walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,851
- 5,696
Aisee mshuulikie barabara owe fundisho kwa wengine aiwezekani akutie hasara kiasi hichi
Simuachi kaka ndo nlichodhamilia we ckilizia2
Simuachi kaka ndo nlichodhamilia we ckilizia2
Wapigaji sanaaaa nyiejoanah mdogo wangu umemfanyaje tena kaka wa watu
Kwa hiyo unanishaurije??We nae ndo kupenda gani huko? Usingenunua vitu vya nyumbani kwao mpaka umiliki mke. Hamjifunzi tu na nyie
Wekeza kwa mkeo (baada ya ndoa), kwa mchumba ikutoke mahari tu.Habari wakuu
Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]
SITOMWAMINI MWANAMKE TENA
Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.
Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.
Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.
Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.
Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.
Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!
Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!
Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.
Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri
cc: joanah
Hadi mimi?Wapigaji sanaaaa nyie
Rafiki good morningHadi mimi?
No it's not a good morning until you give the answerRafiki good morning
Rafiki wewe humo. Wewe ukitaka hebu niambie mimi ntakupa tu.No it's not a good morning until you give the answer
Khantwe unaona sawa mwanaume kutapeliwa kifala hivyo.No it's not a good morning until you give the answer
Nakushauri uoe kwanza halafu ndo ugharamie kwa kiasi kikubwa. 😃Kwa hiyo unanishaurije??
Ahsante kwa ushauri murua. Sitokuangusha, aisee tuongee basiNakushauri uoe kwanza halafu ndo ugharamie kwa kiasi kikubwa. 😃
Wewe huyo???[emoji23][emoji23][emoji23] siku zote nikionaga comment yako lazima nifungue kusoma maana siku zote unaandikaga vitu vizuri hata kama sikubaliani na ulichoandika ila the way unawasilisha mtu anavutiwa kusoma. Tuje kwenye hoja yako, mimi hata kama sikupendi hata siku moja sikubali kuachana huku nikiwa mimi ndio mwenye makosa, yaani hata kama nna mpango wa kukuacha nitafanya juu chini tumalize tatizo ambalo naona mimi ndio mwenye makosa kwa hiyo unaweza kunitangazia kibuti leo nikaomba msamaha hata kwa machozi, ukanisamehe yakaisha halafu baada ya tukio kusahaulika nakutafutia kijikosa nakuacha[emoji23][emoji23][emoji23] au nisikutafutie hata kosa nikakuacha kwa amani na upendo.
Hapana sio mimiWewe huyo???
Aibu nimeona mimi🙈🙈🙈🙈🙈🙈Aaah tafadhali bwana wee kama hamtaki kuombwa basi muwe mnajiongeza. Yaani wewe umemuita mtoto wa watu toka Tabata hadi Tegeta unamkula halafu unamsindikiza stendi bila hata nauli??? Acha tu nipigwe X siwezi kamwe kukopa nauli nije kupigwa pu.mbu, kama ninayo ya kwangu nitakuja ila kama sina kamwe nasema kamwe siwezi kukopa. Naweza nisikupe sababu ya 'sina nauli' nikakupa sababu nyingine tu ya karibu. Hebu kuweni na huruma ninyi watu.
You sure???I will never be cheap like this, hivi unaanzaje kumwambia mwanaume tena ambae hajakuoa eti ninunulie vitu vya nyumbani kwetu? Seriously??? Why can't u use common sense mwanaume asijue unachoenda kununua?
Dah!Dah, mwamba ebu achana na huyo ms*nge, wala usimloge. Kausha ,, Mungu atakufungulia madirisha ya mbinguni na mibaraka tele. Utapata pesa mara 100 zaidi ya hiyo aliyokupiga.
Ewe binadamu...ww ni nani mpaka kulipa kisasi?
Hukuambiwa kua kisasi ni cha BWANA WA MAJESHI?
Ebu muache akainjoy na huyo aliemnunulia boda boda.
Note my point; atarudi kwako kwa kupiga magoti na akilia mnoo akiomba msamaha mrudiane. Nawe usituangushe tena mara ya pili kumkaribisha
Dah!Dah, mwamba ebu achana na huyo ms*nge, wala usimloge. Kausha ,, Mungu atakufungulia madirisha ya mbinguni na mibaraka tele. Utapata pesa mara 100 zaidi ya hiyo aliyokupiga.
Ewe binadamu...ww ni nani mpaka kulipa kisasi?
Hukuambiwa kua kisasi ni cha BWANA WA MAJESHI?
Ebu muache akainjoy na huyo aliemnunulia boda boda.
Note my point; atarudi kwako kwa kupiga magoti na akilia mnoo akiomba msamaha mrudiane. Nawe usituangushe tena mara ya pili kumkaribisha