Dah! No true love

Dah! No true love

Kaka mm mwenyewe sas HV nimepewa Taarifa mbaya Sanaa mwanamke ambaye nilitazamia nimuoe januari mwakan nimepewa Taarifa kuwa yuko kwao na anaujauzito ..na kwa taakriban miez mitatu nyuma huyu mwanamke alikuwaa akinikwepa kwepa kumbe alikuwaa na Jambo lake
Dah! yani ni hatari sana mkuu,tufanye tu scout mpya no way
 
M
Wakuu

Naandika ujumbe huu mapigo ya moyo yakiwa kasi kama mashindano ya Marathoni

Niko napitia hapa sms kwenye simu ya mpenzi wangu(kike) nimeitoa leo kwa fundi ilipata tatizo flan,Dah yani siamini kama ndo huyu Moyo wangu ulokua tayari kuacha ukapela kwa ajili yake.

Mabwana kama 10 wote wanaitwa majina mazuri,Yani anavonisisitiza nisimuumize sikutaraji kama anaweza kuwa hivi
Mzee kupenda wanawake wa mjini ni kama kulima shamba la miwa pembeni ya shule 😂😂😂!!!

Usimuamini mwanamke wa mjini kamwe 😅😅😅
 
Usishike simu ya mpenzi wako.

Wife alishika ya kwangu ndani kukawa na bifu la wiki mbili nzima. Sema nikiwa kama kidume sikosi cha kujitetea na mambo yameisha. Nikamuonya sio vizuri tushikiane simu.

Simu simu weeeee
Unahisi yameisha mkuu, anakulia timming nawewe atakuliza soon.😂😂😂
 
Mojawapo naona anasisitiza anampenda sana jamaa kama ambavo huniambia

Nyingine naona analaumiwa hakutokea Jpili maskani kama walivohaidiana

Nyingine naona anachat na Ticha wake ila wanavoitana unaona kuna jambo linaendelea

Nyingine ndo hiyo wanakaribishana bed na mshkaji anamwambia hadi alivovaa

etc etc
Pole Sana kiongozi, Inaumiza Sana ki ukweli.

Kipind hiki Cha magonjwa ndo hatar zaidi.
Kwa upande wangu ningepiga chini maana sio mke bado.
Jaribu kumtangazia kumuacha uone anasemaje ukiona anaonba msamaha na kuahidi hawez rudia basi huna budi kumsamehe ila ukiona as if hajari basi achana nae atakutesa Sana.
Hawa watu wa masomoni bwana hawaamiki kabisa.
 
Shida ni kwamba watu hamjiamini, na kama Mwanaume halafu haujiamini Mwanamke anaona haraka sana na kukudharau, ukiwa mtu wa kujiamini uta-date mademu wanaojiamini pia na hivyo kuwa na Mahusiano bora na ya kudumu yaliyo na heshima na shaha, sasa swali linakuja unawezaje kujiamini kama Mwanaume? Siyo rahisi kihivyo kwani ni swala la malezi kama ulilelewa na baba asiyejiamini na asiyemwamini Mke wake uwezekano wa wewe kutokujiamini ni mkubwa sana, ...
Huku kujiamini wanawake nahisi tafsiri yake hamuijui kabisa yani. Ina maana mwanaume akae kimya anapoona unatongozwa na mafisi au kuitwa chocho zao. Yeye akiona akaushe tu ili kusudi umuone anajiamini?

Kumkalia kimya malaya ili tu akuone unajiamini ni uzwazwa. Ukileta flirting around lazma uchanwe na kupigwa chini. Wanawake wengi wanatumia hili neno "kutojiamini" kama silaha ya kuwanyamazisha wanaume wenye wasiwasi na nyendo zao.
 
Kama unajiamini huwezi ku-date Mwanamke ambaye anaweza kukufanyia hayo uliyayataja, ukijiamini utajithamini na kutafuta mtu ambaye pia atakuthamini I mean, aina ya demu unaye date inatoa pia tafsiri ya wewe jinsi ulivyo na mipaka uliyojiwekea kimaisha, ...
 
Binadamu anabadilika mda wowote mkuu. Thats why watu wanaoa na kuachana mkuu.
Unaemuona bora sasa kesho anaweza kukustaajabisha sana.
 
Binadamu anabadilika mda wowote mkuu. Thats why watu wanaoa na kuachana mkuu.
Unaemuona bora sasa kesho anaweza kukustaajabisha sana.

Kuna tofauti kubwa kwa maoni yangu kati ya kuoana halafu mkaachana na kuwa na mtu asiyekuheshimu, binafsi sina tatizo lolote na kuachana kama mmepevuka kitofauti jinsi miaka inavyozidi kwenda, mnaweza mkawa na mitazamo ya kitofauti ambayo mwanzoni haikuwepo hilo ni kawaida na mnaweza mkaachana lkn bado mkawa mnaheshimiana, ...
 
M
Mzee kupenda wanawake wa mjini ni kama kulima shamba la miwa pembeni ya shule !!!

Usimuamini mwanamke wa mjini kamwe
Inabidi nizame bush tu japo Wadau walisema ni wale wale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom