Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,979
- 127,423
[emoji23][emoji23][emoji23] ulaya panaweza kunirudisha uongo mbaya, ila mambo ya kupeana mitihani sio ishu. Wengine tuna mapenzi ya dhati ila hatuna uvumilivu uliopitiliza
yani ulaya ndio pakurudishe [emoji23] [emoji23] ...mpk upate hyo nafasi ujue jitoa sadaka kweli kweli maana sio kwa majaribu ntayokupitisha nayo..ukiweza chomoka ukayashinda bhas hata huko mbeleni ukiamua nirudshia ntavumilia kama wewe maana ntahisi nawewe unanipitsha kwenye mitihani so ntahakikisha nashinda.