kuna wanaume na wenye jinsia ya kiume,right? so Then
 
Mengine yote niliyosema ni kweli na yamekuingia ndo maana umekazania hilo neno 'kulazimisha' nisingetumia hilo neno sijui ungeshikilia wapi

So then pass like a shadow
 
Back
Top Bottom