Internal
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 3,579
- 3,926
Dereva wake kashapiga vyombo sijui anatupeleka wapi. Hahahahaha nafrah kuona mtu analia na viti vyake.Dunia ikisimama nistue mkuu tushuke wote
Dereva wake kashapiga vyombo sijui anatupeleka wapi. Hahahahaha nafrah kuona mtu analia na viti vyake.Dunia ikisimama nistue mkuu tushuke wote
Imani yako ndo itakufanya uelewe kama analetwa au anatafutwa!!hahaha Bwana anakuletea au unatafuta? wewe ni mke mwema?
Habari wakuu
Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]
SITOMWAMINI MWANAMKE TENA
Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.
Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.
Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.
Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.
Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.
Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!
Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!
Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.
Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri
cc: joanah
Aaah tafadhali bwana wee kama hamtaki kuombwa basi muwe mnajiongeza. Yaani wewe umemuita mtoto wa watu toka Tabata hadi Tegeta unamkula halafu unamsindikiza stendi bila hata nauli??? Acha tu nipigwe X siwezi kamwe kukopa nauli nije kupigwa pu.mbu, kama ninayo ya kwangu nitakuja ila kama sina kamwe nasema kamwe siwezi kukopa. Naweza nisikupe sababu ya 'sina nauli' nikakupa sababu nyingine tu ya karibu. Hebu kuweni na huruma ninyi watu.Hukukosea kumuamini ila next time muogope kama ukoma mwanamke ambae hamjamaliza mwaka katika mahusiano lakini haoni shida kukwambia Vocha imeisha,shida hii mara shida ile mara hiki mara kile..Muogope na kaa nae kwa makini aina hiyo ya viumbe.
Mwanamke akikupenda from deep inside hutomuona akikuomba hata sent yako,yupo radhi umuite aanze kukaa kwa mawazo ila sio afungue mdomo wake kukwambia...yani wanawake wakiwa na wapenzi zao hawasemi kitu huwa wana kua kama watoto..MPAKA UMUULIZE "babe what's wrong with you,something isn't ok" atazuga yupo sawa UKIMKAZIA lazima atakwambia tena sio akwambie ili umpe hela au msaada atakupa ile taarifa kama taarifa akiwa hategemei anything from you.
ila ukiona kenge lako hujaliuliza kitu lenyewe lishakwambia,mzee tia X.hata kama ni kuja home kwako anaweza akawa hana nauli,ukimuita kamwe hatokwambia hana nauli utaona atavyo fight na atakuja TU kumbe nauli ukute kakopa,utakuja kugundua siku nyingine kabisa kua alikopa au baada ya kuskia anadaiwa na rafikia ake.
ila wale wanaokuchana "baby ningekuja ila nauli sina" mzeee tia X hamna mwanamke hapo....when a woman love hata huhitaji mtaalamu kugundua Utaona action zao hata kama dem kwao n maskini ila utapenda zile fighting zao...i love girls with true love achana na huyo Nguruwe.
Vuta kiti tulia mwezi au mwaka unaeza usiishe litarudi tena kukuomba msamaha...na ulivyonyweshaga limbwata UTAMSAMEHE....
Cna kingine cha kujitetea zaidi ya upendo wngu tu kwake kwa kweli[emoji24]Pole sana mkuu
Ila nikwambie tu hawa wanawake usiwaamini kabisa yaani unaweza mwona msichana mstarabu ametulia lakini anaweza kufanyia mambo ya ajabu ajabu.
Ila na we nako ulikosea unanunua vitu vya ndani unachukua hadi mkopo unampa mwanamke ambaye hata hujamtolea mahari? Hapo umenishangaza.
Kunatime hua natamani niwe na girl nipange nae maisha
Anishauri... Kama sio kuniliwaza anipe mawazo nkipata pesa tufanyaje.......
Ila kumbe haya yote haiwezekani mpaka niwe tajiri
Poa ngoja nizisake
Hii ni pigo takatifuPole mkuu kwayote
kwani ninavyoendaga kumsalimia kwao ananipaga nauli au kuchangia mafuta? akija utamu si tunaupata wote sasa hiii equation ya after wote kuburudka lazima nikikusndkza nikutwke na 10k ya bajaji nani kasema?Aaah tafadhali bwana wee kama hamtaki kuombwa basi muwe mnajiongeza. Yaani wewe umemuita mtoto wa watu toka Tabata hadi Tegeta unamkula halafu unamsindikiza stendi bila hata na
Labda makumi yajayo not nowpole mkuu lakini bado kuna wanawake wakuwaamini wengi sana
Aisee, haya....ila comment ilijipost bahati mbaya sikuwa nimemaliza kuandika rudi umaliziekwani ninavyoendaga kumsalimia kwao ananipaga nauli au kuchangia mafuta? akija utamu si tunaupata wote sasa hiii equation ya after wote kuburudka lazima nikikusndkza nikutwke na 10k ya bajaji nani kasema?
akiwa na mishe zake anataka nimdrop home au somewhere ila hata siku 1 sjawahi pokea hela ya mafuta,au mnadhani hvi vyombo vnatumia maji?
Ka siku ka 1 tu in a month hutaki tumia pesa yako kuja nilipo,nauli nayo hadi nikutumie? na USIJE tu..
kwani ninavyoendaga kumsalimia kwao ananipaga nauli au kuchangia mafuta? akija utamu si tunaupata wote sasa hiii equation ya after wote kuburudka lazima nikikusndkza nikutwke na 10k ya bajaji nani kasema?
akiwa na mishe zake anataka nimdrop home au somewhere ila hata siku 1 sjawahi pokea hela ya mafuta,au mnadhani hvi vyombo vnatumia maji?
Ka siku ka 1 tu in a month hutaki tumia pesa yako kuja nilipo,nauli nayo hadi nikutumie? na USIJE tu..
yahitaji moyo bi Khantwe kuomba msamaha mtu usie mpenda akakuchomolea week nzima we unaomba tu msamaha..ikumbukwe huo msamaha sio unaomba tu unakubaliwa lazma uzungshwe kdg..sasa kama ni unaigiza halafu una moyo wa kuhangaika hivyo Sijui utakua unahitaji nini tena kwa jamaa na jamaa asie mjua mwanamke BONGO MOVIE nae ana walakini. 😜 😜Kama nimekaa na wewe huku sikupendi nitashindwa kuigiza kuomba msamaha ? [emoji23][emoji23] huwezi kuwa serious bwana Perimeter. Kwa bahati mbaya mwanamke akikuchoka amekuchoka huwezi kufanya chochote, labda uniambie unanipeleka masomoni Ulaya naweza nikaahirisha mpango wangu kwa kuwa nitakosa nafasi adhim ya kuingia ulaya bila jasho.
acha tu mkuu,yahitaji akili nyingi sana sasa hivi ilikuweza kupata yale mapenzi yenyewe otherwise utapata vitu vya ajabu ajabu tuDah! mapenzi yamekua tofaut kbsa na yalivoumbwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wiki nzima hapana, utakuwa umeshindayahitaji moyo bi Khantwe kuomba msamaha mtu usie mpenda akakuchomolea week nzima we unaomba tu msamaha..ikumbukwe huo msamaha sio unaomba tu unakubaliwa lazma uzungshwe kdg..sasa kama ni unaigiza halafu una moyo wa kuhangaika hivyo Sijui utakua unahitaji nini tena kwa jamaa na jamaa asie mjua mwanamke BONGO MOVIE nae ana walakini. [emoji12] [emoji12]
yani ulaya ndio pakurudishe 😂 😂 ...mpk upate hyo nafasi ujue jitoa sadaka kweli kweli maana sio kwa majaribu ntayokupitisha nayo..ukiweza chomoka ukayashinda bhas hata huko mbeleni ukiamua nirudshia ntavumilia kama wewe maana ntahisi nawewe unanipitsha kwenye mitihani so ntahakikisha nashinda.Kama nimekaa na wewe huku sikupendi nitashindwa kuigiza kuomba msamaha ? [emoji23][emoji23] huwezi kuwa serious bwana Perimeter. Kwa bahati mbaya mwanamke akikuchoka amekuchoka huwezi kufanya chochote, labda uniambie unanipeleka masomoni Ulaya naweza nikaahirisha mpango wangu kwa kuwa nitakosa nafasi adhim ya kuingia ulaya bila jasho.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wiki nzima hapana, utakuwa umeshinda