• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Jonah Hex

Jonah Hex

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Messages
832
Points
1,000
Jonah Hex

Jonah Hex

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2011
832 1,000
Habari wakuu

Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe


SITOMWAMINI MWANAMKE TENA

Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.

Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.

Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.

Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.

Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.

Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!

Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!

Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.

Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri

cc: joanah
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
6,654
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
6,654 2,000
Hawa wanawake kula papuchi tu usiwape moyo wako wote jipende wewe kuliko chochote kile wengine wametoa nyumba na wajalalamika mwingine alitaka kuonga nchi waka mtime ipende familia yako inatosha pumbavu
 
Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2016
Messages
13,668
Points
2,000
Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined May 24, 2016
13,668 2,000
Pole ndiyo maisha ya mapenzi hata wanawake wengi tu wanasalitiwa na wapenzi wao lakini ndiyo hivyo wanavumilia tuliza akili utampata mwingine, wenzio wanapewa mpaka mimba wanalea kwa kupokezana kama jimbo la uchaguzi men 4
 
Muzine

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Messages
32,697
Points
2,000
Muzine

Muzine

JF-Expert Member
Joined May 4, 2017
32,697 2,000
Uwiii ni balaaa jaman khaaaa nimekumbk issue moja nimecheka sanaaa
Pole ndiyo maisha ya mapenzi hata wanawake wengi tu wanasalitiwa na wapenzi wao lakini ndiyo hivyo wanavumilia tuliza akili utampata mwingine, wenzio wanapewa mpaka mimba wanalea kwa kupokezana kama jimbo la uchaguzi men 4
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
35,440
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
35,440 2,000
Pole sana mkuu ..
Yaani ulichagua kabisa kuamini maneno haya (Nakupenda /uko peke yako )? Hayo ni maneno tu huwa Yana tamkwa kwaajili ya kuwapumbaza watu ili waweze kuhadaika '' kama namna ambavyo wana siasa wa navyo ahidi ahadi zisizo tekelezeka kwa wananchi wakati wa kampeni....

Huko kwenu -- hakuna Uchawi ?
 
M

miwani ya maisha

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,609
Points
2,000
M

miwani ya maisha

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,609 2,000
sasa wewe akili zako ni bhangi kabisa....tangu lini mwanamke akawa "mwaminifu"??kwani ulimkuta ana "bikira"?siku zote unaambiwa wanawake ni 'mashetani"wanabadilika kila baada ya sekunde 30.....shukuru mungu ulivaa kondomu....ila usirudie tena kumsaidia mwanamke au ndugu wa mwanamke...kwani wewe huna ndugu?
 
Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2016
Messages
13,668
Points
2,000
Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined May 24, 2016
13,668 2,000
Hahahahha, Bado kuna wanaume mnafanya huu ujinga? Tena member wa Jf kweli?

Dunia simama nataka kushuka mm.
Wapo wengi sana mwingine utakuta ana mke kabisa hajawahi mnunulia hata nguo ya elf 50 lakini mchepuko anauhudumia laki 2 kwa mtoto wa wakusingiziwa!
 
Jonah Hex

Jonah Hex

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Messages
832
Points
1,000
Jonah Hex

Jonah Hex

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2011
832 1,000
Hawa wanawake kula papuchi tu usiwape moyo wako wote jipende wewe kuliko chochote kile wengine wametoa nyumba na wajalalamika mwingine alitaka kuonga nchi waka mtime ipende familia yako inatosha pumbavu
Dah mwana usifanye watu wacheke kilioni
 

Forum statistics

Threads 1,406,600
Members 532,389
Posts 34,520,726
Top