Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Mistake hapo ulimuweka mwanamke moyoni mwako instead of God, Lazima uwajibike kwa hilo
 
Screenshot_2019-06-16-22-31-19-1.png

SK2016
 
Daaaah kaka mh huko tena hapana.
Ni beyond da boarders.
Hayo ndio makosa yen vijana. Mwanamke sikiumbe wakawaida bado nyinyi munawachukulia poa. Mbaya zaidi unakuta ulikua ukimla kwa heshima kama mkeo mtarajiwa wa heshima. Pole sana kaka.

Kwangu huyo angekua tayari hana marinda hata kama T.V amebeba.
 
Waislam tunaishi kwa sunnah za mtume wetu na kur,an ya Allah wetu.
Na mtume kashatoa usia kwa watu kuwa wasiwaozeshe watoto wao wa kike kwa wanaume ambao hawajawapenda.
Kwahiyo yamaanisha mwanamke aolewe anapopapenda na mwanaume anayempenda.
Ndio maana mtume aliwahi zivunja ndoa ambazo mwanamke kaolewa pasi na kumpenda mwanaume.
Wewe umejuaje kama ni Sheikh? Na nitajuaje kama wewe ndo unayesema kweli na yule ndo alinidanganya?
 
Waislam tunaishi kwa sunnah za mtume wetu na kur,an ya Allah wetu.
Na mtume kashatoa usia kwa watu kuwa wasiwaozeshe watoto wao wa kike kwa wanaume ambao hawajawapenda.
Kwahiyo yamaanisha mwanamke aolewe anapopapenda na mwanaume anayempenda.
Ndio maana mtume aliwahi zivunja ndoa ambazo mwanamke kaolewa pasi na kumpenda mwanaume.
Sawa
 
Habari wakuu

Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]

SITOMWAMINI MWANAMKE TENA

Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.

Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.

Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.

Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.

Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.

Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!

Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!

Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.

Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri

cc: joanah
Aisee,mtu hujamuoa unamchukulia mkopo.
 
Mapenzi ni Kama siasa awamu yako ikiisha kausha ukijitia ukurunzinza cha moto lazma Ukione.
 
Kama huu uzi ni wakweli, mtoa mada niwewe mwenyewe umejichanganya kwenye njia ya watu, kiufupi umedandia gari kwa mbele...

Et kisa mwanamke tena mchumba ndio umpe vitu vyote hivyo? Kwapengine wazee wako na wadogo zako hawajafaidi chochote kutoka kwako kama zawadi, then unakimbilia kwa watoto wa watu wacha tu wakueke sawa...

Samahani mtoa mada nikikuita ulikua zuzu usikasirike ( hii issue inaniuma sana sijui kwanini wanaume jatuingii akili)
 
Hahahahha, Bado kuna wanaume mnafanya huu ujinga? Tena member wa Jf kweli?

Dunia simama nataka kushuka mm.
Internal mapenzi yananguvu zisizo za kawaida yan mtu akipenda mabaya yote sijui kuchunwa yan huwa haoni.
Ila mambo yakibuma sasa! Daaaaa inakuwaga kama unatoka ndotoni, ukikumbuka ulivokuwa zezeta wa mapenz unabaki kujishangaa na kujicheka tu.

Mapenz haya!!!!
 
Uzuri ulishamgegeda mara kadhaa sio mbaya kuanza maisha mapya, hii huwa mbaya kama hujawahi hata kumvua pichu
 
Habari wakuu

Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]

SITOMWAMINI MWANAMKE TENA

Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.

Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.

Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.

Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.

Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.

Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!

Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!

Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.

Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri

cc: joanah
Mungu anatokea wapi?
 
Back
Top Bottom