Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,557
- 88,561
Wapo wengi sana tena sana ila basi tu ni vile hawanaga makelele wanaopiga kelele humu mitandaoni wengi ni wale ambao hawataki kuombwa hela na wapenzi wao kwa sababu hawanaNimetaka kufahamu tu maana Tanzania mpya ilipoteza hizo species mda mrefu sana
Na wanapiga hizo kelele ili kutukatisha tamaa wanawake kuwa wanaume wanaohudumia zama hizi hawapo
Hivyo wanawake tupende tu kokote lakini hata ninyi wenyewe mnaujua ukweli kuwa wanaume wa aina hiyo wapo
Sasa mtawadanganya hao hao wanawake ambao hawajawahi kuhudumiwa na wapenzi wao ila wengine ambao tumeshawahi tunaona kama mnapiga tu porojo hapa