Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Habari wakuu

Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]

SITOMWAMINI MWANAMKE TENA

Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.

Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.

Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.

Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.

Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.

Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!

Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!

Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.

Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri

cc: joanah
We jamaa umechezewa game la kizamani sana,
 
Dah... Mimi kanichekesha eti ilo deni la milioni mbili ntalipa[emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu demu mjanja sana.. Kamnunulia ampendaye bodaboda na vitu vingine kaenda kupangisha[emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee
Yaan mwaka mzima unashindwa kumsoma mwanamke aisee, uyo alikuwa malaya
 
Habari wakuu

Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]

SITOMWAMINI MWANAMKE TENA

Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.

Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.

Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.

Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.

Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.

Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!

Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!

Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.

Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri

cc: joanah
Pole sana..
Kicheche akikiambia mwache atarudi analia...
 
Hakuna cha adhabu hiyo sio...
Lengo la adhabu mtu aumie na imfanye ajutie makosa yake plus kujiapiza kuwa hatorudia tena kwa hiyo ukipewa adhabu unapewa ile yenyewe kabisa [emoji3][emoji3][emoji3] sasa unaililiaje wakati huo tumenuniana hatuna mawasiliano?
Adhabu hyo sio kabisa!

ila ukinipa hiyo adhabu nitaipokea japo hautofika mwezi Na uhakika maana sio kwa kuililia live tena kwa kwikwi huko BED,utanipa TU.

Nakuomba ukininyima sio siri nalia tena siigizi kulia nalia haswaa..kwani nani ananiona chumbani nikilia si namlilia baby,aah utanipa tu kwa hisani ya watu wa marekani [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Hakuna cha adhabu hiyo sio...
Lengo la adhabu mtu aumie na imfanye ajutie makosa yake plus kujiapiza kuwa hatorudia tena kwa hiyo ukipewa adhabu unapewa ile yenyewe kabisa [emoji3][emoji3][emoji3] sasa unaililiaje wakati huo tumenuniana hatuna mawasiliano?
hatuna mawasiliano kwani si tupo nyumba Moja..Naongea vizuri tu kuomba msamaha!!!
 
Nyie wengine sijui huwaga mnafikiri kwa Makalio! Unapata wapi nguvu ya kwenda kumkopea mpenzi pesa!?
 
[emoji3][emoji3][emoji3] nikiona unanizingua si nakufungia chumbani naenda kukaa sebuleni
Ntafanyaje sasa saiyo mkosaji ni mimi! Nakaa hapo mlangoni ni kilio labda uwe huniskiii ila kama utakua unaskia maneno ninayo yatamka Msamaha utautoa tu..sio kwa mapito tuloptia ntavyo yaorodhesha kwa uchungu na simanzi.
 
Habari wakuu

Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]

SITOMWAMINI MWANAMKE TENA

Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.

Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.

Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.

Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.

Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.

Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!

Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!

Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.

Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri

cc: joanah
Mmh ndani ya mwaka unahonga namna hyo nmekupa masters ya uhongaji lakn pole nadhan kuna vtu umejifunza vingine vilihitaj kutumia akili ya kawaida kununua mavitanda,sijui fridge inamaana ww ndo ulikuja kuwamalizia umaskini wao?lakn nawalaumu wazaz kwa kukumbatia ujinga
 
Ulinionesha ukiwa umelewa...umesahau?siku nikaenda kuulizia nikaambiwa sio kwako
Kwahiyo tulikuwa tumelewa wote. Isije ikawa tilifanya kale ka mchezo...

Ngoja niwahi kanisani nikatubu
 
Back
Top Bottom