Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,494
Jamani jamanii[emoji1787][emoji1787]Basi mshipa anampa hi
Jamani jamanii[emoji1787][emoji1787]Basi mshipa anampa hi
Demiss kuaga na huruma basiNjoo kwangu mm muajiriwa hata mia sitakuchuna nitakupenda ukinipa mimba tu ndiyo malipo ya mm kukupenda karibu pm.
Hahaha salam zimefikaJamani jamanii
Kosa kubwa sana tunafanya wanaume wenzangu. Nilimhonga mtu simu ya laki 7....4 months later ananiambia "tafadhali tafuta mtu uoe mi sipo tayari" wakati mama sijawahi mnunulia simu ya hivyo. Though mama yangu hapendi smartphone natamani ningenunua hata gauni zuri plus kanga,vitenge, mashuka, madera na zaga zingine nimpelekee.Mungu hausiki apo usimsingizie hapo unawezakuta ata mama yako hujawahi mnunulia kitu cha million moja ila ?????????
Mazumbukuku kama hao bado wapo?Jana tu nimeomba mtu anipe hela ya kupandisha kijumba changu usiniharibie mingo na account nimeshafungua ya kuingiziwa 10 million
Unexplained pains,Don't you ever again be a victim. Be a victor.
Change a test to a testimony. Pass your tries and make them triumphs. Will tell.
Hahaha nyumbani tangaDaaahhhh yaani shemu sijui umempa nini my dada,
Badala wewe ndio umuhonge, umemkoleza mpaka anakuhongwa alivyohongwa.
Nlijaribu kumuonesha jinsi nathamini kila kitu kinachomhusu hasa familia yake
kumbe ndo najichomea utambi[emoji24][emoji24]
Hii kitu huwa tunakumbukaga tukishapata majanga kama hivi mkuu,Nadhan Mungu anatukumbusha japo kwa mapigoKosa kubwa sana tunafanya wanaume wenzangu. Nilimhonga mtu simu ya laki 7....4 months later ananiambia "tafadhali tafuta mtu uoe mi sipo tayari" wakati mama sijawahi mnunulia simu ya hivyo. Though mama yangu hapendi smartphone natamani ningenunua hata gauni zuri plus kanga,vitenge, mashuka, madera na zaga zingine nimpelekee.
Dua lakuku hilo halimpati mwewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amini nakuambia, huyo dada atapitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yake ya mapenzi
Kwaio nilie mkuu
Dunia ikisimama nistue mkuu tushuke woteHahahahha, Bado kuna wanaume mnafanya huu ujinga? Tena member wa Jf kweli?
Dunia simama nataka kushuka mm.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tusubiri hapa jamaa ataleta mrejesho, kwanza hyo bodaboda itapata majanga sana kabla hata jamaa hajamaliza kulipa hilo deniDua lakuku hilo halimpati mwewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa halafu shemu ulivyo na roho mbaya hio shati umechomekea upande mmoja halafu umemning'inizia kabisa hio funguo ya bodaboda ili jamaa aendelee kuumia.Hahaha nyumbani tanga
ndipo yalipo zaliwa: kaniokoa na tabu za mwendokasi, sema kanionya nisije nikabetia tu