Umeisolve vipi kakaMie nina kesi kama hiyo nilikuta wanne
Ndo ujinga wa wanawake wengi. ..Kutongozwa sio shida,ila hapa kwenye hizi chats anatoa ushirikiano mno kiasi cha kusema hata amevaaje akiwa amelala




hata za uchi anatumaKwa hiyo unataka umto*** mwenyewe mkuu wakati masela wenye ugwadu wapoWakuu
Naandika ujumbe huu mapigo ya moyo yakiwa kasi kama mashindano ya Marathoni
Niko napitia hapa sms kwenye simu ya mpenzi wangu(kike) nimeitoa leo kwa fundi ilipata tatizo flan,Dah yani siamini kama ndo huyu Moyo wangu ulokua tayari kuacha ukapela kwa ajili yake.
Mabwana kama 10 wote wanaitwa majina mazuri,Yani anavonisisitiza nisimuumize sikutaraji kama anaweza kuwa hivi![]()
Mkuu hapo watu wanajipigia hamna demu apo ...mtu asikudanganye et huyo demu Ana act hamna ...,hapo km.unahudumia Anza kusitisha haraka huduma ,,Mojawapo naona anasisitiza anampenda sana jamaa kama ambavo huniambia
Nyingine naona analaumiwa hakutokea Jpili maskani kama walivohaidiana
Nyingine naona anachat na Ticha wake ila wanavoitana unaona kuna jambo linaendelea
Nyingine ndo hiyo wanakaribishana bed na mshkaji anamwambia hadi alivovaa
etc etc
Yani madame banaMkuu hapo watu wanajipigia hamna demu apo ...mtu asikudanganye et huyo demu Ana act hamna ...,hapo km.unahudumia Anza kusitisha haraka huduma ,,
Upendo wa kweli unapatikana kwa mama tu.
Kwingine ni business.


Kila siku mnaambiwa ukimpenda mtu usimpende kw moyo wote hamsikii... Ukiona unatumia nguvu kubwa kumpenda mtu ujue upo kwny wrong relationship.. na siku zote mtu aliyejitolea xana kumpenda mtu ndy mwisho wa siku anaumia yy.


Kutongozwa sio shida shida Ni response yake kwa hao wanaomtongoza. Mtu anachati na majamaa 10 na wote ana waitwa sweet names ..hapo kuna walakinihaya ndo madhara ya kuingilia privacy za watu, hakuna mwanamke asietongozwa hata kama yupo ndoani, kikubwa ni yeye kujiheshimu mbele zako.


Duuhh OMGKutongozwa sio shida,ila hapa kwenye hizi chats anatoa ushirikiano mno kiasi cha kusema hata amevaaje akiwa amelala
Mojawapo naona anasisitiza anampenda sana jamaa kama ambavo huniambia
Nyingine naona analaumiwa hakutokea Jpili maskani kama walivohaidiana
Nyingine naona anachat na Ticha wake ila wanavoitana unaona kuna jambo linaendelea
Nyingine ndo hiyo wanakaribishana bed na mshkaji anamwambia hadi alivovaa
etc etc



Kaka mm mwenyewe sas HV nimepewa Taarifa mbaya Sanaa mwanamke ambaye nilitazamia nimuoe januari mwakan nimepewa Taarifa kuwa yuko kwao na anaujauzito ..na kwa taakriban miez mitatu nyuma huyu mwanamke alikuwaa akinikwepa kwepa kumbe alikuwaa na Jambo lake


Very trueMkuu mpaka leo unaweka imani kwa mtu? Mtu anabadilika muda wowote.

Sure .Unahisi yameisha mkuu, anakulia timming nawewe atakuliza soon.![]()


ajiandae kisaikolojia tuUsithubutu ..tuliza akili kwanzaInabidi nizame bush tu japo Wadau walisema ni wale wale